watumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania Wabunge na watumishi wa umma isikieni sauti iliayo nyikani

    Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere alisema mwaka 1995 kuwa "Ukipewa kazi ya nchi, lazima ujiheshimu. Huwezi kupewa kazi ya nchi halafu ukaishi kihunihuni." Ni kweli kuwa dunia inaenda kasi na pia wakati ni ukuta; muda ni mchache na mambo ni mengi lakini kama umepewa kazi ya nchi ni...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Hivi HESLB wametoa mkopo wa elimu ya juu kwa Watumishi?

    Mkopo wa HESLB 2021 watumishi wanapewa?
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Watumishi wote wa Afya katika Mamlaka za viwanja vya ndege kujilinda wenyewe kwa kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi ya Corona

    Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Aifello Sichalwe amewaagiza Watumishi wote wa Afya katika Mamlaka za viwanja vya ndege kujilinda wenyewe kwa kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa Corona kwa kuvaa barakoa, kunawa mikono mara kwa mara kwa sabuni na maji safi tiririka. Dkt. Sichalwe...
  4. Chee4

    JamiiForums Tanzania Watanzania wafurahia kauli ya Rais Samia kushughulikia uchumi kwanza kabla ya Katiba Mpya

    Watanzania kutoka maeneo mbalimbali wamefurahishwa na hatua ya Mhe. Rais wa Samia Suluhu Hassan, juu ya jitihada zake za kuhakikisha anainua uchumi wa Watanzania na akisisitiza suala la Katiba Mpya apewe muda kidogo. Watanzania hao kutoka mikoa mbalimbali ikiwemo ya Arusha, Mwanza, Dar es...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Upandishaji wa madaraja kwa Watumishi wa Umma: Waziri wa Utumishi tunaomba utoe ufafanuzi

    Mhe. Waziri wa Utumishi, ili kuondoa manung'uniko, upotashaji na sintofahamu iliyotokea baada ya mishahara ya mwezi huu wa June kutoka huku baadhi ya watumishi wakiwa wamepandishwa madaraja na kupata mishahara mipya ila hali wengine hakuna kilichobadilika, nakushauri utoe ufafanuzi wa jambo hili...
  6. Leak

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, ukiongezea Kanisa misamaha ya kodi, Wananchi na watumishi tupewe misamaha pia ili tumudu huduma za Kanisa

    Nakusalimu Mhe. Rais, Kwanza ni ukweli ulio wazi kuwa kanisa hasa la Katoliki limekuwa likitoa huduma nyingi sana kwa jamii hasa katika elimu na afya na wamekuwa wakitoa msaada mkubwa sana kwa jamii na serikali kwani wamekuwa wakichagiza maendeleo kwa ujumla na hutoaji huduma. Ukweli ni kwamba...
  7. msovero

    JamiiForums Tanzania Majina ya walimu na watumishi wa kada ya afya waliopata ajira 2021

    Muda wowote kuanzia sasa serikali kupitia kwa katibu mkuu. OR-TAMISEMI itatangaza orodha ya waombaji waliofanikiwa kupata ajira za ualimu na afya 2021. ========= UPDATES=======
  8. Black Legend

    JamiiForums Tanzania Disappointment: Why watumishi wanachezewa hivi? No madaraja, no malipo ya madai ya mishahara

    Kupitia waziri wa utumishi na utawala bora, mh Mohamed Mchengerwa, serikali iliahidi kupandisha watumishi wake vyeo kwa kada mbalimbali, ikiwepo na kutenga bilioni 300 kwa ajili ya kulipa madai ya malimbikizo ya mishahara. Lakini siku ya leo baada ya mishahara kutoka kumekuwa na vilio kila...
  9. shebination

    JamiiForums Tanzania Waziri Mchengelwa aangukia pua zoezi la upandishaji madaraja watumishi wa umma, vilio vyatanda kila kona

    Waziri Mchengelwa una yapi ya kuwaambia watumishi baada ya kuwaaminisha kuwa wote wanaostahili kupanda madaraja watapandishwa na watalipwa kuanzia mwezi huu na umewaacha hewani huku idadi kubwa awaoni badiliko lolote. Walio karibu na waziri nisaidieni kumfikishia hii
  10. Area 56

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma ambao hatujapanda daraja tukutane hapa

    Baada ya mbwembwe nyingi na mshahara kuchelewa tukiamini kuwa tutapanda madaraja, hatimaye salary imetoka bila mabadiliko yoyote! Vipi huko uliko mtumishi upi katika hali gani?
  11. B

