watumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania Je, Taasisi za Serikali hazina watumishi wenye Sifa hadi Wakurugenzi Wakuu Wateuliwe toka Nje ya Mfumo?

    Thread hii, inatokana na baadhi ya teuzi za wakurugenzi wa TANESCO na MSD kutoka nje ya mfumo. Nina declare interest kwamba sina shida na teuzi ya MSD. Ni mmoja wa colleagues tuliyekuwa tukifanya naye kazi nje ya mfumo. Ninaamini anastahili, na ataweza. Tatizo linatokea hapa. 1. Hivi inakuwaje...
  2. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma Njooni mu "apply scholarship" za MOFCOM@China

    Halo JF ..... Mwaka jana mwezi wa 10 Wizara ya Utumishi wa Umma ilitoa Tangazo la maombi ya Scholarship kwa Masters na PhD kwa watumishi wa Umma. Kilichonishangaza ni kwamba tarehe 04/04/2022 Wizara Imeweka tena tangazo. Hii inaonyesha na kutafsirisha kwamba Watumishi wa Umma hawakuomba ili...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Tabora: Watumishi 653 wamepandishwa vyeo

    Halmashauri ya Manispaa Tabora imempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwapandisha madaraja watumishi wake 653 wa kada mbalimbali katika kipindi cha mwaka mmoja wa utawala wake. Pongezi hizo zimetolewa Aprili 4, 2022 na Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa hiyo, Ramadhan Kapela ambaye pia...
  4. data

    JamiiForums Tanzania Watumishi tunapoelekea Mei Mosi tumwambie nini Rais Samia?

    Shime shime shime watumishi wenzangu ...asiye na mwana aeleke jiwe. Tunapoelekea Mei Mosi ya kwanza ya Rais Samia S. Hassan akiwa katimiza mwaka mmoja kazini si vibaya tukatanguliza yale tunayotarajia kusikia toka kwake. Kama alivyotuahidi nyongeza ya mshahara mwaka huu bila shaka hilo...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Ninayoyasikia mtaani juu ya watumishi wa Umma katika awamu ya sita yanatisha

    Siku hizi mtaani kuna vilio cha maumivu makubwa ya watu kulalamikia utendaji usioridhisha wa watumishi wa Umma. Wengine wanalalamika uzembe ,rushwa, uonevu na kutosikilizwa kukishamiri katika ofisi za Umma. "Ukienda ofisi ya Umma bila kutoa chochote yawezekana usipate huduma inayoridhisha na...
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kati ya watumishi wa Mungu wenye majina makubwa na wanaoonekana kwenye TV, hakuna hata mmoja aliyetabiri kinagaubaga vita ya Ukraine.

    Sasa nimeamini kuwa kadri elimu inavyoongezeka basi ujinga inapungua na nafasi yake kushikwa na upumbavu. Kwenye haya makanisa ya kitapeli kuna wasomi wa level zote lakini huwaambii kitu kuhusu kiongozi wao. Kabla ya vita ya UKRAINE sijasikia mtu wa Mungu yeyote aliyetabiri kwa uwazi mahali...
  7. MoseKing

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Mei Mosi 2022: Rais Samia, Waokoe Watumishi wako Dhidi ya Dhulma Kali ya Makato ya Lazima ya Mshahara kutoka kwa Vyama vya Wafanyakazi

    Ni ukweli ulio wazi kwamba sisi kama Watumishi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tunapitia kipindi kigumu hasa kiuchumi na Cha muda mrefu sasa. Licha ya changamoto nyingi ambazo Watumishi wamekuwa wakipitia, hali iliyopelekea Watumishi kuamua kuwa pamoja katika vyama kwaajili ya kupambania...
  8. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania Watumishi wazoefu ndio wapelekwe Wizarani

    Ukienda Wizara ya Afya, utakuta kuna watumishi kedekede, wanaosimamia jambo ambalo hawajawahi lifanya. Kuna wafamasia, ambao hawajawahi toa hata kidonge kimoja kwa mgonjwa, kuna madaktari ambao hata ndugu yake akiumwa Typhoid atapiga simu kwa daktari mzoefu hospitalini amtajie dawa nzuri. Kuna...
  9. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Kondoa: Afisa Manunuzi amlalamikia Mkurugenzi kwa kutukana watumishi, asema ubabe wake umezidi

    Afisa Manunuzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa, Mussa Kimwaga amemlalamikia Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo kwa kutukana na kuwa mbabe kwa watumishi. Bw. Kimwaga akitema cheche Tuna ubunifu mwingi sana na ushauri mwingi lakini hatupewi nafasi ya kutoa ushauri mzuri. Ubabe ni mkubwa sana kwa...
  10. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Watumishi sita wafukuzwa kazi kwa utoro, kughushi

    Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga limewafukuza kazi watumishi sita kutokana na makosa mbalimbali ya kiutumishi. Uamuzi huo umetangazwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga, Ngasa Mboje wakati wa Kikao cha Baraza la Madiwani kilichofanyika Februari 23, 2022...
  11. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hili la watumishi Serikalini kutakiwa wataje makabila yao na dini zao lingetendeka Kenya, humu hakungekalika

