watuhumiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Watuhumiwa wa kifo cha Katibu wa Kanisa wafikishwa Mahakamani, ni Katekista na mwenzake

    Watuhumiwa wa mauaji ya mtumishi wa kanisa katoliki Makambako Nickson Myamba (46) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Njombe. Hakimu Mkazi Mfawidhi Wilaya ya Njombe, Matilda Kayombo akitaja shauri namba 5 la mwaka 2022 linalowakabili Daniel Mwilango (42) na Nickson Nyamideko (23) kuwa...
  2. JamiiForums Tanzania INASIKITISHA; Tuhuma nyingine nzito kwa Jeshi la Polisi, watuhumiwa wawili wafariki Morogoro na Tabora

    Tuhuma dhidi ya Jeshi la Polisi kuhusu kusababisha mauaji zimeendelea kushika kasi na leo hii Jumatatu Februari 14, 2022, Gazeti la Mwananchi limeibuka na tuhuma nyingine tena zinazohusu jeshi hilo. Mwananchi imeripoti juu ya matukio mawili ya kuuawa wa watuhumiwa,moja liamuhusu mmja wa vijana...
  3. JamiiForums Tanzania Masawe: Watuhumiwa wengi huachiwa huru kwa kuwa watu hushindwa kufika mahakamani kutoa ushahidi

    Watu 19 wanaripotiwa kuuawa huku mabinti 57 wanaripotiwa kubakwa wilayani Ludewa mkoani Njombe katika kipindi cha mwaka mmoja wa 2021. Akizungumza kuhusu matukio hayo mkuu wa wilaya ya Ludewa Andrea Tsere amesema katika tukio la ubakaji waathirika wakubwa ni wanafunzi wa darasa la sita hadi...
  4. JamiiForums Tanzania Polisi saba mbaroni wakituhumiwa kulamba mabilioni ya pesa

    Dunia haiishi maajabu aiseeee. "Geshi" letu linachekesha sana kama sio kusikitisha. Anyway habari kamili hii hapa. --- Maofisa saba wa Jeshi la Polisi wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiwa na mashtaka ya wizi na kuisababishia Serikali hasara ya zaidi ya Sh1.16 bilioni...
  5. JamiiForums Tanzania Mnamfukuza kazi askari anayesifia gongo(nipa) huku askari wanao tuhumiwa kutesa na kupiga watuhumiwa mnawaacha. Hii sio faira kabisa

    Kumekuwa na tuhuma nyingi sana za jeshi la polisi kuua kutesa na kupiga watuhumiwa. Lakini hatujawahi kusikia Igp au waziri Simbachawene akichukua hatua za kuwafuta kazi hawa askari wanaokiuka sheria za nchi. Kisa cha familia moja huko mkoani Mbeya kukataa kuzika kijana wao zaidi ya mwaka...
  6. JamiiForums Tanzania CHADEMA msitake kupata huruma kwa kulihusisha JWTZ na uhalifu wa watuhumiwa walioachishwa kazi huko nyuma. Pambaneni mahakamani ili kupata haki

    Hata kama kusaka huruma ili mwenyekiti wa chama chenu aachiwe sio kwa namna hii sasa. Ni kweli watuhumiwa wenzake na Mbowe walikuwa watumishi na makomando wa JWTZ, lakini kumbukumbu zinaonyesha walishaachishwa kazi. Karibu wote waliachishwa kazi baada ya kupata matatizo ya afya wao wanadai...
  7. JamiiForums Tanzania Watuhumiwa wenzake na Mbowe yawezekana kweli waliteswa na kupigwa, lakini je hawakupanga kushiriki njama za ugaidi?

    Kifungu cha 29 cha sheria ya ushahidi ya Tanzania kipo wazi kabisa, kuwa mahakama haitakataa kupokea ushahidi wa mtuhumiwa kukubali kutenda kosa hata kama alipata vitisho, mateso na au bakshishi iwapo ni kweli alihusika, ila kama alipigwa na kuteswa na polisi wakageuza uongo uwe kweli hapo...
  8. JamiiForums Tanzania Moshi: IGP Sirro ataka Watuhumiwa watendewe haki

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro amesema watuhumiwa wanatakiwa kuheshimiwa na kutendewa haki kama watu wasio na hatia mpaka itakapobainika vinginevyo. IGP Sirro alitoa kauli hiyo jana, wakati akifunga mafunzo yaliyoandaliwa na Shirika la Wanawake la Umoja wa Mataifa (UN-Women)...
  9. JamiiForums Tanzania Simbachawene: Askari watakaobainika kuwapiga wafungwa, maabusu au kuwalazimisha kwa kipigo watuhumiwa ili kukiri makosa watachukuliwa hatua kali

    Waziri Simbachawene ametoa onyo kali kwa Askari Magereza wanaowapiga Wafungwa na Mahubusu magerezani na pia kwa Polisi wenye tabia yakuwapiga Watuhumiwa au kuwalazimisha kwa kipigo kukubali makosa na kusema atachukua hatua kali kwa wale watakaobainika kutenda vitendo hivyo. ----- 𝐊𝐮𝐧𝐚 𝐰𝐚𝐭𝐮...
  10. JamiiForums Tanzania Jinsi Moto Na Maji Vilivyoamua Hatima Ya Watuhumiwa Nchini Uingereza Katika Karne ya 17

    JINSI MOTO NA MAJI VILIVYOAMUA HATMA YA WATUHUMIWA NCHINI UINGEREZA KATIKA KARNE YA 17 Jinsi wakati unavyozidi kusonga ndivyo mambo mengi yanavyobadilika , maendeleo ya sayansi na teknolojia hali tuliyonayo kwa sasa si kama ilivyokuwa hapo zamani. Sekta nyingi zinabadilika na kuboresha huduma...
  11. JamiiForums Tanzania Udhalilishaji watuhumiwa magereza hadi lini?