    JamiiForums Tanzania Watumishi wapata kicheko, Mhe. Rais Samia kaishafanya jambo lao - mishahara juu

    Jambo lililoshindikana kwa miaka mitano Mhe. Rais Samia ameliweza ndani ya siku 100. Ni usiku usiku miamala imesoma kwa madaraja mapya tena bila watumishi kupewa barua. Maisha marefu kwa Mhe. Rais Samia Suluhu. Hurrah Mhe. Rais Samia.
  12. Josephat Sanga

    JamiiForums Tanzania Asante Rais samia, tumeona madaraja watumishi wa umma. Mungu akuzidishie

    Asante mama asante sana kilikuwa ni kilio cha watumishi wa umma miaka mingi ila umetenda Mungu akubariki
  13. kurlzawa

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai anajisikiaje Tundu Lissu akilipwa stahiki zake?

    Habari za mchana huu wakuu, Moja kati ya habari zinazogagaa mitandao mbalimbali ni suala la aiyekuwa mbunge wa zamani Tundu Lissu kuonekana katika majina ya watu wanaotakiwa kulipwa stahiki zake. Je, Job Ndugai atajisikiaje maana alikuwa anaongoza hadharani kumkashifu Tundu Lissu ilihali...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Utumishi aanzisha mfumo wa kielekroniki unaoitwa "Sema na Waziri" kupoke malalamiko ya watumishi na wananchi

    WAZIRI wa Nchi, Ofi si ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa, amesema serikali haitomvumilia mkuu wa idara katika taasisi ya umma atakayesababisha mtumishi akose stahili yake au mwananchi kukosa huduma bora. Mchengerwa amesema hayo Dodoma wakati akifungua...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Ni lini waliopandishwa madaraja wanaanza kupokea mishahara mipya?

    Naomba kujua ivi watumishi wenye sifa ya kupanda madaraja mishahara mipya wanaanza kuiona mwezi huu wa sita au wa Saba mana kuna mtu namdai hela nyingi ataki kunambia ukweli
  16. C

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ziache kuwalazimisha Watumishi kuchangia Mwenge

    Hii tabia ya wakurugenzi na wakuu wa wilaya kuwataka watumishi wa umma ndani ya Halmashauri imetoka wapi? Yaani mkuu wa wilaya anaagiza wakuu wa idara kusimamia zoezi na kuomba majina ya wachangiaji, sasa hatujui wasiochangia wafanywaje. Pia wakuu wa idara wamekuwa wakionywa endapo atashindwa...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Kuahirishwa kwa kesi Mdude ni kielelezo cha kiburi cha Watumishi wa Umma Tanzania

    Mahakama inapanga tarehe ya kusoma hukumu ya mtuhumiwa, tarehe inafika na mtuhumiwa anafika mahakamani the mahakama inadai hukumu haijakamilika na mtuhumiwa kurejeshwa rumande kwa zaidi ya siku 14. Hakimu Kama huyu analipwa pesa na serikali na hakuna sehemu utasikia viongozi wake wakilalamika...
  18. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Ahsante Rais Samia, kwa hili Watumishi wa Umma tumekuelewa sana

    Niliajiriwa 2013 tokea hapo sijawahi panda daraja. Mwendazake alinyonya sana haki yetu. Tena zile haki za kisheria kama increments ila mama ameponya majeraha ya msukuma. Watumishi kwenye BAJETI 2021/22. 1. PAYE imeshushwa kutoka 9% mpaka 8%. 2. Bil 449 kwa ajili ya kupandisha vyeo watumishi...
  19. Amaizing Mimi

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Idara ya Elimu (Sekondari) Wilaya ya Ulanga wanafanya kazi kwa mazoea

    Habarini za muda huu ndugu zangu, Malalamiko yangu ni kwa Idara ya Elimu Sekondari katika wilaya ya Ulanga. Hawa jamaa sijui ni uzembe au kujisahau katika majukumu yao. Kumekuwa na utofauti wa ulipwaji stahiki mbalimbali kati ya idara ya msingi na sekondari. Mfano, suala la ulipaji nauli za...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Idara ya Afya Wilaya ya Sengerema imeshindwa kuweka watumishi zaidi ya 50 kwenye orodha ya kupanda madaraja

    Kiukweli ni hali ya kusikitisha sana idara ya afya kushindwa kuwaweka kwenye orodha ya watumishi wanaopaswa kupanda daraja zaid ya watu 50. Dhahama hii imewakumbuka baadhi watumishi wengi walioajiriwa kuanzia miaka ya 2015 na kurudi nyuma. Katika kufuatilia kwangu nimeona watumishi hawa sifa...
Back
Top Bottom