watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Watoto wazuri mtaishia kutumika ndoa labda mkaolewe na shetani kama hamtobadilika, uzuri wako utakupeleka kwenye ndoa ila tabia yako ndo itaamua

    Habari za wakati huu popote pale ulipo... Mungu yu nasi. Wanawake warembo ,wenye mwonekano, pisi kali na n.k majina mengine mnayo mbona kuolewa ni kipengere na wakiolewa hawa dumu kwa NDOA? Badilika we binti unatumika mwisho unaelekea kuzeeka mnaanza kuongopa umri ili ukaolewa na kijana...
  2. JamiiForums Tanzania Siri ya wazazi kulala chumbani na watoto

    Suala la watoto kulala na wazazi chumba kimoja linaelezwa kuwa ni chanzo cha kushuka kwa maadili ya Kitanzania, huku umaskini ukitajwa kuwa sehemu mojawapo. Kwa mujibu wa wachambuzi wa mambo, baadhi ya watoto hukaa macho usiku kuangalia nini kinachotokea kwa wazazi wao au kusikiliza...
  3. JamiiForums Tanzania Siwahitaji watoto wa kiume kwenye familia yangu

    Mimi ni baba wa mtoto mmoja now,Nina mtoto wa kike Jina N nampenda Sana binti yangu nahitaji Sana mke wangu azidi kuniletea watoto wa kike ata kumi nitawalea..Kama ntafika uzeeni mabinti zangu watakua wafariji kwangu. Ila sijui Nina tatizo gani Mara nyingi nimekuwa nikigombana na wife kuhusu...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza Watoto Wenye Vichwa vikubwa wafanyiwa upasuaji Tabora

    Historia imeandikwa mkoani Tabora na mikoa jirani ambapo kwa mara ya kwanza watoto wawili wenye vichwa vikubwa wamefanyiwa upasuaji kupitia kambi maalum ya matibabu ya kibigwa na bobezi inayoendesha na Madaktari bingwa, Wauguzi, Mtaalam wa usingizi kutoka Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI) kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Wanawake acheni Kupiga Kikatili Watoto wenu kwani hamkulazimishwa Kuwazaa

    Hakuna Kitu GENTAMYCINE nakipenda kama Watoto na Kucheza nao (japo ni Muoga wa Kuzaa) hivyo nikiona Wanaonewa au Wanateswa huwa Ninaumia mno na hata Mood ya Siku nzima Kuharibika. Nimekutana na Mama Mmoja akimpiga mwanae wa Kumzaa Kofi ambalo hata Mtu mzima akipigwa lazima Vita Vitaanza kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Muuzaji Mbegu za Kiume aongeza Soko, ana watoto 550

    Mwanamuziki wa Uholanzi mwenye makazi yake nchini Kenya, ambaye ni muuzaji mkubwa wa mbegu za kiume, pia mwenye watoto takriban watoto 550 duniani kote anakabiliwa na mashtaka ya kuongeza athari kwenye mahusiano. Jonathan Jacob Meijer, 41, ameshtakiwa kwa madai ya kuongeza hatari ya uhusiano wa...
  7. JamiiForums Tanzania Je, dawa za meno zinazogawiwa mashuleni zinaharibu homoni za watoto wa kiume?

    Salaam Kuna audio inasambaa mitandaoni kwamba kuna dawa za meno zinagawiwa Mashuleni ambazo zinaharibu homoni za kiume. Kwamba TBS ilithibitisha. Je, kuna mtu ana uhakika na hizi taarifa au ni Uzushi tu wa mitandaoni. Wizara ya Elimu inajua hiki kitu na Uliruhusu? Msililize huyu anachoongea
  8. JamiiForums Tanzania Sidhani kama watoto wa MO au Bakhresa wanajuta kuzaliwa kwenye familia zao 🤔

    Wadau za saizi nipo hapa bed nimejilaza na shida zangu tu Nikafikiri 97% ya shida zangu ninazopitia ni kwasababu sijatokea kwenye familia tajiri bali yenye hela Nikawaza hivi wakina MO au Bakhresa watoto wao wanajisikiaje kuwa na wazazi kama hao 🤔 maana chapaaa money 💰🤑💵💸💷💶💷💸💵 inasoma vyedi...
  9. JamiiForums Tanzania Ushoga na haki za mwanamke na watoto ni watoto pacha

    Binadamu na viumbe wengine wana tabia kuu zinazofanana. Viumbe wote wanazaa, kula, kuhema, kuhisi, kutoa uchafu na kusogea kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Tabia zote hizi huwezi kuzizuia Wala kuziruhusu zitokee kwa utashi wa viumbe vyenyewe, hutokea automatically chini ya autonomic nervous...
  10. JamiiForums Tanzania KWELI Mwanamke anaweza kubeba Ujauzito wa watoto mapacha wenye baba tofauti

    Miaka kadhaa nyuma niliwahi kusikia mwanamke mmoja nchini Uganda kajifungua watoto wawili (mapacha) wenye baba tofauti, hali hii ilinishangaza sana. Hali kama hii iliripotiwa pia Septemba 9, 2022 kwenye jarida la CNBC ambapo mwanamama mmoja kutoka Minerois, Brazil alithibitika kuwa na ujauzito...
  11. JamiiForums Tanzania Uwakilishi mpana wa watoto wanaobeba maua kupokea wageni wa kitaifa uzingatiwe

