watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. Rwetembula Hassan Jumah

    JamiiForums Tanzania Watoto wenu acha kuwapa majina ya watu maarufu mnawakosesha bahati zao

    Kuna watoto wanapewa majina ya watu maarufu sijajua wazazi uwaga wanaza nini • Kijijini kwetu hata hapa mjini kuna watu wanatumia majina ya watu maarufu na ni majina yao sahihi waliopewa na wazazi wao. Kwa mfano kuna wanaume wanaitwa .William, Mkapa, Nyerere, Kikwete, Riziwan , Mwinyi...
  2. anti-Glazer

    JamiiForums Tanzania Siasa kwenye elimu. Kila goli tsh 5000000, basi ili watoto wajue kusoma Kila mwl posho 200,000.

    Ndg wanajamii Kuna mambo yanaendelea lakin ukweli ni maslahi pekee. Sasa pamoja na challenge zote Bado Kuna matatizo ya kimfumo. Mwl na koi saw key performance indicator zitapatikana vyuoni au maekelezo??
  3. Mr Pixel3a

    JamiiForums Tanzania Makanisa yazingatie umuhimu wa Sunday Schools kwa watoto wa umri mdogo na wa kati

    Baadhi ya makanisa kupuuzia Sunday schools kwa watoto na kuwa na utamaduni wa kuwachanganya watoto na watu wazima haimjengi mtoto kimaadili, kidini, kisaikolojia na kiufahamu pia. Maana kuna mahubiri mengine yanaleta matokeo hasi kwenye ubongo wa mtoto. Mtoto lazma afundishwe katika ranks na...
  4. Mateso chakubanga

    JamiiForums Tanzania Serikali ifanye ukaguzi shule zote na vituo vyote vya kulelea watoto hasa vinavyomilikiwa na wageni nchini

    Kutokana na wimbi la ushoga na usagaji nchini kusambaa kwa kasi kupitia taasisi za elimu na ustawi wa jamii kwa maana ya vituo vya kulelea watoto hasa vinavyomilikiwa na wawwkezaji wa kigeni, natoa rai serikali ipitie mitaala na mbinu za ufundishaji , vifaa vya ufundishaji, matumizi ya vifaa...
  5. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu hawawapi watoto wao majina haya?

    Herode Farao Pilato Nebucadreza Etc... Ongezea na wewe majina ambayo watu hawapendi kuwaita watoto wao........ Wasalaam 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
  6. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume acheni kuzaa watoto Nje ya Ndoa mnawatesa viumbe wasio na Hatia

    Hili jambo linanihuzunisha sana. Sina cha kuwasaidia lakini angalau nina mdomo na mikono ya kusema na kuandika. Kila ninapona watoto wadogo wasio na mwelekeo kwemye maisha, hawana pa kulala, kula kwa tabu, kuvaa mtihani na shule ndio kabisa wamepoteza mwelekeo. Kipindi kama hiki cha mvua...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Wasafi media na EFM ni watoto wa baba mmoja na mama mmoja matumbo mbalimbali

    EFM na wasafi media wametofautiana tarehe ya kuzaliwa tu lakini baba ni mmoja na mama yao mmoja! Wafanyakazi wanakula kwa bamdogo wanalala kwa shangazi! Mikataba yao ni copy and paste! Mwaka mmoja kulala kwa shangazi, mwaka mwingine tunarudi kwa bamdogo maisha yanasonga cha muhimu ni kuwa na...
  8. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Wagner waeleza walivyokuwa wanaua watoto

    Walipewa amri kuua yeyote hata awe mtoto, yaani Warusi na Waarabu ni hatari sana dunia hii wakija kuachiwa https://www.express.co.uk/news/world/1759416/Wagner-Group-commander-Bakhmut-war-crimes 'We killed children!' Wagner chief admits mass slaughter of women and kids aged 5 In 77 minutes of...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Hamisa Mobetto: 'Nachukia wanaoniomba niwazalie Watoto’

    Msanii Hamisa Mobetto, ambaye pia ni mama wa watoto wawili amesema anachukizwa na baadhi ya wanaume wanaomfata na kumuomba awazalie watoto. Hamisa amesema baadhi ya wanaume wamekuwa wakimfuata na kumueleza kuwa wanataka awazalie watoto na kudai kuwa kama mtu anataka amchukie maisha amfuate...
  10. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Mtoto wako unamleaje? Nimesikitishwa sana na watoto wa shule hii

    Leo nimetembelea shule anayosoma mwanangu, ni sekondari ya bweni. Nilichogundua ni kwamba wazazi wengi majumbani mwetu hatuwafundishi watoto kuthamini kidogo walicho nacho. Nimekuta watoto wanatupa viatu vizuri kabisa. Wametupa mashuka na yako kwenye hali nzuri sana, wametupa nguo zao...
  11. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Beach ya Ununio kunafanyika uchafu mpaka kwa Watoto wadogo

