watumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Feld Marshal Tantawi

    JamiiForums Tanzania Kikwete watumishi wa Mungu hawezi kutofautisha siasa na dini kwa sababu siasa ni dini na dini ni siasa

    Watanganyika wenzangu someni andiko hili mtapata faida na maana kubwa acheni kuhadaiwa na viongozi wa kisiasa wanataka kuigeuza nchi yetu shamba la Bibi.🩸🩸🩸 Kwanza kabisa napenda niwashukuru Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) kwa kazi nzuri wanayoifanya ya kuuelewesha Umma. Kanisa Katoliki ni...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma, mwezi huu kuna jipya?

    Mshahara wa mwezi August ndio umetoka, swali ni je, kuna jipya mwezi huu? Tukumbuke mwezi wa 7 hakukuwa na mabadiliko kama ilivyokuwa inatarajiwa. Karibuni.
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU Katavi, yawafikisha Watumishi saba kizimbani kwa ubadhilifu

    TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Katavi imewafikisha mahakamani watumishi saba wa serikali kwa tuhuma za kujihusisha na ubadhilifu wa fedha za serikali zaidi ya shilingi bilioni 1.23 Akizungumzia ubadhilifu huo Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Katavi, Faustine Maijo amesema...
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Wazee mshahara umeshasoma huko?

    Haya wazee wa mshahara leo ni siku yetu ambayo tunatumaini itafunika miaka 7 yote iliyopita. Vipi huko ishasoma?
  5. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Mungu wamekuwa wakame rohoni sasa makanisani wanafundisha falsafa za kidunia, Falsafa ambazo unaweza kuzipata popote

    Injili ya kale ya akina Petro ilikuwa rhema. Rhema ni neno la Mungu kwa wakati husika. Yaani Mungu anasema kwa kinywa cha mtu. Anaweza kutumia neno hili la kila siku (logos) ila anaposema Mungu mwenyewe hulitia uzima na kutimiza kusudi lake kwa haraka kama umeme. Ndio maana ukisoma kitabu cha...
  6. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Rais Samia, Watumishi Wastaafu wa Jeshi tunaomba utusaidie kupata stahiki zetu, tunateseka

    ➤ Sisi ni Watumishi wa Umma Wastaafu tuliokuwa tunafanyia kazi vikosi mbalimbali vya Jeshi, tuliajiriwa kila mtu na CV namba yake na kila mtu alipewa barua ya kuajiriwa pia kila Mwajiriwa alikuwa na C/NO yake ya kupatia Mshahara kutoka Hazina (Pay Slip tunazo). ➤ Tukiwa katika ajira tulikuwa...
  7. BigTall

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Chuo Kikuu Iringa hawalipi mishahara kwa wakati na kuna changamoto ya Mifumo ya Malipo, hivyo Watumishi wasio waadilifu wanachezea mifumo ya malipo

    Sakata la Chuo Kikuu cha Iringa roho za Watanzania zinateseka katika hicho chuo, kwanza hakilipi mishahara kwa wakati matokeo yake Watumishi wasio waadilifu ikiwepo Ofisi ya Uhasibu wanatengeneza mchezo mchafu wa malipo hewa ili kujipatia fedha. Ishu hiyo ilipokugundulika chuo bila kuchunguza...
  8. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Rushwa kwa watendaji wa serikali

    Katika miaka michache niliyowahi kufanya kazi katika jamii, nimegundua na kushuhudia namna WATENDAJI wa serikali wanavoihujumu serikali na nchi yao kwa kupokea rushwa. Hili linajidhihirisha katika mikoa ya Tabora, Shinyanga na Simiyu ambapo watoto wengi huachishwa shule kwaajili ya kuchunga...
  9. Black Legend

    JamiiForums Tanzania Rais, kwa mara nyingine unatukosea Watumishi wa Umma nyongeza ya mshahara

    Ni wazi kuwa sasa ni mwaka wa 8 watumishi hawapati shahiki yao ya nyongeza ya mshahara. Matamko mbalimbali hususani kwenye sherehe za Mei Mosi, Rais kupitia majibu ya hotuba ya wafanyakazi alitoa kauli ya kurudisha japo Annual Increment kwa watumishi ifikapo July mwaka mpya wa bajeti. Tofauti...
  10. GoPPiii.

