Wanaume Tunalea watoto sio wetu kwenye Ndoa

Mohammed wa 5

JF-Expert Member
Jun 20, 2022
1,215
2,992
Ukiona familia Ina watoto 5 ujue wawili au mmoja hapo mama kachanganya baba,sio wote ni baadhi ya familia.

Kuna mshikaji wangu tunaishi kitaa kimoja, alikuwa ana date na mke wa mtu mpaka akampa mimba na yule mke wa mtu alimwambia mshikaji hii mimba ya kwako na huyu mtoto atakaye zaliwa ni damu yako na mume wangu nishamwambia Nina mimba amekubari,mke wa mtu alianza kumpenda mshikaji sababu ya muonekano.

huyu mke wa mtu ni zile pisi kali maisha mazuri pisi za town,mume wake Yuko taasisi x anajiweza kiuchumi. Wana watoto 2 now wa kiume na huyu wa kike.

Yule mtoto now ana 4 years ni wa kike kafanana Sana na mama yake,mume wa yule mke anampenda Sana yule mtoto kila muda Yuko nae na kila sehemu anaenda nae.

Mshikaji wangu anaona wivu now anataka kwenda kwa yule pisi ili akadai damu yake na Yuko tayari kwenda kupima DNA Kama kutatokea sitofahamu.

Tumemshauri yule mtoto ampotezee sababu anaweza kuharibu ndoa za watu au akapata matizo mshikaji haelewi.

Wanawake kwenye ndoa humu mna Siri nyingi sana.
 
Hawa mabinti wa sasa hivi wengi ni vichwa maji yani hawaelewi wanataka nini

Unaweza kuwa una pesa za kufanya aishi maisha ya ndoto zake na ukawa unapiga show hadi anaomba poo ya kunywa maji lakini bado ukamegewa na kajamaa ambako hakafai kua hata gateman nyumbani kwako
 
Hata vijana wa 50's hii michezo walikuwa nayo sana tu ila walikuwa wanafichiana siri ukizingatia pia social media ilikiwa kipengele
 
Ukiona familia Ina watoto 5 ujue wawili au mmoja hapo mama kachanganya baba,sio wote ni baadhi ya familia.

Kuna mshikaji wangu tunaishi kitaa kimoja, alikuwa ana date na mke wa mtu mpaka akampa mimba na yule mke wa mtu alimwambia mshikaji hii mimba ya kwako na huyu mtoto atakaye zaliwa ni damu yako na mume wangu nishamwambia Nina mimba amekubari,mke wa mtu alianza kumpenda mshikaji sababu ya muonekano.

huyu mke wa mtu ni zile pisi kali maisha mazuri pisi za town,mume wake Yuko taasisi x anajiweza kiuchumi. Wana watoto 2 now wa kiume na huyu wa kike.

Yule mtoto now ana 4 years ni wa kike kafanana Sana na mama yake,mume wa yule mke anampenda Sana yule mtoto kila muda Yuko nae na kila sehemu anaenda nae.

Mshikaji wangu anaona wivu now anataka kwenda kwa yule pisi ili akadai damu yake na Yuko tayari kwenda kupima DNA Kama kutatokea sitofahamu.

Tumemshauri yule mtoto ampotezee sababu anaweza kuharibu ndoa za watu au akapata matizo mshikaji haelewi.

Wanawake kwenye ndoa humu mna Siri nyingi sana.
apotezee tu
 
Unapanda mazao kwenye shamba la mtu unategemea nini.
Huyo mshikaji wako kama anajipenda ni bora aachane na huyo mtoto anaweza kusababisha mauaji kizembe kabisa
 
Ukiona familia Ina watoto 5 ujue wawili au mmoja hapo mama kachanganya baba,sio wote ni baadhi ya familia.

Kuna mshikaji wangu tunaishi kitaa kimoja, alikuwa ana date na mke wa mtu mpaka akampa mimba na yule mke wa mtu alimwambia mshikaji hii mimba ya kwako na huyu mtoto atakaye zaliwa ni damu yako na mume wangu nishamwambia Nina mimba amekubari,mke wa mtu alianza kumpenda mshikaji sababu ya muonekano.

huyu mke wa mtu ni zile pisi kali maisha mazuri pisi za town,mume wake Yuko taasisi x anajiweza kiuchumi. Wana watoto 2 now wa kiume na huyu wa kike.

