watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wadada wanapenda kuuliza ATI kazi Gani unafanya? Wanamtaka mwanaume atakaetatua shida zake! Mtuonee huruma tuna watoto na wazazi!

    Hawa viumbe wamenishinda tabia kabisa! Eti kazi Gani unafanya? Inakuhusu Nini? Taarifa zangu za kazi anazijua mke wangu na watoto wangu labda na wazazi !!wewe husna wa tabata na ashura wa tandale ambae tumekutana bar unataka kazi yangu Yanini? Embu tupumzisheni! Na maswali yenu ya kipuuzi...
  2. JamiiForums Tanzania USHAURI: Serikali itoe namba za NIDA kwa watoto

    Habari za majukumu JF? Kulingana na hali ya mabadiliko ya sayansi na teknolojia, naishauri serikali iliangalie hili suala la NIDA lisiwe kwa watu wazima pekee. Naiomba serikali iweke utaratibu maalum wa kutoa Usajili wa NIDA kwa kila mtoto anaeanza elimu ya msingi. Hili litatusaidia mambo...
  3. JamiiForums Tanzania Tujadili kama Taifa: Watoto wamefutiwa mitihani. Je Serikali iwe na plan B?

    Waziri wa Elimu mhe. Adolf Nkenda amesimamia maamuzi ya Baraza la Mitihani la Taifa kuhusu uamuzi wa kufuta matokeo ya baadhi ya wanafunzi ambao wamegundulika kufanya wizi wa mitihani yao ya Taifa. Amewaomba Wabunge waunge mkono msimamo wa Baraza kwenye uamuzi huo. Na bahati mbaya sana kwa...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Wadada wa kazi tendeeni watoto wa wenzenu kama wa kwenu hata kama leo huna mtoto

    Wazazi na walezi wenye watoto hiki kinawahusu,baadhi ya wadada wanaotusaidia kazi nyumbani(house girls) wamekuwa na tabia za kufukuza bila kusubiri mwezi uishe kwa namna inavyo kera. Nilikuja kukagua shughuli za mradi Geita,baada ya kumaliza siku tatu nikampigia simu rafiki yangu anayeishi...
  5. G

    JamiiForums Tanzania MWALIMU WA KIINGEREZA(GRAMMAR AND TENSES) KWA WATOTO NA WATU WAZIMA PIA DODOM

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Mimi ni mwalimu pia afisa utumishi wa uma,ninayo habari njema kwenu, na watoto wenu, kuwa ninafundisha somo la kiingereza kwa weledi mkubwa na kwa gharama nafuu( 150000-300000) kwa mwezi. Yeyote aliye maeneo ya Dodoma anaweza kunitafuta kwa kunipigia simu...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa field aliyesambaza picha za watoto wamekaa chini kufukuzwa (uhaba wa madawati)

    Mwalimu aliyesambaza picha hizi kufukuzwa JUMATANO , 8TH FEB , 2023 NA MWANDISHI WETU Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya, Wakili Triphonia Kisiga, amesema Mwalimu wa kujitolea katika shule ya sekondari Sinde, Evarist Chonya, aliyesambaza picha za uongo za wanafunzi wakiwa wamekaa chini...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali: Vifo vya watoto chini ya umri wa miaka mitano vimepungua nchini

    Tafiti zinaonesha kuwa kiwango cha vifo vya watoto chini ya miaka mitano kwa Mwaka 2022 kimefika vifo 43 kwa kila watoto 1,000 waliozaliwa hai ukilinganisha na vifo 67 kwa kila Watoto 1,000 waliozaliwa hai ilivyokuwa kwenye Utafiti uliofanyika mwaka 2015/2016. Hayo yamesema Februari 7, 2023 na...
  8. JamiiForums Tanzania Wazazi jukumu lenu lisiwe ni kuwasomesha watoto tu, jitaidini kuwatafutia connection. Dunia imebadilika

    Salaam Wakuu. Dunia ya sasa mambo yamebadilika tofauti na miaka ya nyuma , (nasikia) zamani ukisoma hadi level ya degree ilikuwa ni rahisi sana kupata nafasi ya kazi pasina na hata kujuana na mtu katika idara au taasisi fulani.Wazazi wa wakati huo jukumu lao lilikuwa ni moja kuwapeleka watoto...
  9. JamiiForums Tanzania Kumkamata Aliyepiga picha watoto wakiwa chini ni kumuonea, zipo shule nyingi watoto wanakaa chini

    Kufuatia sakata la picha liyopigwa ikionesha wanafunzi wa Shule ya Sekondari Sinde wakiwa wamekaa wakisoma chini bila madawati na Serikali ikionekana kung'aka kwa kumuweka ndani anayesemekana kupiga picha hiyo ni sawa na mbuni kujifunika kichwa huku mwili ukiwa nje na akidhani kajificha. Soma...
  10. JamiiForums Tanzania Wape watoto wako majina mawili ili wajue maana halisi ya uhuru

    Tunazaliwa, tunakuta baba anatuita fulani, mama naye. Kaka pia anatuita hivyo, na dada na ndugu zetu! Kiukweli jamii nzima tumekuta inatuita tu fulanii fulanii. Wapi tulikaa kikao, ni lini tulikubaliana kwamba jina langu, kitu muhimu ninachomiliki na kunitambulisha popote liwe ni hili na sio...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Watoto wakutwa wakisafiri chini ya basi kutoka Bukoba - Mwanza

