watumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hili la watumishi Serikalini kutakiwa wataje makabila yao na dini zao lingetendeka Kenya, humu hakungekalika

    Watanzania wengi humu JF hupenda kuisema Kenya kwa mambo yetu ya kutajana makabila, ila wao kwa unafiki huwa wanayafanya sana kimya kimya, naona hapa taarifa itakua shurti kwa kila mtumishi wa umma kutaja kabila lake na dini yake, yaani inawekwa kwenye sera kabisa...
  2. Hivi punde

    JamiiForums Tanzania Watumishi wengi wa Serikali hawana tija. Mishahara inapotea bure

    Unakuta mtumishi wa serikali anaingia kazini saa 2 asubuhi. Saa 3 anatoka kwenda mtaani kutafuta chai...anarudi ofisini saa 5 au 6 mchana. Anavuta muda ikifika saa 7 mchana anatoka kwenda kutafuta chakula cha mchana. Anarudi saa 8 mchana. Saa 9 huyo anaondoka zake. Ni watumishi wengi sana wa...
  3. Midimay

    JamiiForums Tanzania Kwanini UTUMISHI inaendelea kuwapa mikataba Watumishi wanaostaafu?

    Habari za mchana wakuu. Kama swali lilivyouliza; Tetesi na pengine uhakika ni kwamba UTUMISHI wameendelea kuwa na tabia ya kukubali lobying kwa watumishi wanaogopa kustaafu, kuwaongezea mikataba baada kufikisha umri wa kustaafu kwa lazima(kwa mujibu wa sheria na kanuni mbali mbali) yaani miaka...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Serikali daima ni wahanga wa wanasiasa

    Angalia Msukuma anavyowashambuliaga Wakurugenzi kule Jimboni kwake. Yaani Mwanasiasa yeyote akitaka kujitoa kwenye kutowajibika basi huanza kumshambulia Mtumishi wa Umma anayehusika na jambo Fulani. Musukuma kwa kupitia Kamati inayohusika na zabuni angeweza kuzuia kile alichodai ni matumizi...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Orodha ya watumishi waliopata vibali vya uhamisho wa kubadilishana vituo vya kazi kuanzia Novemba 2021 – Januari 2022

    ORODHA YA WATUMISHI WALIOPATA VIBALI VYA UHAMISHO WA KUBADILISHANA VITUO VYA KAZI KUANZIA NOVEMBA,2021 – JANUARI,2022 Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Prof.Riziki Shemdoe ameridhia kufanyika kwa uhamisho wa watumishi 1544 wa kubadilishana vituo vya kazi kwenye Mamlaka za Serikali za MItaa...
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania CV walizojaza watumishi wa umma kwa maelekezo ya Hazina nini hatma yake?

    Habari, Wiki iliyopita na wiki hii kuna watumishi wa umma wamejazishwa CV kwa maelekezo na maagizo kutoka HAZINA. Hii nilijua ni ofisi tu kumbe ni ofisi zote. Lazima kuna lengo ndani ya CV ile. Binafsi ninahisi mambo mawili haya moja linaweza kuwa ndio lengo kuu la ile CV. 1.Kupunguza...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma waombwa na Hazina kuorodhesha Dini na Kabila zao. Rais Samia na Wasaidizi wako, haya yanafanyika kwa lengo gani?

    Habari wana JF .. Mimi niliahidi sitamkosoa Rais Samia, kwa sababu nilishawakosoa sana ma Rais wa nchi hii hadi nachoka; lakini Kuna mambo ni mazito huwezi hata kufikiri yanaweza kufanyika kwa karne hii. Mimi niwaombe Serikali, niwaombe CCM, niwaombe washauri wa Rais, kama mmechoka, mtuachie...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa watumishi wa umma waliofikisha umri wa kustaafu kuongezewa mkataba?

    Je, ni sawa watumishi wa umma kuongezewa mkataba? Jamani nasema kuna watu wa shirika fulani la umma wanaongezewa mikataba ili hali wameshastaafu. Je, ni sawa watumishi wa umma kuongezewa mkataba ili hali wameshastaafu?
  9. B

    JamiiForums Tanzania Napendekeza sheria itakayoshurutisha watumishi wa umma kufanya kazi miaka 10 pekee kisha wastaafu na kujiajiri

    Wanajukwaa, Naomba kupendekeza ili kupambana na janga la ajira, kuanzia sasa watu wanaoajiriwa katika sekta za umma wafanye kazi for only 10 years then wastaafishwe watumie walichopata kujiajiri. Hii itahakikisha kuwa nguvu mpya kutoka vyuoni inapata nafasi ya kutumikia taifa na kuongeza pia...
  10. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania Kaimu Postamasta Mkuu, Macrice Mbodo: Lazima matokeo yaonekane kwa kila anayetumikia shirika hili

    Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania Bw. Macrice Daniel Mbodo amewataka wajumbe wa Baraza la Majadiliano wa Shirika hilo nchini kuchukua kila fursa inayoonekana inaleta tija kwa Shirika kwa lengo la kuhakikisha wanachi wanapata huduma bora na zinazoendana na mahitaji yao kulingana...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia usikubali ugomvi na Watumishi wa Umma

    Tunajua kuna watu washakuletea mezani kwako takwimu kwamba uchumi unayumba hivyo usiongeze mishahara ya watumishi, mama akikubali hilo huo utakuwa msumari wa mwisho kwenye jeneza lako, kumbuka una vita ya Mfumo dume ambayo inaendeshwa na wana ccm wenzio wanafanya kila mbinu wapate point za...
  12. Kufa c mwiko

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Wilaya ya Chamwino acha tabia ya kuwapiga Watumishi wa chini yako!