Yule mtoto now ana 4 years ni wa kike kafanana Sana na mama yake,mume wa yule mke anampenda Sana yule mtoto kila muda Yuko nae na kila sehemu anaenda nae.

Mshikaji wangu anaona wivu now anataka kwenda kwa yule pisi ili akadai damu yake na Yuko tayari kwenda kupima DNA Kama kutatokea sitofahamu.

Tumemshauri yule mtoto ampotezee sababu anaweza kuharibu ndoa za watu au akapata matizo mshikaji haelewi.

Wanawake kwenye ndoa humu mna Siri nyingi sana.
Mrejesho
 
Nikikumbuka zile filam za kinigeria zilizokuwa na mada za aina hii kwenye miaka kama ishirini nyuma nilidhania ni za kutunga tu, kumbe ni ukweli mtupu.
 
Ukiona familia Ina watoto 5 ujue wawili au mmoja hapo mama kachanganya baba,sio wote ni baadhi ya familia.

Kuna mshikaji wangu tunaishi kitaa kimoja, alikuwa ana date na mke wa mtu mpaka akampa mimba na yule mke wa mtu alimwambia mshikaji hii mimba ya kwako na huyu mtoto atakaye zaliwa ni damu yako na mume wangu nishamwambia Nina mimba amekubari,mke wa mtu alianza kumpenda mshikaji sababu ya muonekano.

huyu mke wa mtu ni zile pisi kali maisha mazuri pisi za town,mume wake Yuko taasisi x anajiweza kiuchumi. Wana watoto 2 now wa kiume na huyu wa kike.

Yule mtoto now ana 4 years ni wa kike kafanana Sana na mama yake,mume wa yule mke anampenda Sana yule mtoto kila muda Yuko nae na kila sehemu anaenda nae.

Mshikaji wangu anaona wivu now anataka kwenda kwa yule pisi ili akadai damu yake na Yuko tayari kwenda kupima DNA Kama kutatokea sitofahamu.

Tumemshauri yule mtoto ampotezee sababu anaweza kuharibu ndoa za watu au akapata matizo mshikaji haelewi.

Wanawake kwenye ndoa humu mna Siri nyingi sana.
Huyo bwana anavyolilia mtoto kama vile anaweza mtunza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfano filam gani
miaka mingi imepita sizikumbuki majina. Enzi hizo ni kwa kutumia VHS

Moja: jamaa ameishi na mkewe na watoto wao wawili, kumbe wale watoto ni wa dereva wake yeye hakuwa na uwezo wa kuzaa. Alipopata maradhi alikwenda na katika uchunguzi alionekana hana mbegu kabisa. Yeye hakuamini lakini watoto walipopimwa DNA ndiyo ikabainika siyo wa kwake. Mwanamke aliishia kuomba msamaha.

Ya pili ilikuwa kuna mjamaa na mkewe walikuwa hawapati watoto (tatizo kwa mwanamme), basi akampanga rafiki yake aje kumbaka mke wake bila ya mke kumjua (aliingia kwenye nyumba usiku kama mwizi vile). Mwanamke alisikitika sana na akataka kuripoti polisi lakini mumewe aligoma kabisa na kumsisitiza ingekuwa aibu kama siri ile ingetoka nje. Mambo yakafanikiwa mwanamke akapata ujaauzito akajifungua. Baada ya muda yule rafiki (mbakaji) alikuwa na familia yake wakapata ajali, yeye alisalimika lakini watoto wake walifariki, ndiyo alianza kumuwaza yule mtoto wake kwa yule mke wa rafiki yake. Mwisho alimwambia rafiki yake ampe mtoto wake na hapo ndiyo ugomvi ulianza mpaka mwanamke akaelewa nini kiliendelea (sikumbuki mwisho ilikuwa vipi maana ni miaka mingi sana)..
 
Hizi issue balaa kabisa kuna mshakaji ye mke wake wa ndoa walikuwa wana watoto wawili (2) tayari huku na huku Mke kabeba mimba mtoto tatu kumbe ni ya kigogo moja wa taasisi ya seriklia. Mtoto alipozaliwa kigogo akashindwa kuvumilia akaja kudai mtoto wake jamaa kuona hilo seke seka akaona ujinga kachukua begi lake kawasha gari kasepa zake kaacha kila kitu nyumba na vyote vilivyomo saa hii kashajenga nyumba ingine kahamia anatuza wale watoto wake wawili from a distance.
 
Back
Top Bottom