watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nauliza sehemu wanayokodisha vifaa hivi vya michezo ya watoto

    kama Kuna mtu anajua vinapokodishwa naomba tuwasiliane DM
  2. JamiiForums Tanzania Mwanaume raia wa Burundi anayeishi kama mwanamke, ana mke na watoto

    Hafanyi vitendo vya kishoga, ni mavazi tu Mwanzo aliishi kama wanaume wengine kwa kawaida za kiume. Kipindi cha vita vya wenyewe kwa wenyewe ilibidi avae mavazi ya kike ili asigundulike kuwa ni mwanamme kwani ilikuwa wanaume waliuawa zaidi kuliko wanawake. Ameipenda hali yake maana zaidi ya...
  3. JamiiForums Tanzania Upendo uliotukuka wa wanaume juu ya watoto, mke wazazi na ndugu zao ndio huwafanya wawe wezi, mafisadi, matapeli na hata majambazi

    Habari! Lengo la Uzi huu si kuhamasisha matendo maovu ya kijambazi, wizi, uporaji, utapeli au ufisadi. Lengo langu ni kuonyesha sababu kuu kwanini matendo haya maovu hufanywa hasa na wanaume zaidi kuliko wanawake. Ni upendo tu uliotukuka kwa ndugu zao na familia zao ndiyo hupelekea wanaume...
  4. JamiiForums Tanzania LHRC: Vijana waambiwa kutelekeza wajukuu kwa wazee wao wawalee ni ukatili

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimesema kwamba katika Ripoti ya Haki za Binadamu 2021, imebaini ongezeko la ukatili wa vijana dhidi ya wazee kwa kuwatelekezea wajukuu, kwa madai wapo mijini kutafuta riziki. Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC, Anna Henga ameyasema hayo hivi karibuni Mkoani...
  5. JamiiForums Tanzania Ukilazimisha kuachana na ukang'ang'ania watoto kaa ukijua sitakuhudumia wewe na huyo mtoto

    Kwema Wakuu! Nisikilize mke wangu, nisikilize vizuri Kabisa, sipo hapa kumwakilisha yeyote Yule isipokuwa Nafsi yangu na Yule aliyenipa Nafsi hii. Usiniangalie Kwa macho yako mabaya Kama ya Kondoo, Kama ukijua ukilazimisha kuniacha na kuwachukua watoto kimabavu kaa ukijua kabisa Kwanza...
  6. JamiiForums Tanzania Manyara: Mzee wa miaka 58 abaka watoto watatu akiwemo mwanaye wa kumzaa

    Jeshi la Polisi Mkoani Manyara limethibitisha mwanaume mmoja ajulikanae kwa jina la Simon Zakalia (58) kushikiliwa kwa tuhuma za ubakaji wa watoto watatu Wilayani Hanang mkoani humo akiwemo binti yake. Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara, Limited Mhongole amesema mtuhumiwa huyo...
  7. JamiiForums Tanzania Nina miaka 32 nina watoto 7, wa nane yupo njiani (miezi saba)

    Niliwapa wanawake wanne ujauzito kwa mpigo nikiwa na miaka 27, mpaka nimefikisha miaka 30 nilikuwa na watoto 6. Juzi naongea na mwanamke niliye-date naye kwa miezi sita akaniambia ana ujauzito wangu. I guess wa nane anakuja. Sipo hapa kuomba ushauri bali kuwashauri wanaume wenzangu, get one...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi kuvuka kigamboni ndio hakuna 200 kwa wote hakuna bei ya watoto kwasasa ile 100 ndio hakuna tena hii yote vita Ukraine au

    Inasikitisha kwasasa kigamboni kuguka ni kadi tu uwe mtoto uwe mkubwa ni Tsh 200 tu kwa wote sasa hakuna tena ile mtoto tsh 100 kweli hii vita Ukraine inatonyoosha kila idara aisee ila hongera kwa temesa kwa kutuminya wanakigamboni big up kwa uongozi temesa kazi iendelee
  9. JamiiForums Tanzania Movie/Series za kuweka mbali na watoto

    Hello wana JF, Nawaletea baadhi ya movies/series ambazo si za kutazama na watoto 🔞 yaani ni movie ambazo hazifai kutazama hata na wazazi wako, zingine haifai kutazama hata na wana 🤣🤣🤣msije mkafanyana vibaya huko mi simo. Kwa pamoja tutaje movie hizo ambazo ni Full vitengo yaani humo...
  10. JamiiForums Tanzania Wasimamizi mirathi ya Mengi wabanwa Mahakamani kuhusu matunzo ya watoto wa mjane Jacqueline Ntuyabaliwe

    Mahakama ya Watoto Kisutu imewabana wasimamizi wa mirathi ya aliyekuwa mfanyabiashara maarufu nchini, Reginald Mengi, kwa kukataa kuwahudumia watoto wake wadogo aliowazaa na mjane wake, Jacqueline Ntuyabaliwe. Mahakama hiyo imetoa msimamo huo katika uamuzi wake wa pingamizi lililowekwa na...
  11. JamiiForums Tanzania Watoto ni wageni katika ndoa yenu, hawana Mkataba na ninyi!

