Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Kwanza kumepeleka mtoto kusoma shule ya mbali wakati mnapo kaa kuna shule hapa nawa gusa wale wanao somesha shule za sogea tukae pia ata hao wanao somesha st nao bado una muaminije. Boda kukupelekea mtoto shule
Kitu kingine ni kusahau kumkalilisha mtoto wako namba yako ya simu hii muhimu sana pia jenga urafiki na mtoto wako na sio mtoto aku sifu kwa ukali kiasi ata akiwa na shida ni ngumu sana kukuambia
Kitu kingine ni kusahau kumkalilisha mtoto wako namba yako ya simu hii muhimu sana pia jenga urafiki na mtoto wako na sio mtoto aku sifu kwa ukali kiasi ata akiwa na shida ni ngumu sana kukuambia