    JamiiForums Tanzania Watumishi hawatuhamishi sisi wa mtaani

    Inakuwaje tarehe za mwisho wa mwezi foleni ATM ni kubwa kuliko kawaida, foleni ina almost mita 50 aisee. Yaani mtu hadi unahairisha kutoa unaenda zako kwa wakala. Hivi kwa mishahara hii kiduchu tutatoboa kweli. Tujitahidi kutafuta financial freedom. Mshahara inabidi usitoke pale unapowekewa...
  11. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Poleni watumishi wa umma uyo ndio mama anaupiga mwingi hakuna ongezeko la mshahara

    Poleni sana tena sana endeleni kunywa mchuzi nyama mtazikuta chini
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa serikali 3, watumishi 0. Mpira umebaki dk 7

    Ngoja kwanza nicheke Ahahahahahah
  13. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Kwa maslahi mapana ya watumishi wa Umma Mwigulu, Jenista Mhagama na Ndalichako watoke kwenye Baraza la Mawaziri

    Kumbuka hawa wote ndio walikuwa kwenye awamu iliyopita, awamu ambayo ilikua ni laana kumuongezea mtumishi mshahara au kumpandisha daraja. Kwa miaka 7 waliyokaa ilikua michungu Sana. Pamoja na nia njema ya mama kwa wafanyakazi lakini naona wazi wazi watu niliowataja hapo juu, nia njema hii ya...
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Watumishi tulieni, tunawaingizia Annual Increments zenu

    Ahahahaha Tumieni vizuri hizo annual increment, msimalize kwenye ulevi na zinaa. Nunueni hata tukuku mle, inakuwaje mtumishi unamaliza miezi 6 hujala kuku wa kienyeji😭😭😭
  15. I

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Serikali siyo wazazi wetu bali ni watumishi wa umma

    Nimeona clip ya Nape Nauye akifoka na kumwambia Tundu Lissu amuheshimu Rais Samia kwa kuwa ni mama yake. Sawa hatukatai kuwa kila mtu anastahili heshima na si viongozi tu wa serikali na kisiasa. Kosa kubwa ni pale machawa wa viongozi wanataka chawa wao wasikosolewe wala kofokewa wanapofanya...
  16. Pascal Ndege

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma wakimaliza utumishi wa kisiasa warudi kwenye ajira zao mpaka watakapostaafu

    Kuna sheria ya utumishi wa Umma endapo mtumishi akitoka kwenye ajira yake na kuteuliwa kwenye nafasi kisiasa hata kama bado haja staafu hawezi kurudia ajira yake. Miezi kadhaa kuna mabosi wa Chama cha Walimu walikataa katakata kutoka kwenye ajira zao na kwenda kwenye teuzi. Mimi binafsi...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Taasisi za mikopo zinawaona watumishi wa Umma sio waelewa! Serikali iingilie kati tunakufa

    .
  18. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Ukiona mtu anapambana na Watumishi wa Mungu usibishane nae angalia amefanya nini kwanza

    Nimeona roho za kupinga Watumishi wa Mungu zikisambaa vyema kama unaweza watu wa aina hii usibishane nao we angalia wao wanapiga kelelee wamefanya nn juu ya Mungu Ukiona hamna kitu ujue basi we kazi yako nenda kapokee kile Mungu amekuandalia kwenye maisha yako na sio kuungana kushindana nao...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kuna kero kubwa kwa Watumishi wa Umma wanapotaka kuhama au kubadili taasisi

    Mdau wa Jamii Forums anaeleza... Mimi ni mtumishi wa Umma kuna jambo ambalo limekuwa kero kwa Watumishi wengi, ni kuhusu kuomba uhamisho kutoka Taasisi moja kwenda nyingine au kuomba kwenda kufanya ‘interview’ ya kazi. Kuna mambo kadhaa ambayo yanafanya kuwe na ugumu katika kufanikisha hilo...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mwezi wa Saba umefika, Watumishi wategemee ongezeko la mshahara au increament?

    Imekuwa kama utaratibu kwa serikali kuongeza mshahara mwezi wa Saba, watumishi wana tashwishi ya kujua kama kuna ongezeko au wasubiri increament wadau mlioko jikoni mtujuze. Kazi iendelee
Back
Top Bottom