wawili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuona mke wake corporate feminist lady kakomea watoto wawili, katafuta mchepuko form 4 kafyatua watoto wanne, ni sawa ?

    Ni kijana mwenye 40s, msomi mwenye masters, muajiriwa katika taasisi kubwa, pia ni businessman, kwa ufupi pesa anayo na familia aliyotokea wanajiweza. Alifunga ndoa na kupata watoto wawili, baada ya hapo mke wake akamwambia case closed, hakuna watoto wa ziada Mke ni msomi mwenye degree...
  2. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Status WhatsApp yazua balaa kwa mume mwenye wake wawili

    Ukiwa mume mwenye mke zaidi ya mmoja basi kila hatua unayochukua inakubidi uitafakari mara mbili. Hayo yametokea jana baada ya baba mwenye mji wake kumpost mke mdogo kwenye Status WhatsApp Baada ya mara kwa mara mume kumpost bimkubwa status akaona leo ngoja nimrushe bimdogo nae hewani auze...
  3. Choosen85

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kutembea au kuoa ndugu wawili

    Wakuu adui namba moja wa taifa hili ni ccm wanachopigania ni chama chao kutawala ili kuendelea kuiba na kulinda walichoiba ndiyo maana watapishana vipindi vingine tu ila kipindi cha uchaguzi huitana na kuambizana ukweli kwamba chama kikianguka kila ajue kiama kinakuja, wanatafakari na kurudi...
  4. figganigga

    JamiiForums Tanzania Dar: Polisi yadai eti imewaokoa wale Wachina wawili waliotekwa

    Upelelezi wa Jeshi la Polisi ulifanikiwa kuwaokoa wahanga hao tarehe 16 huko maeneo ya Mbezi Beach Kinondoni. Watekaji waliwatake na kudai ndugu wawapw Dola za Kimarekani Milioni moja 20 ili wawaachie huru. Watuhumiwa wanne wamekamatwa. Polisi wamewataja watuhumiwa kwamba ni 1. Deng Anqing...
  5. OMKEIT 93

    JamiiForums Tanzania Fadhira za kuwatendea wema wazazi wawili

    Assalam alaykum. Tujikumbushe fadhira za kuwatendea wema wazazi wetu Katika Uislamu, baada ya haki ya Mwenyezi Mungu ﷻ, hakuna haki kubwa kuliko haki ya wazazi wawili. Kuwatendea wema wazazi ni sababu ya kupata radhi za Allah, kuongezewa baraka, na kufunguliwa milango ya kheri duniani na...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Machawa wamemwagwa JF, tuwablock wabaki wanawasiliàna wenyewe mimi nimeblock wawili leo

    Ndiyo dawa yao..Block them wabaki peke yao!
  7. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kijeshi China yahukumu mawaziri wawili wa zamani wa ulinzi adhabu ya kifo

    Mahakama ya kijeshi nchini China imewapa adhabu ya kifo yenye kusimamishwa kwa miaka miwili mawaziri wawili wa zamani wa ulinzi, Wei Fenghe na Li Shangfu, kutokana na makosa ya rushwa, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya serikali. Taarifa za Xinhua News Agency zinasema kuwa hukumu hiyo...
  8. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Nitajie ma superstars wawili wanaopewa sifa ila kazi zao huzielewi kabisa

    1.Taylor swift- huyu anasikilizwa sana duniani na ni mmoja mwenye ma followers wengi ila hakuna hata kazi yake moja naijua wala kuisikiliza 2-Migos-hata sielewi nyimbo wanazoimba trap gani imepooza hivyo si bora african trap.sina kazi yao ninayoipenda hata moja
  9. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mombasa Floods: Watu 390 wahama, Wawili kutoka Tanzania waokolewa Baharini

    Mvua kubwa zimeendelea kupiga Mombasa for the last three days, zikisababisha mafuriko makubwa across all six sub-counties including Changamwe, Jomvu, Kisauni, Likoni, Mvita na Nyali. Situation imekuwa mbaya kiasi kwamba takriban watu 390 wamelazimika kuhama makazi yao, especially maeneo ya Jomvu...
  10. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Tukiweka Dini pembeni pamoja umasikini narudia Tena kusema mke Mmoja hautoshi angalao wawili watatu hata wane si mbaya.