    Tunapoendelea na sakata la mashoga na mambo mengine yanayotia aibu na kinyaa, wazazi mnaoruhusu watoto wenu wa kike na wa kiume kwenda Ununio Beach wanafanya uchafu kul, kuweni makini lindeni watoto wenu. Maana usitegemee serikali ije ikulindie Serikali itapiga soga la siasa tu lakini pale kuna...
  12. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Kupandikiza watoto chuki siyo kitu sahihi. Le Mutuz kwa hili anaonewa sana, namtetea

    Labda kwa wale ambao tupo JF muda mrefu tunafahamu vizuri William Malecela Le Mutuz na Neema Ngwilulupi walikuwa ni wana ndoa na wanaishi Marekani ni member wenzetu wa hapa JF. Le Mutuz alishaandika mwenyewe historia ya maisha yake Marekani Kwahiyo Mimi sina cha kuongeza. Ila nimesikitika sana...
  13. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Mrejesho kuhusu kupima DNA za watoto wangu

    Miezi kadhaa imepita niliandika uzi humu nikasema nitaenda kupima DNA watoto wangu. Nilipatiwa muongozo kwenye ule uzi na baadhi ya wanasheria/mawakili waliomo humu ikabidi kumjulisha wakili wangu akasema inawezekana na ni rahisi sana. Nashukuru nimekuta mabao yote ni yangu, I felt like Messi...
  14. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Lile katazo la watoto kutokaa bweni ilikuwa ni funika kombe?

    Sasa Mimi huwa najaribu kujiuliza haya matamko huwa ya faida gani? Kwani Serikali inakataza Mambo halafu huoni utekelezaji wake hii inamanisha Ni kutengeneza mazingira ya rushwa au serikali Haina meno? Kama ni hivyo Haina sababu ya kukataa.
  15. Beesmom

    JamiiForums Tanzania Wazazi tusiache kusomesha watoto wa kike

    Nadhani mmeona wenyewe mambo aliyofanya ASHRAF HAKIMI na wanaume pia baadhi ya wanawake wanavyofurahia alichokifanya. Mwanaume anamdharau mwanamke anamthamini mama yake. Yaani anamthamini aliyemzaa anamdharau aliyemzalia, namaanisha anamdharau mama anamweshimu mama, nadhani mmenielewa. Kiufupi...
  16. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Kwanini ndugu zetu wazaramu wanawapa watoto majina fikirishi?

    Amani iwe nanyi Wakati tunakua, bado Dar es Salaam ilikua na wazaramu wengi na nilibahatika kusoma na watu wenye majina kama SIKITU, SIWATU, SIWAZURI, TABU, MATESO, HAVINITISHI, SIKUDHANI, KIDAWA, CHAUREMBO na majina mengi ya namna hiyo. Sasa, sijui hekima ya wazee wa kizaramo ilikua ina...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ujasusi wa Kifamilia: Stadi za kazi (Maisha) kwa Watoto

    UJASUSI WA KIFAMILIA; STADI ZA KAZI(MAISHA) KWA WATOTO Anaandika, Robert Heriel Jasusi Wapi tulipotoka, wapi tupo, na wapi tuendako? Tulikuwa wangapi, tupo wangapi, na tunatarajia tuwe wangapi? Tulikuwa na nini, tunanini na tunahitaji kuwa na nini hapo baadaye? Tulifanya nini, tunafanya nini...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ripoti LHRC: Haki za Watoto zilikiukwa zaidi Nchini Tanzania mwaka 2022

    Utafiti uliofanywa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) umeonesha kuwa Watoto ndio waathirika wengi wa matukio yaliyoripotiwa na kurekodiwa ya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Tanzania kwa (47%), wakifuatiwa na wanawake (33%), wazee (10%) na Watu wenye Ulemavu (4%). Pia, kwa...
  19. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Ndoa ngumu sana ndugu zangu; kwenye ndoa zenu kuna watoto wetu

    INTRODUCTION Eeeh bwana eeeh! Wazima humu na Heri ya pasaka sanaaa. NB: Sina maana yoyote ya kudhihaki kutokana na kichwa cha habari. Anyway baada ya salama twende kwenye mada. SCENARIO Nina jamaa angu huu mtaa lilipo duka langu. Huyu jamaa angu yamemkuta MAKUBWAAAA kwenye ndoa yake (Tumuite...
  20. K

    JamiiForums Tanzania CAG: Vifo watoto wachanga vimeongezeka Mbeya

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za serikali amesema kuwa katika Mwaka 2021/22 aligundua uwepo wa ongezeko kubwa la watoto wachanga katika Mamlaka mbili ambazo ni Halmashauri ya Jiji la Mbeya na Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya. Katika Ripoti yake CAG anaeleza kuwa takwimu zimeonyesha kuwa...
Back
Top Bottom