    Katika mapokezi ya kumpokea makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris nimeona watoto wawili(2) wa kumpokea kwa maua uwanja wa ndege, lakini nasikitika kusema itifaki haikuzingatia uwakilisho mzuri na mpana wa taifa letu. La jana limepita ila kwa wageni wakubwa watakaofuata tena baadaye...
  12. JamiiForums Tanzania Wanaume Tunalea watoto sio wetu kwenye Ndoa

    Ukiona familia Ina watoto 5 ujue wawili au mmoja hapo mama kachanganya baba,sio wote ni baadhi ya familia. Kuna mshikaji wangu tunaishi kitaa kimoja, alikuwa ana date na mke wa mtu mpaka akampa mimba na yule mke wa mtu alimwambia mshikaji hii mimba ya kwako na huyu mtoto atakaye zaliwa ni damu...
  13. JamiiForums Tanzania Janeth Mahawanga ametembelea Kituo cha Watoto Yatima cha New Faraja Orphanage Center

    MHE. JANETH MAHAWANGA ATOA ELIMU KUPINGA UKATILI WA WATOTO NEW FARAJA ORPHANAGE CENTER Mbunge Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dar Es Salaam na Mwanzilishi wa Taasisi ya Tisha Mama Foundation, Mhe. Janeth Elias Mahawanga na Taasisi ya Ejaz Bhalloo Foundation pamoja na Jeshi la Polisi kutembelea...
  14. JamiiForums Tanzania Sherehe ya harusi yavunjika baada ya kugundulika bwana harusi ameoa na ana watoto saba

    ‘Hivi ni vijimambo’ unaweza ukaita hivyo, baada ya sintofahamu kutanda katikati ya sherehe ya harusi kutokana na vurugu iliyosababishwa na taarifa iliyomfikia bi harusi kuwa anayefunga nae ndoa ana familia yenye watoto saba. Sherehe hiyo iliyokuwa ikifanyika siku ya Jumapili katika jimbo la Edo...
  15. JamiiForums Tanzania Watoto Wanapaswa Kulindwa Dhidi ya Utumikishaji na Unyonyaji wa Kila Aina

    Watoto ni waathiriwa wakubwa wa kazi za kulazimishwa/utumikishwaji katika sehemu nyingi duniani. Utumikishwaji ni hali ambapo watu wanalazimishwa kufanya kazi kinyume na matakwa yao, kwa vitisho vya adhabu, vurugu n.k. Watoto wako katika hatari ya kutumikishwa kwa sababu mara nyingi hawawezi...
  16. JamiiForums Tanzania Dkt. Ritta Kabati Kutoa Bima za Afya kwa Watoto wenye Mahitaji Maalum Mkoa wa Iringa

    MBUNGE MHE. DKT. RITTA KABATI KUTOA BIMA ZA AFYA KWA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM MKOA WA IRINGA MBUNGE VITI MAALUM MKOA WA IRINGA (CCM), Mwenyekiti wa Wabunge wa CCM Iringa, Mjumbe Bodi ya Wasanii COSOTA na Balozi wa Walemavu Bungeni Mhe. Dkt. Ritta Kabati ameahidi kutoa msaada wa jumla ya...
  17. JamiiForums Tanzania Wazazi wenye Watoto wa Secondary wa Shule za Dar Kagueni Mashavu ya Watoto wenu kwani kuna Mmoja nimemuadabisha Kimara Stendi Juu Darajani leo

    Hakuna Kitu ambacho GENTAMYCINE nachukia kama Watoto wa Shule (Watoto zetu) kuwa na tabia za Matusi Matusi tena Hadharani ambako Watu wazima tupo au tunapita. Leo mida ya Saa Mbili Usiku GENTAMYCINE nilikuwa nakatiza zangu Kimara Juu Darajani na nikakuta Wanafunzi wa Upili (Secondary) wakiwa...
  18. JamiiForums Tanzania Mama wa watoto wako ameishikilia hatma yako

    MAMA WA WATOTO WAKO AMEISHIKILIA HATMA YAKO! Anaandika, Robert Heriel Shahidi. Ujumbe huu ni Kwa Watibeli, wanaume na Wanawake wanaohitaji kuishi Kwa furaha katika Ulimwengu huu. Unapochagua MKE sio tuu unachagua Kiburudisho cha kukupa utamu kila usikiapo hamu ya ngono. Mke ni zaidi ya...
  19. JamiiForums Tanzania DOKEZO Mpanda hali ni mbaya, Watoto wengi hawaendi shule, wanaingia mtaani kufanyabiashara, Serikali iko wapi?

    Hali ya biashara ya vyuma chakavu na matunda mbalimbali inaendelea kushamiri katika Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi na imekuwa ikifanywa kwenye maeneo ya Manispaa hiyo na watoto wadogo ambao wanapaswa kuwa Shuleni kwenye shule za Msingi. Licha ya Serikali kufanya jitihada kubwa za kuboresha...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Sidhani kama watuhumiwa wanaofanya vitendo vya ulawiti kwa watoto wanachukuliwa hatua stahiki

    Vitendo vya ulawiti vimeendelea kujitokeza katika maeneo mengi hapa nchini Tanzania. Licha ya Serikali na wadau mbalimbali kupiga kelele kuhusu vitendo hivi bado vimeendelea kushamiri kwenye maeneo yetu. Vitendo hivi vinapotokea wazazi/walezi wamekuwa na tabia ya kufumbia macho kwa kutokutoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…