    Maelezo mnayo ninyi wakuu. NB: PICHA HII NDO NAMNA CCM ILIPOTUFIKISHA.
  11. hamis77

    JamiiForums Tanzania Watu wawili wenye heshima mbele ya Trump

    Hawa watu wawili pichani, uhai wao ulihifadhiwa na Trump kwa ajili ya mazungumzo. Hawa ndio future ya Iran mpya. Trump alimkataza Netanyahu asiwaue. Kulikuwa na mmoja aliyekuja kuuawa — mtu ambaye Trump hakutaka auawe. Tukio hilo lilimkasirisha sana Trump, ndipo akatoa onyo kali kuhusu watu...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Watangazaji wawili wa KYELA FM walioshikiliwa na Jeshi la Polisi waachiwa kwa dhamana Mkoani Mbeya

    Wanahabari wawili wa kituo cha redio cha Kyela FM, Tumsifu Katina na Emmy Eliud, wameachiliwa kwa dhamana asubuhi ya leo Aprili 15, 2026 baada ya kushikiliwa na Jeshi la Polisi tangu jana mchana. Meneja wa Kyela FM, Lamso Malongo amethibitisha kuwa wanahabari hao kwa sasa wako huru na taratibu...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Ninamiliki Punda wawili, nimewaweka Singida

    idea hii ya biashara niliipata mwaka jana, na ningeipata kabla ningekua nao wengi sana, Je Punda ana kazi gani ? - punda ana kazi nyingi ambapo maranyingi huwa kazi ngumu kama kulima kuchota maji na kubeba mizigo Kwanini niliwaweka Singida ? - singida kuna mazingira mazuri yanayoruhusu ukuaji...
  14. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Msanii kaje double killer anaaribu vijana mtaani huku wamechomwa moto wawili walikua wanajiita 45

    Huyu jamaa nyimbo zake zinahamasisha vijana wafanye uhalifu Sasa kibaya wanafanya uhalifu huku wakiwa hawana bunduki yaani ni visu na bisi bisi Leo huku mtaani vijana wawili wamechomwa moto na tisheti zao zimeandikwa 45 kikosi vijana tufanye kazi aisee imefikia hatua mtu unataka kula bangi ila...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU yawafikisha Mahakamani Wabunge wawili wa Chato Kusini na Chato Kaskazini

    TAKUKURU GEITA YAWAFIKISHA MAHAKAMANI WABUNGE NA MADIWANI MAJIMBO YA CHATO KASKAZINI NA CHATO KUSINI Ndugu Wanahabari, Kati ya tarehe 28.11.2025 na tarehe 30.11.2025 TAKUKURU (M) Geita ilipokea taarifa za uwepo wa vitendo vilivyoshukiwa kuwa ni vya rushwa vilivyofanywa na Mhe. Cornel Lucas...
  16. Echolima1

    JamiiForums Tanzania GRAPHIC-VIDEO-Magaidi wawili wa Hamas wauawa huko Gaza

    Magaidi waliokuwa wanatafutwa na Majeshi ya Israel kwa mauaji ya Oct 07,2023 hatimaye nao jana walipatikana na kuuwawa walipokuwa kwenye Gari lao. Adiosamigo gallow bird zitto junior na 100 others Tunawasikia wakiongea lugha ya majini wengine lugha hiyo hatuijui kwa faida ya wengi tunaomba...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Hizo propaganda zina mwisho wake mmoja au wawili lazima anywe kikombe

    Kumekuwa na storie niseme propaganda zikiongozwa na mtu mzima Rais wa Marekani huku zikijibiwa kwa vitendo na Iran Wenye akili walishajua kuna mtu alikuwa anajazwa kwenye mfumo naye kajaa kisawasawa kituo kinachofwata Israeli inaenda kufutwa kwenye Uso wa dunia na Marekani atapoteza kambi zake...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kulikuwa na wazee wa hizi kazi wawili tu. Saddam Hussein na Osama Bin Laden, Viongozi wa Iran wanachojua ni kupiga domo na kutegemea proxy wars,

    Marekani walipoenda Iraq kwa Saddam Hussein hawakuweza kufikia hata kwa theluthi walichokiweza Iran, yani Iran wameigeuza kama sebule yao, wanajipigia tu. Osama alikuwa mwiba sana, hadi Marekani wanamkamata ilikuwa shughuli nzito. Iran alitegemea zaidi kufanya mashambulizi kwa Proxies kama...
  19. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nitawasimulia wajukuu wangu tena kwa madaha ni namna gani nilibahatika kushuhudia vidume hawa wawili wakiikomboa dunia huru dhidi ya radicals

    LONG LIVE THE CRUSADE, LONG LIVE THE ZION Hawa ndio wanaohakikisha dunia huru isiwe chini ya radicals na extremists.
  20. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Wanaume wawili Zanzibar watekwa kwenye gari aina ya IST

    Kuna habari ya wanaume wawili kutoka Zanzibari ya kuwa wametekwa na watu wawili walio kuwa na gari aina ya IST nauliza kweli wanaume mnatekwa kwenye gari aina hii? Rais wa Zanzibari chukua hatua
Back
Top Bottom