Afisa mtendaji kata ya Lulembela wilaya ya Mbogwe mkoani Geita leo tarehe 6 September 2021 amewafikisha mahakamani baadhi ya watumishi (Walimu na wataalamu wa afya) kujibu shauri alilolifungua (KUPINGA MAENDELEO) katika mahakama ya mwanzo Lulembela.
Katika shauri hilo walilosomewa watumishi hao...
Afisa Mtendaji kata ya Lulembela, wilaya ya Mbogwe, mkoa wa Geita amekuwa Mungu mtu kwa kutisha na kulazimisha wananchi na watumishi kutoa mchango wa maendeleo bila staha na kuzingatia utu wa mtu.
Anamtumia balozi wa nyumba kumi anayeitwa Benard Gwanguru ambaye amekuwa akiambatana na mgambo...
Kuna kitu hakiko sawa kwenye mifumo ya serikali, pamoja na bodi inayo shugulikia mikataba FCC kujidani na kuwashauri watu wasitoe mikataba ya unyonyaji na manyanyaso bado tunahitaji sheria zibadilishwe. Tarehe za kustaafu zikifika mtumishi aache kwenda kazini ila mshahara uendelee kulipwa ili...
Binti Christina ni afisa wa Benki
bibi Ganush nyumba yake inatakiwa kuuzwa ameshindwa kulipa mkopo na ameshaongezwa muda mara mbili, Chritine ana uwezo wa kumuongeza muda bibi lakini hii ni nafasi yake ya kuonesha kwamba ana uwezo wa kufanya maamuzi magumu ili aweze kupanda cheo. Hivyo anaamua...
Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora, Deogratius Ndejembi amesema Watumishi 4,380 walioondolewa kwenye orodha ya malipo ya mishahara kimakosa wakati wa uhakiki wa Vyeti vya Elimu na Watumishi hewa wamerejeshwa kazini.
Ameeleza hayo akimjibu Mbunge wa Mikumi, Dennis Lazaro Londo aliyeuliza...
Watumishi wote wa Umma Nchini humo watatakiwa kuonesha ushahidi kuwa wamepata chanjo dhidi ya COVID19 kabla ya kuruhusiwa katika maeneo yao ya kazi
Rais Alpha Condé ametoa maelekezo kwa Waziri Mkuu kuhakikisha Mawaziri wote pamoja na Watumishi wengine Serikalini wanapata Cheti ili kuruhusiwa...
Kuwa na dhamana ya maisha ya watu ni pamoja na kuwajibika zaidi hata dhidi ya ujinga wao.
Babu wa Loliondo angekuwa hai Kenya lakini si Tanzania.
Heko rais Kenyatta kwa maana heri lawama kuliko fedheha. Kenya kwa mtumishi wa umma, chanjo ni lazima.
Pole pole tutafika tu.
Kwanza Janssen...
Taarifa kutoka ofisi ya Rais-Tamisemi jioni hii ni kwamba watumishi wawili ambao ni afisa elimu(msingi) na muuguzi msaidizi hospitali ya mkoa wa Arusha wachukuliwa hatua za kinidhamu baada ya video kuvuja wakifanya igizo la chanjo ya corona ambayo watanzania wengi hawaonyeshi kukubaliana nayo...
Tuna kukumbusha Mhe. Waziri Jenister Mhagama siku ya sabasaba ukiwa na mkurugenzi mtendaji wa PSSSF kwenye banda lao, mlisema kwa sasa mnafanyia kazi marekebisho ya malipo na maelekezo ya Mhe Samia Suluhu Hassan kuhusu kuwalipa wastaafu.
Walio staafu kuanzia mwezi 3 hadi sasa hawajalipwa, je ni...
Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mathew Kundo ameagiza watumishi watatu wa Redio Sengerema ya wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza kuwekwa ndani kwa muda usiojulikana kutokana na ubadhirifu wa Sh28 milioni
Wafanyakazi hao ni ofisa habari Halmashauri ya Sengerema, Silvanus...
