wazanzibari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari tumemchoka Hussein Mwinyi

    Tangazo jipya la kuwaondosha zaidi ya familia mia tano katika mtaa wa kikwajuni kwa kuwapa wawekezaji ni kitendo kisicho kubalika kabisa. Tangu alipoapishwa kuwa raisi, Mwinyi amekuwa ni kitendawili kwa jamii yetu. Fukwe za bahari zote zimepewa wawekezaji kwa kujenga mahoteli ya kitalii. Mitaa...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awataka Wazanzibari kutunza Mila na Desturi zao. Wamaasai hawahusiki?

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa wito kwa jamii zinazoishi maeneo yenye vivutio vya Utalii, kuendeleza mila na desturi za maeneo hayo ili kulinda heshima ya mila hizo na kuendelea kuvutia utalii. Rais Samia ametoa wito huo leo, wakati akifunga mafunzo ya...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, hiki kilichofanywa na Klabu ya Pyramids ya Misri dhidi ya Klabu ya JKU ya Zanzibar siyo Dharau kwa Wazanzibari na Watanzania kwa Ujumla?

    Baada ya kuona Klabu ya JKU ya Zanzibar ina Umasikini ( Ukata ) hasa katika Kushiriki Michuano ya Kimataifa Klabu ya Pyramid kutokea nchini Misri imeamua kutumia Umasikini wa JKU ya Zanzibar kwa kuwaomba Wakubali kucheza Mechi zao zote Mbili huko Misri na kwamba wasikubali kuja Kucheza mchezo...
  4. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu akiwa Rais atavunja muungano halafu atawafukuza Wazanzibari wote pamoja na Bakhresa?

    Leo nimejikuta nawaza hili jambo, inawezekana tukawa tunamchukulia Lissu kwa urahisi rahisi, kumbe mwenzetu ana jambo zito zaidi. Tanzania ina wawekezaji wengi kutoka zanzibar, na wengine wameoa bara. Bakhresa ni mmoja wa wawekezaji wakubwa sana na analipa kodi kubwa kuliko huyo Lissu. Nawaza...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Video: Ubishani ni Zanzibar ni nchi au siyo? Wenzenu upande wa Zanzibar ni Wazanzibari au Watanzania? Wasira, Rais Samia vs Tundu Lissu: Nani mkweli?

    Ndugu wana JF - Jukwaa la Siasa; Mjadala wa muungano tata wa Tanganyika na Zanzibar (1964) unaendelea tena leo.... Na kwa kweli mjadala huu haupaswi kuishia njiani isipokuwa tu wote tumeelewana na kukubali kuwa lipo tatizo ktk muungano huu linalostahili kutatuliwa sasa na sio kesho kama...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mohammed Issa: Rais Samia anabaguliwa kwa Uzanzibar wake

    Mbunge Khalifa Mohammed Issa (ACT) kutoka Jimbo la Mtambwe, Zanzibar amesema Rais Samia anabaguliwa kwa Uzanzibar wake. Amebainisha kuwa wanzanzibari hubaguliwa kwa uzanzibari wake na kauli zingine husema Rais Samia anatawala nchi isiyo yake, amekopeshwa kutoka Zanzibari aje kuwa Rais wa Jamhuri...
  7. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari suala la Muungano ni ndumila kuwili!

    Vitendo huthibitisha yale yamtokayo mtu mdomoni. Ni dhahiri sasa wenzetu wazanzibari wanatekeleza kile walichomaanisha , msemo wa Changu Changu Chako Chetu. Maneno yaMakamu wa Rais Zanzibar na matangazo ya kazi kwa upendeleo wa wazanzibari tu, tumeyaona. Shaka Hamdu, mzanzibari asiye na hata...
  8. figganigga

    JamiiForums Tanzania Ally Kessy awashukia Zanzibar, Awataka Wabunge wa Zanzibar watoke nje kwa mambo yasiyo ya Muungano

    Awataka wabunge wa Zanzibar kuanzia sasa wachangie Wizara zinazowahusu, Awataka wawe wanatoka nje pale bunge linapojadili mambo yasiyo ya Muungano, sio wanatujazia foleni ya kuongea hata kwa mambo yasio ya Muungano. Ally Kessy Mbunge wa Nkasi(CCM), amesema Wazanzibar waache kuwanyonya...
  9. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kama asili ya Wazanzibari ni bara, kwa nini wasihamishiwe huku bara kwenye maeneo ya wazi kupisha watalii

    Kwa maelezo ya wataalam ni kuwa karibu watu wote wa zanzibar wametokea bara kiasili. Kwenda wenyewe, kupelekwa na waarabu, au walowezi kutoka bara asia (wachache). Kwa namna Tanzania tulivyojichanganya ni uongo kusema tuvunje muungano au tuwe na serikali tatu au hizi mbili lalamikiwa. Nashauri...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Muungano, Wazanzibari wametuzidi ujanja

    Nimeitazama kwa makini hii nembo ya Muungano nikagundua kuwa Wazanzibari wametuzidi ujanja sana. Hebu cheki kwenye hiyo nembo, Tanganyika pamoja na ukubwa wake wote na idadi kubwa ya watu lakini amewekwa Mtanganyika mmoja na Wazanzibari watatu why?
  11. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari ni wazalendo wa nchi yao ila Watanganyika sijui tuna matatizo gani!

