watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. Jugado

    JamiiForums Tanzania Idadi ya watoto ndani ya ndoa: Nani huamua?

    Habari. Miaka ya wazazi wetu mwanamke akiolewa ni kuzaa mpaka kizazi kiishe. Huku watoto wakipishana miaka miwili. Ndiyo maana si ajabu kuona familia zenye watoto nane, tisa mpaka kumi. Lakini Karne hii mambo ni tofauti. Wanawake hawataki kuzaa watoto wengi. Utasikia wawili wanatosha. Akienda...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Watoto miguu vifundo wanatibika wapelekwe hospitali

    Watoto 3,000 katika vizazi hai huzaliwa na miguu vifundo Kila mwaka Nchini Tanzania. Hayo yamesemwa na Mganga Mkuu Hospitali ya CCBRT, Cyprian Nyomoka Jijini Dar es Salaam. "Watoto laki nane katika vizazi hai, huzaliwa kila mwaka Duniani wakiwa na miguu vifundo, huku Tanzania watoto laki tatu...
  3. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania Kwako Waziri wa Elimu; Crash program shule za msingi zinatuharibia watoto

    Hivi karibuni kumejengeka tabia ya shule nyingi za msingi, hasa za binafsi kuanzisha masomo ya ziada yanayoitwa CRASH PROGRAM. Programu hii huhusisha masomo ya ziada kwa wanafunzi wa shule za msingi wa darasa la nne na la saba (hata la sita) kwa ajili ya kuwaandaa wanafunzi kwa ajili ya...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Umefika wakati sasa wa Serikali kulegeza masharti ya umilikishaji wa silaha kwa watoto wa kike

    Kutokana na haya tunayoyaona yakiendelea ya akina Swalha Kiduku kupigwa risasi kichwani, naona iko haja ya Wanawake hasa walioko kwenye ndoa kuwezeshwa kumiliki miguu ya kuku (bastola) ili kubalance mahesabu Au mnasemaje masela ? Tuuze nchi tugawane mahela ? Naomba uzi huu bwana GENTAMYCINE...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Nimezaa na mke wa mtu watoto wawili na ana mimba ya tatu

    Wakuu asalaam Aleikum, Tumsifu Yesu Kristo, Bwana Yesu Asifiwe, nawasalamu kwa jina la Jamhuri ya Muungano. Nije kwenye mada mimi ni mwanaume ambaye kidogo nimeshavuta vuta umri kiasi (niko around 40+) nina mke na watoto watatu. Lengo la kuja hapa naomba tupeane ushauri. Binafsi nimezunguka...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Baba aliyepoteza binti mauaji ya Watoto 19 kuishtaki kampuni ya silaha iliyotumika kuua

    Baba wa mtoto wa miaka 10 aliyeuawa Texas katika shambulizi la lililoua watoto 19 na watu wazima wawili anataka kuishitaki Kampuni ya Daniel Defense ambayo silaha zake ndizo zilizotumika. Alfred Garza ameitaka kampuni hiyo itoe taarifa kuhusu utangazaji wa biashara zao kwa vijana na watoto...
  7. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Tuzae na wanawake wazuri ili watoto wetu wasikose ajira huko mbeleni

    Najua kuna watu watanipinga ila huu ndio ukweli. Muonekano wa mtu unaweza kumsaidoa kupata fursa au kukosa fursa fulani. Kuna watu wengi nawajua wapo kwenye vitengo nyeti si kwa sababu wana uwezo kichwani bali muonekano wao umewabeba. Wewe unayelilia ajira kabla ya kumlaumu Mungu hebu...
  8. Breaking bad

    JamiiForums Tanzania Kwa wazazi wa watoto wanaosoma shule za kata hapa makambako pitieni hapa

    .
  9. Eric Cartman

    JamiiForums Tanzania Watoto wa kweli wa mjini

    Watoto wa mjini Dar waliamshwa na magoma hayo. Kama ukucheza hayo na umri wako wa Sasa ni 40-50 elewa wewe sio wa mjini. Sitaki kusema majina ya watu wenye majina yao maana leo wapo kivingine. Otherwise kama ukuyapiga hayo ukiwa Dar elewa we mluga mluga tu sio wa mjini: Vinginevyo wenyewe...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Watoto wafanya maonesho ya mavazi ya kikabila ya Hanfu ili kuonyesha uzuri wa utamaduni wa jadi

    Tamasha la kwanza la mavazi ya jadi ya Hanfu la watoto lilifanyika Jumatano wiki hii mjini Shenyang China. Kwenye jukwaa la maonesho, sambamba na muziki wa mtindo wa kale, watoto walionesha uzuri wa mavazi ya Hanfu na utamaduni wa jadi wa China. Kutokana na shughuli hiyo, watoto walijifunza...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Serikali kurekebisha Sheria ya Watoto ili kudhibiti ukatili mitandaoni