    Hii ni mala ya pili jana kumdunda mtumishi hapa kijiji cha manchali,wiki chache zilizopita ulimfanyia hivyo mwalimu mkuu wa shule ya msingi chinangali 2 hukuridhika ukamshusha na cheo Je umewahi kujiuliza ni kwanini mliona umuhimu wa kununua wenyewe vifaa vya ujenzi vya shule zoote...
  13. Naipendatz

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Serikali DSM ni lini wataacha kuwa "wahuni"?

    Wote wamepewa fedha sawa kwa darasa moja (Mil 20). Ninavyosikia (Sina uhakika), vifaa vya ujenzi (Nondo, bati, Cement) DSM ni nafuu zaidi kulinganisha na mahali kama Bukombe kutokana na umbali kutoka viwandani. Lakini nikiangalia viwango vya madarasa katika picha hapa chini inaonesha kabisa...
  14. Konseli Mkuu Andrew

    JamiiForums Tanzania Serikali inawachukulia hatua gani waajiri wanaoipatishia hasara serikali kwa kufukuza kazi watumishi kihuni?

    Kumezuka tabia ya watumishi wa umma kufukuzwa kazi kihuni na waajiri wao na kutokana na kutofuraishwa na kufukuzwa kwao , watumishi hao huwa wanaenda kufungua malalamiko huko CMA Commission for Mediation and Arbitration na mwishowe huwa maamuzi hufikiwa idara hiyo ya serikali hutakiwa kumlipa...
  15. DustBin

    JamiiForums Tanzania Vyeti feki na nidhamu ya kazi kwa watumishi wa umma; kwavyo nitakukumbuka

    Nawasalimu kwa jina la JMT Moja kwa moja niende kwenye mada. Leo nimeamkua na kukumbuka namna watumishi wa vyeti feki walivyokua wameziba nafasi za ajira kwa wenye sifa. Dhulma hii ikasawazishwa kwa kuondolewa waliobainika kughushi taarifa za ajira hasa kwenye vyeti vya taaluma. Heko..! Kwa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais Samia zuia mazao kwenda nje ya nchi, njaa inalinyemelea Taifa

    Mh. Ukiachilia mbali mfumuko wa bei wa ajabu kuwahi kutokea,,,nakuomba zuia mazao kwenda nje ya nchi ulinisuru Taifa na njaa,,mvua zimegoma kunyesha mahindi na mpunga vimeanza kupandishwa bei kiholela.Mh.nakuomba simama na wananchi angalau kwa hili njaa itakuletea mgogoro mkubwa katika utawala...
  17. Abdalah Abdulrahman

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Serikali kulazimisha Watumishi wa Umma kuchanja chanjo ya UVIKO-19

    Watumishi wa umma ndio wanaowahudumia wananchi,kasi ya ugonjwa wa uviko-19 inaweza kupungua kwa serikali kuwalazimisha watumishi wa umma kuchanja. Hii itasaidia 1. Watumishi kuto ambukizana 2. Watumishi kuto ambukiza wananchi 3. Wananchi kuto kuwaambukiza watumishi Nchini Kenya idadi ya...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima umechemka kuhusu Uuzaji wa Damu unaodai unafanywa na Watumishi wa Wizara ya Afya. Hujui ufanyalo

    Waziri wa Afya Dr Gwajima Katika hotuba yake aliyoitoa kwa watumishi ambapo aliwaonya kuhusu kununua damu au kwa watumishi kuuza damu na kudsi ni kosa hivyo anatoa eti mwezi kwa yoyote atakayebainika atachukuliwa hatua kali za kisheria. Cha Ajabu akiwa kama Waziri wa Afya kwanza Watumishi Wote...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Serikali kupitia BoT, iruhusu watumishi wa umma wanaolipwa posho za mwezi kukopa kupitia posho zao

    Kwa wale watumishi wa umma ambao taasisi zao huwalipa posho kila mwezi(mfano JWTZ, Polisi, n.k), wakati umefika waruhusiwe kukopa kupitia posho hizo kwa kukatwa sehemu ya posho zao kulipa mikopo watayochukua. Tofauti na mikopo kupitia mishahara ambayo huwa ni ya muda mrefu (miaka 7 mpaka 8)...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma wamekuwa wanyonge Namba moja Nchi Hii. Tatizo idadi yao haigeuzi matokeo ya chaguzi

    "Pls ninaomba huu uzi wangu usifutwe au kuunganisha, manake siku hizi JF hamnipendi nyuzi zangu nyingi mnazifreeze! WHY?" Mwaka huu Benki zimeambiwa zipunguze riba kwa kuwaneemesha wakulima (Rais Mama Samia alienena haya akijisahaulisha kabisa kuhusu watumishi wa umma ambao ndiyo wakopaji...
Back
Top Bottom