    WATOTO NI WAGENI KATIKA NDOA YENU; HAWANA MKATABA NA NINYI Ni Yule Mtibeli, Robert HERIEL. Hawakukuomba uwazae, hwakukuomba uwe Baba au mama Yao, hawakuomba lolote lile. Na kamwe hukujua Kama ungewazaa watoto wa namna hiyo, na hata wao hawakujua Kama wangezaliwa na mtu Kama wewe. Labda Kama...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi huu Mshahara wa UN mpakampenzi wako na watoto wanalipwa?

    Heshima kwenu wakuu. Well, nimekuwa nikiskia tu kuwa unapofanya kazi UN mpaka mchumba/mpenzi/mke wako nae ana lipwa kila mwisho wa mwezi. Leo katika pitapita nikawa napita kwenye website ya UN kuangalia Salaries, Allowances, Benefits and Job Classification nikaona hii kitu hapa...! Hii ina...
  13. JamiiForums Tanzania CAG: Watoto wa Masikini wapigwa chini mikopo elimu ya juu, Watoto wa matajiri wala bata

    Hakuna wa kumlaumu kama kwa %kubwa wasiojiweza wamekosa mikopo ili hali wanavigezo. Kwani Mama Mwenye nyumba alishasema " hata watoto wenye uwezo nao wanufaike mikopo" yote hayo ni kupindua mambo aliyofanya Past President kwajuhudi alizokuw akifanya. Na kwasababu alitamki ulitegemea board...
  14. JamiiForums Tanzania Avunjwa miguu baada ya kukutwa kwao na binti akitafuta watoto

    Benard Mkolwe wa kata ya Madilu Mkoani Njombe amepigwa na kuvunjwa mikono na miguu baada ya kukutwa akiwa na Sarah Mgohole (18) nyumbani kwao ambako alimfuata kwa lengo la kufanya mapenzi ikiwa ni siku yao ya kwanza tangu waanze uhusiano wiki 2 zilizopita. Chanzo Millard Ayo
  15. JamiiForums Tanzania Watoto wa mtaani wa Arusha

  16. N

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini kufuta kumbukumbu za matukio mabaya kwa watoto wangu?

    Salaam wakuu Miaka michache iliyopita nilipitia mambo mengi kwenye ndoa ambayo nikiri kuwa hayakuwa mazuri kwa ukuaji wa watoto wetu kisaikolojia. Watoto walishuhudia nikipigwa mara nyingi sana, nikitukanwa au kusemwa vibaya. Na hata kuna wakati ugomvi ukitokea chumbani walikuwa wanakuja...
  17. JamiiForums Tanzania Unapoongoza elewa kuwa wewe ni kiongozi tu! Tabia za kufokeana Kama watoto peleka Kwa watoto wako nyumbani

    Kwema Wakuu! Kuna viongozi wakipewa dhamana wanarukwa sijui na akili, wanafoka foka, kufokeana watu wazima ni kudhalilishana tu. Hakuna aliyekulazimisha uteua mtu, Kama mtu kaboronga fukuza kazi, sheria zingine zifuate. Sio kupewa tuu uongozi unajifanya mkoloni ndani ya nchi, na kuwabagaza...
  18. JamiiForums Tanzania Wanawake msikae kimya kwenye ndoa kwa unyanyasaji kisa watoto

    Maisha yako ni bora sana kuliko ndoa. Watoto watakua tu. Ukiona dalili hatarishi chukua hatua haraka kwani hakuna spea za uhai wako. REST IN PEACE MAMA WA EKUWEMEE!
  19. JamiiForums Tanzania Filamu ambazo hutakiwi kuangalia na watoto, unaweza kuangalia na mpenzi wako

    Hizi hapa baadhi ya Movie ambazo hutakiwi kuangalia na watoto, au kama upo na mwenza wako unataka movie Colour Of Night The Dreamers Intimacy Nymphomaniac In The Realm Of The Senses Kiss And Kill Loving White Girl Love Darker Shades Of Elites Illicit Desires Spread Mother's Job Double Lover...
  20. JamiiForums Tanzania Wazazi kuweni makini na watoto wenu hasa wa kiume

    Inasikitisha sana kuona wazazi wanazaa tu kisha kuacha watoto wajilee wenyewe. Dunia ya sasa imeharibika, hii imetokea juzi nikiwa nimelala zangu mchana majira ya saa saba, nikiwa kwenye usingizi mzito nasikia sauti ya mtoto mdogo akilalama aachiwe. Sikutilia manani nikahisi huenda labda naota...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…