    Katika kukabiliana na ukatili dhidi ya watoto mitandao Serikali imeunda kikosi kazi cha taifa cha ulinzi na usalama mitandaoni pamoja na kuifanyia marekebisho sheria ya mtoto ili iakisi mazingira ya sasa. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Dkt. Dorothy Gwajima amesema: “Malezi bora katika familia...
  12. mangosongoo

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wana matatizo ya akili

    Nimegundua watu wengi Wana matatizo ya akili, hasa wanaume na hawakubaliani na hiyo Hali. Mwisho wa siku inakuja kuleta madhara makubwa. Ushauri wangu nendeni mkajitibu hayo matatizo msije kuua watoto wa watu..
  13. Stroke

    JamiiForums Tanzania Daktari mzuri wa watoto (Paedeatrician)

    Yupo ambaye namtumia but he is not that competent. Nani ni daktari competent wa watoto kwa Dar es Salaam. Asanteni.
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Watoto waliofanyiwa ukatili wa Kingono na baba yao mzazi, mmoja asema "NATAMANI BABA AFE"

    Bashiru Abdallah Mkazi wa Buswelu Jijini Mwanza anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuwafanyia ukatili wa kingono watoto wake wanne, ambao inadaiwa amekuwa akiwafanyia kwa miaka kadhaa sasa. Mtuhumiwa alishikiliwa baada ya wananchi kutoa taarifa kwa Taasisi ya Nitetee (NITETEE...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kinondoni: Tuhuma za Mwalimu kulawiti na kubaka watoto wa Shule ya Msingi, Waziri atoa siku 7 za uchunguzi

    Siku mbili baada ya kuibua tuhuma za watoto 8 wenye umri kati ya miaka 6-8 kufanyiwa ukatili wa kingono na mwalimu wao katika Shule ya Msingi Global iliyopo Kinondoni, Dar es Salaam zimetolewa siku 7 za uchunguzi wa kina wa tukio hilo. Waziri wa Maendeleo ya Jamii na Makundi Maalumu, Dkt...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Serikali ongezeni Shule za A-level Watoto wetu wapate Elimu wanayoitaka

    Nilitembelea ofisi za Elimu mkoa,nilikuta utitiri wa wazazi na watoto wengi wamejazana kilio chao kikiwa ni watoto wao kupangiwa chuo wakati vijana hawa walitamani kwenda kusoma kidato cha tano lengo ambalo pia nilikuwa nalo. Cha ajabu ni kwamba jibu walilopewa kila mmoja ni nafasi...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Clubhouse session ya JamiiForums Mei 26, 2022: Elimu kuhusu Saratani ya Jicho kwa Watoto

    Nini chanzo cha Saratani ya Jicho kwa Watoto? Dalili zake ni zipi? Hali ya Ugonjwa huu ikoje hapa Tanzania? Kufahamu haya na mengine zaidi, shiriki katika Mjadala na Wataalamu kuhusu Saratani ya Jicho kwa Watoto utakaofanyika Mei 26, 2022 kupitia Clubhouse, kuanzia Saa 12:00 Jioni Kushiriki...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa UNICEF ataka kuchukuliwa hatua za kuwalinda watoto baada ya shambulio la risasi katika shule ya Texas Marekani

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kuwahudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) Bi. Catherine Russell amehoji kuwa ni watoto wangapi wanapaswa kufa kabla ya viongozi kuchukua hatua ya kuwaweka salama watoto pamoja na shule. Akitolea mfano wa vifo vilivyotokea katika shambulizi la risasi...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Papa Francis aongoza viongozi Duniani kuwalilia watoto waliouawa Texas

    Baada ya tukio la watoto 19 kuuawa kwa kufyatulia risasi Texas, Marekani, viongozi mbalimbali Duniani wameomboleza vifo hivyo wakiongozwa na Papa Francis ambaye amesema amesikitishwa na mauaji hayo. “Nimeumizwa sana na mauaji haya katika shule ya msingi, nawaombea watoto hao na watu wazima...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Marekani: Aliyeua Watoto 19 alikuwa akizomewa na wenzake kwa kuwa masikini na kuvaa nguo mbaya

    Kijana Salvador Ramos ambaye amehusika na mauaji ya watoto 19 na watu wazima wawili jana Mei 24, 2022 katika Jimbo la Texas, Marekani, imebainika alikuwa akizomewa na kuchekwa na wanafunzi wenzake kutokana na hali ya umasikini wake na familia yake. Rafiki wa karibu wa kijana huyo amesema...
Back
Top Bottom