    Watanzania wengi humu JF hupenda kuisema Kenya kwa mambo yetu ya kutajana makabila, ila wao kwa unafiki huwa wanayafanya sana kimya kimya, naona hapa taarifa itakua shurti kwa kila mtumishi wa umma kutaja kabila lake na dini yake, yaani inawekwa kwenye sera kabisa...
  12. Hivi punde

    JamiiForums Tanzania Watumishi wengi wa Serikali hawana tija. Mishahara inapotea bure

    Unakuta mtumishi wa serikali anaingia kazini saa 2 asubuhi. Saa 3 anatoka kwenda mtaani kutafuta chai...anarudi ofisini saa 5 au 6 mchana. Anavuta muda ikifika saa 7 mchana anatoka kwenda kutafuta chakula cha mchana. Anarudi saa 8 mchana. Saa 9 huyo anaondoka zake. Ni watumishi wengi sana wa...
  13. Midimay

    JamiiForums Tanzania Kwanini UTUMISHI inaendelea kuwapa mikataba Watumishi wanaostaafu?

    Habari za mchana wakuu. Kama swali lilivyouliza; Tetesi na pengine uhakika ni kwamba UTUMISHI wameendelea kuwa na tabia ya kukubali lobying kwa watumishi wanaogopa kustaafu, kuwaongezea mikataba baada kufikisha umri wa kustaafu kwa lazima(kwa mujibu wa sheria na kanuni mbali mbali) yaani miaka...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Serikali daima ni wahanga wa wanasiasa

    Angalia Msukuma anavyowashambuliaga Wakurugenzi kule Jimboni kwake. Yaani Mwanasiasa yeyote akitaka kujitoa kwenye kutowajibika basi huanza kumshambulia Mtumishi wa Umma anayehusika na jambo Fulani. Musukuma kwa kupitia Kamati inayohusika na zabuni angeweza kuzuia kile alichodai ni matumizi...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Orodha ya watumishi waliopata vibali vya uhamisho wa kubadilishana vituo vya kazi kuanzia Novemba 2021 – Januari 2022

    ORODHA YA WATUMISHI WALIOPATA VIBALI VYA UHAMISHO WA KUBADILISHANA VITUO VYA KAZI KUANZIA NOVEMBA,2021 – JANUARI,2022 Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Prof.Riziki Shemdoe ameridhia kufanyika kwa uhamisho wa watumishi 1544 wa kubadilishana vituo vya kazi kwenye Mamlaka za Serikali za MItaa...
  16. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania CV walizojaza watumishi wa umma kwa maelekezo ya Hazina nini hatma yake?

    Habari, Wiki iliyopita na wiki hii kuna watumishi wa umma wamejazishwa CV kwa maelekezo na maagizo kutoka HAZINA. Hii nilijua ni ofisi tu kumbe ni ofisi zote. Lazima kuna lengo ndani ya CV ile. Binafsi ninahisi mambo mawili haya moja linaweza kuwa ndio lengo kuu la ile CV. 1.Kupunguza...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma waombwa na Hazina kuorodhesha Dini na Kabila zao. Rais Samia na Wasaidizi wako, haya yanafanyika kwa lengo gani?

    Habari wana JF .. Mimi niliahidi sitamkosoa Rais Samia, kwa sababu nilishawakosoa sana ma Rais wa nchi hii hadi nachoka; lakini Kuna mambo ni mazito huwezi hata kufikiri yanaweza kufanyika kwa karne hii. Mimi niwaombe Serikali, niwaombe CCM, niwaombe washauri wa Rais, kama mmechoka, mtuachie...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa watumishi wa umma waliofikisha umri wa kustaafu kuongezewa mkataba?

    Je, ni sawa watumishi wa umma kuongezewa mkataba? Jamani nasema kuna watu wa shirika fulani la umma wanaongezewa mikataba ili hali wameshastaafu. Je, ni sawa watumishi wa umma kuongezewa mkataba ili hali wameshastaafu?
  19. B

    JamiiForums Tanzania Napendekeza sheria itakayoshurutisha watumishi wa umma kufanya kazi miaka 10 pekee kisha wastaafu na kujiajiri

    Wanajukwaa, Naomba kupendekeza ili kupambana na janga la ajira, kuanzia sasa watu wanaoajiriwa katika sekta za umma wafanye kazi for only 10 years then wastaafishwe watumie walichopata kujiajiri. Hii itahakikisha kuwa nguvu mpya kutoka vyuoni inapata nafasi ya kutumikia taifa na kuongeza pia...
  20. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania Kaimu Postamasta Mkuu, Macrice Mbodo: Lazima matokeo yaonekane kwa kila anayetumikia shirika hili

    Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania Bw. Macrice Daniel Mbodo amewataka wajumbe wa Baraza la Majadiliano wa Shirika hilo nchini kuchukua kila fursa inayoonekana inaleta tija kwa Shirika kwa lengo la kuhakikisha wanachi wanapata huduma bora na zinazoendana na mahitaji yao kulingana...
Back
Top Bottom