watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Sheikh Mussa: Watoto wajengewe msingi wa dini wakiwa bado wadogo

    Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar, Sheikh Mahmoud Mussa Wadi akimpa zawadi mmoja wa washindi katika Mashindano ya Kuhifadhi Qur An yaliyofanyika Wilaya ya Mjini Unguja, Zanzibar, Machi 18, 2026 ambapo viongozi mbalimbali walihudhuria akiwemo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Mhandisi...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Wazazi wa kisasa kwenye kusomesha Watoto shule wanafanana na wauza maduka wa sinza

    Wazazi wa kisasa kwenye kusomesha watoto shule wanafanana na wauza maduka wa sinza. Duka la sinza fremu kodi milioni, decorations za duka zinatumika milioni 10. Halafu mtaji wa bidhaa za kuuzwa dukani thamani yake laki 7 tu. Hivyo hivyo kwa wazazi. Mtoto primary analipiwa ada kwa mwaka...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kumbe mahari zinafika milioni 7? Wazazi kuna muda mwengine ni chanzo cha watoto kutoolewa au kufosiwa ndoa kwa watu wasiowapenda

    kijana ana miaka 28 yupo normal kiuchumi ana shughuli zake, kapata mchumba mwenye 23, wanapendana perfect match, kufika kwao kupeleka posa wazazi wanahitaji MILIONI 7 wazazi kuna muda mwengine ni chanzo cha watoto kuto olewa au kufosiwa ndoa kwa watu wasiowapenda
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Baadhi ya Watoto wanasoma mpaka Saa 11 Jioni bila kula Wilayani ya Karagwe, hilo si jambo jema

    Jamani mimi kama mdau wa elimu kuna suala nimeliona na naomba lifike kwa mamlaka husika. Ipo hivi baadhi ya Shule za Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe Mkoani Kagera zinafundisha watoto kuanzia asubuhi mpaka jioni wakati huo mtoto hajanywa uji wala kula chakula cha mchana. Katika kufatilia...
  5. JamiiForums Tanzania Mahakama yaamuru Baba wa Kambo kuendelea kulipia matunzo ya watoto wake wa kambo mara baada ya talaka na single mama

    Daah! Wakuu sisi tunaoishi na SINGLE MOTHERS tuwe makini sana. Mwenzetu huko Afrika Kusini aliyekuwa akiishi na single mama yamemkuta. Kaamriwa kuendelea kulipia matunzo ya watoto wa single mama. Ni hela mingi laana. =========================== Court Orders Divorced Man to Pay R40,000 in...
  6. JamiiForums Tanzania Wamama funga kazi; mnajua kuwakomesha watoto wenu wakiume kwa mnavyodate na vijana wadogo wa rika la watoto wenu

    Angalizo: andiko hili linaweza kuwa na lugha ngumu na Kali. Hivyo kama wewe sio mpenzi, unahasira, au ukisikia lugha ngumu unakereka, unapoteza furaha, unahisi kudhalilika au kupoteza heshima yako. Ni vizuri kuishia hapahapa. Usiendelee kusoma. Kwa kuendelea kusoma ni kuonyesha kuwa unajiweza na...
  7. JamiiForums Tanzania Watoto 10,000 huzaliwa na matatizo ya moyo Tanzania, gharama ya matibabu hadi Sh16 milioni

    Takribani watoto 10,000 huzaliw ana matatizo ya moyo Tanzania na kati yao watoto 4,000 huhitaji upasuaji wa haraka ili waweze kuishi na gharama a matibabu ya moyo ni kati ya Sh8 milioni hadi Sh16 milioni. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Meritech Ltd, Esther Christopher katika...
  8. JamiiForums Tanzania Polisi wamshikilia sheikh anayetuhumiwa kubaka watoto 12 kwenye madrassa

    Watoto wenyewe ni kati ya umri wa miaka 5 hadi 14 Police in Othaya granted 10 days to hold Sheikh Eid Ali to complete probe over allegations of molesting 12 minors aged 5-14 on diverse dates between 2022 and 2025 during madrassa classes, mention set for March 3...
  9. JamiiForums Tanzania Kwimba: Taasisi ya Alicia Keys yawasili nchini kushiriki uzinduzi wa jengo la watoto njiti