Mhe. Waziri,
Watumishi wako wana miezi 3 hawajalipwa nauli za kwenda majumbani kwao baada ya kustaafu.
Watumishi wako wana miezi 4 toka wastaafu hawajalipwa Pensheni na mliahidi na Jenister Mhagama kuwa mtarahisisha malipo ya pensheni kuchukua muda mchache sana, pamoja na kujaza fomu zote na...
Utangulizi
Kwa muda mrefu kumekuwapo na kilio cha watumishi wa umma na taasisi za binafsi wakilalamikia masharti magumu wanayokumbana nayo katika taasisi za kifedha nchini ikiwemo riba kubwa za mikopo wanayoomba kwenye taasis hizo.
Mabenki na taasisi hizo humvutia mkopaji kwa kumuwekea...
Nafasi za kazi kwa Watumishi wa Umma wanaotaka kuhamia kufanya kazi katika Chuo Cha Utalii (NCT) Dar es salaam
Kwa Mtumishi wa Umma anaehitaji kuhamia chuo cha Taifa cha Utalii kwa nafasi ya Mhasibu au Mkaguzi wa Ndani
pls aje inbox 📨
Nimefanikiwa kuwadodosa baaadhi ya wazee wenye nyadhfa serikalini kuhusu mkanganyiko wa mambo unaoendelea nimeshtushwa kwamba hata wao wanayojadili na kuyaamini si haya yanayotekea kwenye utendaji.
Nafasi ya wanasiasa Ni kubwa Sasa kwa Sasa hasa baada ya kutoa wataalam na wabobezi wengi kwenye...
Wiki iliyopita nilienda Benki ya Posta kuomba mkopo ili nifanye miradi yangu.
Dhamana kuu ni mshahara wangu.
Sasa cha ajabu naambiwa nilete
Picha zangu
Barua yangu ya mkono
Nakala ya kitambulisho cha NIDA
NAKALA YA KITAMBULISHO CHA KAZI.
Barua ya mwajiri
Barua ya kuajiriwa
Barua ya...
Ni kwamba katika utawala wa Magufuli mwaka 2018/2019 baadhi ya Watumishi kwenye Taasisi ambazo zina majina walifanyiwa uchunguzi wa kimya kimya kwenye Akounti zao za mabenki.
Nasikia kuna mzee moja alikuwa anafanya kazi MSD, wakamkuta bank na fedha kiasi cha shilingi Bilioni 2 za Kitanzania...
Elimu ni uwekezaji kama aina nyingine za uwekezaji hivyo muwekezaji anategemea kupata faidia baadae, ila kuta baadhi ya taasisi au mashirika, mtu ana shahada ila analipwa mshahara wa astashahada.
Au unakuta sehemu mtu ana elimu ya dalasa la saba ila analipwa mshahara zaidi ya mtu mwenye...
Jana tarehe 19/7/2021 katika kipindi cha dakika 45 kinachorushwa na ITV, Waziri Mwigulu akihojiwa na Farhia Midley:
Swali: Mnataka wananchi wafunge mikanda lakini nyinyi viongozi hamuonekani kufunga mkanda"
Jibu: "Kutokana na serikali kuwa serious na swala la kubana matumizi imefuta posho zote...
Ndugu zangu na washikaji zangu ambao upepo wa kupanda daraja ulituacha mwezi uliopita japo tulistahili, tusipopanda mwezi huu tufanyaje? Tulioanza nao kazi na tuliowapita sasa wana mishahara mikubwa zaidi yetu japo elimu ni moja.
Sakata la vyeti feki na wafanyakazi hewa ni moja kati ya suala ambalo lilishika sana vyombo vya habari mwanzoni mwa mwaka 2017. Katika makala haya naangalia kama yalileta matokeo chanya kwa kudhibiti mishahara kwa wasio stahili na mishahara hewa
Mwaka 2019 waziri Mkuchika alisema Serikali ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.