    Wandugu, kuna andiko moja nimelisoma la Tito Magoti, nimelielewa na to declare interest, nilishawahi kufanya kazi kwenye utumishi wa uma kwenye hizo coercive organs....jambo moja la muhimu sana kama nchi tunatakiwa kufika mwisho na lisifanyike tena kwasababu tumelirithi tangu enzi wa ukoloni...
  12. JamiiForums Tanzania Mbowe ajitenge na watuhumiwa wenzake

    Katika ufuatiliaji mdogo wa kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe, nimeona mapungufu makubwa ambayo niliwahi kuelezea humu ndani. Wengine walisema sijui kitu na kwamba ile ilikuwa tu kesi ndogo na kuwa wanaenda kuiangusha serikali. Nikasema tusubiri tuone. Leo nitagusia njia...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kama kupata Maelezo ya Adamoo, sheria ilikiukwa, Yatatupwa

    Shauri dogo ndani ya shauri lilopo sasa hivi linatokana na utata kuwa je mshitakiwa wa pili Adamoo alitoa maelezo yake kwa mujibu wa sheria? Kuna tashwishi kuhusiana na maelezo ya mshitakiwa huyu kuwa aliteswa au hakuteswa kwenye kupelekea kuwapo kwa maelezo yake. Je kulikuwa na shinikizo...
  14. JamiiForums Tanzania Kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake imetufumbua macho. Mahojiano ya polisi na watuhumiwa yawe yanarekodiwa

    Tuhuma za askari polisi kutesa na kupiga watuhumiwa zimekithiri hapa Tanzania. Iwe ni kwa kesi ndogo hadi kubwa linapokuja suala la kuandika maelezo ya onyo ili yatumike mahakamani, watuhumiwa wanalalamika kupigwa na kuteswa. Na baadhi yao wamepata ulemavu na hata kupoteza maisha. Kesi ya...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Namba za simu za wake wa watuhumiwa wa Ugaidi zinatafutwa, watoto wao wanahitaji msaada kwenda shule

    Nilikuwa nafuatilia huko Ulaya kuhusu namna wanafamilia wa watuhumiwa na hata wafungwa wanavyosaidiwa kuepusha adhabu ya makosa ya wazazi kwenda kuwaumiza watoto wasio na hatia. Mara nyingi watoto wa watuhumiwa hupatiwa michango ambapo husaidiwa kuendelea na masomo na kufarijiwa maana...
  16. JamiiForums Tanzania Naomba Kujulishwa Kuhusu wale watuhumiwa wengine kesi ya akina Mbowe

    Kwa Mujibu wa Taarifu Tulizopata ni kwamba waliokua wametuhumiwa na Mheshimiwa Mbowe katika kesi ya Ugaidi walishahukumiwa na wameanza kutumikia kifungo? Iweje leo wamerudishwa mahakamani? Au walikata rufaa?
  17. JamiiForums Tanzania SoC01 Tabia ya polisi kupiga watuhumiwa

    Kisheria mtu anahesabiwa kuwa ni mtu mwenye haki mpaka pale ambapo mahakama ita thibitisha kuwa huyu mtuhumiwa amefanya kweli hayo makosa anayoshutumiwa kufanya. Na kama mtu ambaye ametuhumiwa tu, ana haki zake sawa na raia wa kawaida tu, hivyo, hizo haki zinatakiwa ziheshimiwe mpaka pale...
  18. JamiiForums Tanzania Ni akina nani waliohukumiwa kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe kama alivyosema Rais Samia?

    Namba hazijawahi kudanganya, kwa mujibu hati ya mashitaka ,Mbowe ameshitakiwa pamoja na wenzake watatu, kwa mashitaka kadhaa huku Mbowe akikabiliwa na mashtaka mawili, hawa wote wako rumande na kesi yao inaendelea. Nukuu Rais Samia: Mimi sidhani kama yamechochewa kisiasa kwasababu navyojua...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa wa ugaidi na nchi zao

    Kama tunatamani nchi hii iwe na magaidi, basi Mungu atatupatia tunachokiomba na ikiwezekana iwe soon ili tuone ubaya wa kamanda Mbowe kwa vitendo. Wenzetu walionja gharama za magaidi na ugaidi, hawataki hata kusikia habari zao ila sisi siasa zimetufanye tutamani ugaidi basi Mungu atupatie kile...
  20. JamiiForums Tanzania Dar: Kilo 99.33 za Dawa za Kulevya zakamatwa, watuhumiwa 8 washikiliwa

    TAARIFA YA KAMISHNA JENERALI WA MAMLAKA YA KUDHIBITI NA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA GERALD MUSABILA KUSAYA KWA WANAHABARI TAREHE 19 JUNI, 2021 OPERESHENI YA UKAMATAJI WA DAWA ZA KULEVYA KWA MWEZI JUNI Ndugu Wanahabari Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Nimewaita leo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…