    Timu ya Wawakilishi kutoka Taasisi ya Keep A Child Alive ya Msanii maarufu wa Marekani, Alicia Keys, imewasili nchini Tanzania kupitia uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwl.Julius K. Nyerere tayari kwa ajili ya kwenda Wilayani Kwimba Mkoani kwenye uzinduzi wa jengo la kisasa la kuhudumia Watoto...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mzungu yupo mbele ya muda, maisha aliyoishi tutayakuta mbeleni, suala la watoto na wajukuu zetu kuoa single mothers halikwepeki

    Sikuhizi kumekuwa na ongezeko kubwa sana la single moms, tena sio ile ya zamani tuliyozoea ya mtoto moja, hii version mpya unamkuta binti ana 24 tayari ana watoto watatu. Kufikia 2040 hii rate ya single moms inaweza kuwa juu mno Wazazi na kina babu wa watoto zetu wa kiume, kwanza kabisa...
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wasira anadai mauaji yalikuwa sahihi wakati ni kinyume cha sheria na waliuawa hadi watoto na wajawazito

    Wasira anadai mauwaji yalikuwa sahihi wakati ni kinyume cha sheria na wali uwawa hadi watoto na wajawazito. kwa sheria za nchi na kimataifa hakuna mauwaji sahihi tuna sheria za nchi na mahakama mbali na hayo mauwaji yaliyo fanyika hayakulenga wahalifu bali watoto na wanawake ambao hawakuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Mbwana Samata ajenga kituo cha watoto yatima, kuzinduliwa March

    Hongera sana Mbwana Samata
  13. JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kwa wanawake kuonesha madhaifu ya ulemavu wa watoto wao?

    Katika ulimwengu wa leo wa mitandao ya kijamii, mipaka kati ya faragha na maonesho imefutika. Kisa cha binti mmoja maarufu wa mtandaoni, anayeonekana ni slay queen, kimeibua mjadala mzito kuhusu utu, uzazi na maadili ya kizazi cha kidijitali. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, aliamua...
  14. JamiiForums Tanzania Nini kifanyike watoto bado wanakaa chini baadhi ya shule ???

    Je ni kweli limetushindaaa?
  15. JamiiForums Tanzania Hati ya kiwanja kwa watoto chini ya kiaka 18

    Habari ya muda huu ndugu mwanajamii, Naomba kueleweshwa na anaejua taratibu za kupata hati ya kudumu ya kiwanja alichonunua mzazi akaandika jina langu. Kiwanja kilinunuliwa nikiwa na miaka minne tu, enzi hizo kabla ya uwepo wa NIDA. Miaka 38 baadae, nataka kubadili ile hati ya karatasi ya...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ni sawa kusajili mali zako kwa jina la wazazi na/au ndugu zako wakati una mke/wake na watoto?

    Kuna hii tabia inazidi kutrendi, mtu ana familia yake yenye mke na watoto lakini anasajili mali kwa majina ya wazazi na ndugu zake. Ni sawa?
  17. JamiiForums Tanzania Serikali ya awamu ya Sita inanuka damu za Watoto wetu

    Salaam Wakuu, Yaani sasa ndo nimegundua kwamba, Mtu akipata madaraka kwa kumwaga damu, anakuwa ananuka damu hata aoge kwa jiki. Juzi Karikaoo wakati wa Uzinduzi wa Soko lililoungua, baada ya Wakina Samia kufika, soko zima likawa linanuka damu za watu. Watu wakawa wanatema mate chini.. Yaani...
  18. JamiiForums Tanzania TCRA: Wazazi msiwanyang'anye Watoto simu, fuatilieni wanachofanya, ulinzi wa mtoto mtandaoni ni mazungumzo

    Meneja wa Huduma kwa Wateja na Watumiaji wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Kadaya Baluhye, amesema kuwa kuwaandaa watoto kukabiliana na ulimwengu wa kidijitali ni njia bora ya kuwalinda kwa pamoja kama kundi na kama jamii. Ameeleza kuwa badala ya kuwazuia watoto kutumia vifaa vya...
  19. JamiiForums Tanzania Watoto waliozaliwa kwa operesheni wanakuwaga na akili kuliko wale wa kawaida

    Hawa wa kawaida wanapitia misukosuko mingi inawasiligi hata ukuaji wao kichwa kinapovutwa vutwa Wale wa operesheni wanatolewa wanaweka pembeni mdo mana wanakuaga na akili
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…