    Pichani watoto hawa wamekutwa wakisafiri uvunguni mwa basi la Happy Nation Bukoba - Mwanza: Hadi wanafumwa huko chini walikuwa wameshamaliza angalau kilometers 200. Hawa ndiyo ile sampuli ya watoto wa wakulima tunaotaka kuaminishana kwa nguvu kuwa wazazi wao sasa wanaouza chakula nje. Kwamba...
  12. JamiiForums Tanzania Chandika: Watoto 3,000 hukosa matibabu ya moyo kwa mwaka

    Imebainika kuwa zaidi ya watoto 3,000 nchini hukosa matibabu ya moyo kila mwaka. Kutokana na hali hiyo, madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo kwa watoto kutoka nchini Kuwait wameweka kambi ya wiki moja katika hospitali ya Rufaa ya Kanda ya kati Benjamin Mkapa jijini hapa, kwa ajili ya matibabu...
  13. JamiiForums Tanzania Mama wa kambo hawezi kuwalea sawa watoto wake na wa mwengine, tuwaache watoto waishi na mama zao ama kwa ndugu wa karibu ila sio vinginevyo

    MUHIMU: Ndugu wa karibu awe ni bibi (mama yako) au shangazi (dada yako) unaemwamini. Kulazimisha mtoto aje kuishi kwako wakati unaishi na mwanamke mwengine ni kumuingiza mtoto huyo uliemleta kwenye tanuri la moto, hii ni nature ndivyo tulivyoumbwa. Tena hali itakuwa mbaya sana mtoto uliemleta...
  14. JamiiForums Tanzania Mwanza: Wazazi wa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Thaqaafa waandamana kudai matokeo ya watoto wao

    Wazazi wa watoto waliokuwa wanasoma katika shule ya sekondari Thaqaafa iliyopo wilayani Nyamagana jijini Mwanza wameandamana kudai matokeo ya watoto wao waliomaliza kidato cha nne 2022 kufuatia kuwepo kwa sintofahamu. Wazazi hao wamesema wanafunzi waliomaliza kidato cha nne mwaka jana katika...
  15. JamiiForums Tanzania SI KWELI Ulaji wa mayai wakati wa ujauzito husababisha kujifungua watoto wenye vichwa vikubwa au wasio na nywele

    Wanawake wajawazito hupewa tahadhari au hata hukatazwa kabisa kufanya baadhi ya mambo kwa lengo la kuwaepushia madhara yanayoweza kuhatarisha afya zao, pamoja na mtoto aliyeko tumboni. Miongoni mwa mambo yaliyodumu kwa muda mrefu kwenye jamii zetu ni kuzuia wanawake wajawazito kutumia mayai...
  16. JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuhani Musa Richard Mwacha ashitakiwe kwa kuwadhalilisha watoto wadogo

    Habari, Huyu jamaa Kuhani Musa Richard Mwacha wa Kimara temboni ni muhuni na hafai kuwa kiongozi wa dini. Kwanini nasema hivi? Kila siku ya leo ana ibada ambayo huenda mpaka saa nne hivi ya usiku. Na majira ya usiku katikati ya ibada kinawekwa kipindi cha shuhuda. Ukifuatilia kwa undani...
  17. JamiiForums Tanzania Ni nani aliyekuja kutupa formula, ukiwa na mafanikio kidogo, unatakiwa uzae watoto wawili au mmoja?

    Kumekuwa na tatizo la watu kutozaa watoto wengi kama zamani; kisingizio kikiwa ni ugumu wa maisha au kuonyesha kuwa wamestaarabika. Hii imepelekea baadhi ya wazee wengi kuishi pekee yao, pamoja na kuwaongezea misongo ya mawazo; ikiwa ni pamoja na kujutia kwa nini katika ujana wao walizaa watoto...
  18. JamiiForums Tanzania Musonda weka mbali na watoto

    Jana nimeangalia mechi Yanga vs Namungo nimekubali Musonda anajua. Namungo hawakuweza kumkaba Bali kumshika jezi tu jamaa anapepea hakamatiki! Tumfundishe Musonda kuwa akishikwa na beki awe anaanguka asiende!! Tupate Faulo au penati mechi ya Simba maana hawataweza kumkaba! Morisson awe mentor...
  19. JamiiForums Tanzania Ajali iliyoua watu 17 Tanga imeondoka na Mume, Watoto 2 na Mjukuu

    Ni vilio na simanzi vimetawala nyumbani kwa familia iliyopoteza ndugu 14 wa familia moja kati ya 18 waliofariki kwa ajali ya gari mkoani Tanga jana Ijumaa usiku wa Februari 3, 2023. Katika ajali hiyo wamo mume na mke waliopeza maisha, mama na mwanaye na nyumba moja ambayo imepoteza watu wanne...
  20. JamiiForums Tanzania Dizasta Vina hajamfikia hata songa, acha apambane na watoto wenzake

    Baada ya kuachia tribulation ngoma ya kumdiss rapcha naona ata ngoma zake zimeanza kupepea hewani hata wasomjua dizasta wamemjua Sasa. Hila jamaa flow yake haibadiliki ana usanii ule wa kizamani wa kuimba kwa kusimulia mkasa tukio Fulani. Aige mifano Kwa songa, Nash mc Nikki mbishi max Cortez...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…