    Huyu mbunge ameongea jambo la maana sana juu ya mstakabali wa nchi yake ya Zanzibar ila alicho ambulia mitandao ni matusi, kebehi na dharau juu yake na kwa Wazanzibari kutoka kwa Watanganyika(Watanzania). Ni nini huko somo la uraia linafanya mashuleni juu ya Watanganyika mbona ni wapumbavu...
  12. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mohamed Issa: Wanaotoka Tanzania Bara kwenda Zanzibar wawe na Passport

    Mbunge wa Konde (ACT Wazalendo), Mohamed Said Issa ameitaka Serikali kurejesha upya utaratibu wa watu wote wanaoingia Zanzibar kuwa na hati ya kusafiria. Akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Rais Makamu wa Rais kwa mwaka 2024/25 leo Jumanne Aprili 24,2024, Issa amesema lengo...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wazanzibari wanampiga vita Rais Hussein Mwinyi?

    Huku Zanzibar kuna mgawanyiko mkubwa kisiasa. Mzee Mwinyi anafanya vizuri sana kuleta maendeleo lakini hakubaliki. Baadhi ya factors zinazofanya asikubalike ni hizi hapa. 1. Siyo Mzanzibari 2. Anadaiwa kudharau kila kiongozi aliyepo chini yake 3. Anawafokea na kuwanyanyapaa viongozi wenzake...
  14. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar, Tuyaenzi kwa 4R za Rais Samia?, JMT Tuitendee Haki Zanzibar?, Tuwatendee Haki Wazanzibari? Mshindi Halali Apewe?

    Wanabodi, Kwanza nijiunge na Watanzania wenzangu, kumpongeza Rais wa JMT, Rais Samia Suluhu Hassan, na Rais wa Zanzibar, Dr, Husein Mwinyi, kwa Zanzibar kutimiza miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar, huku waliopindua wakiyaenzi na kuyaita Mapinduzi Matukufu, huku waliopinduliwa wakisema Mapinduzi...
  15. benzemah

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume: Muungano Haujaathiri Wazanzibari

    MJANE wa Rais wa kwanza wa Zanzibar, Abeid Karume, Fatma Karume amesema Muungano wa Tanganyika na Zanzibar haujawaathiri Wazanzibari. - Alisema hayo nyumbani kwake Maisara visiwani Zanzibar wakati anazungumza na waandishi wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN). - Fatma akasema tangu Tanganyika...
  16. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Video: Wazanzibari wakimchamba bundi

    Kwa kweli Afrika inafurahisha sana. https://www.instagram.com/reel/CyG1sXhrion/?igshid=NjZiM2M3MzIxNA==
  17. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wazanzibari ni wazuri wa sura, roho na wakarimu sana sio kama watu wa mataifa mengine

    Rais Samia anasema Wazanzibari wote ni wazuri wa sura na roho, hawana roho mbaya kama watu wa mataifa mengine. “Watu wa Zanzibar ni wazuri wa sura na roho na wakarimu sana. Kila unayemwona Zanzibar anasema 'una shida gani nikusaidie,' tofauti na nchi za wenzetu huko.”
  18. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Je Kuna Vita kati ya Watanganyika na Wazanzibari

    Habari za Wakati huu; Siku za karibuni kila jambo limekuwa likitazamwa mara kwa jicho la Uzanzibari vs Utanganyika,Mara Uislamu vs Ukristo Swali ninalojiuliza Jina kuna Vita ya chini chini kati ya Tanganyika na Zanzibar?Maana kila nikiyatazama yanayojadiliwa nakuta hoja ya Udini au Uzanzibari...
  19. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Profesa Kitila Mkumbo amepewa Uwaziri ili kukamilisha mpango wa bandari kwa DP World?

    Tuliwahi kuandika hapa JF kuwa hakuna uteuzi au utenguaji unaofanyika kwa bahati mbaya au nzuri, kila uteuzi na utenguaji wa rais hapa Tanzania ni mpango kamili na mkakati mahususi wa muda mfupi, kati au umrefu. Pia soma > Rais Samia aunda Wizara Mpya na kufanya Mabadiliko ya kimuundo baadhi...
  20. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Ukija Tanganyika kila kitu ni cha Muungano, ukienda Zanzibar kila kitu ni cha Wazanzibari peke yao

    Zanzibar wakitaka kufanya chochote wanakuta kwenye (bunge la Zanzibar) baraza la wawakilishi pale Chukwani wanatunga na kupitisha sheria taratibu kanuni kwa ajili ya Zanzibar peke yao na kuweka kwenye katiba yao kando kinachoitwa katiba ya muungano. Na ukiingia Zanzibar katiba inayotumika ni...
Back
Top Bottom