watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. Hivi wazazi na walezi mnawezaje kuishi watoto viburi majumbani kwenu?

    Mimi ni mtoto wa pili katika familia ya watoto 8 nina miaka 27, bado naishi nyumba ya kifamilia bado mambo bila bila (maisha magumu kuhama) nimepoteza mzazi wa kike na wakiume anaishi mbali kidogo na sisi ila tunashukuru hajakataa uzazi wake. Kama mnavyojua katika familia lazima baadh ya muda...
  2. Mbunge Ntate: Wazazi Kuweni Makini na Malezi Hasa ya Watoto wa Kike

    Mbunge wa Viti Maalum (Anayewakilisha Wafanyakazi Nchini) Anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Janejelly James Ntate amewaasa wazazi na walezi kuwa makini na malezi ya watoto hasa watoto wa kike kwa kuwa watoto hao wapo hatarini sana kutokana na kukumbana na vishawishi vya kila aina tofauti...
  3. Single Mothers Mnashindwa nini kawakataa Baba watoto wa vichakani kwa kusajili watoto kwa majina ya Ukoo wako?

    Single Mothers Mnashindwa nini kawakataa Baba watoto wa vichakani kuwa huyu simjui na simfahamu na sina mtoto. Unashindwa nini kumroga na kumpeleka kaburini haraka sana kibwengo msumbufu asiye na faida na mleta sumu kwenye maisha yako? Ebu imagine single mother umezaa mtoto wa kichakani baba...
  4. Hamas yakanusha kuchinja akina mama na watoto

    Viongozi wa Hamas wamesema jeshi la Israel kwa sasa linatafuta kuungwa mkono na jumuiya za kimataifa kwa kuwasingizia kwamba walichinja watu hasa wanawake na watoto wachanga. Wamekanusha kufanya vitendo hivyo na wameitaka Israel watoe ushahidi. ======== Palestinian group Hamas, which undertook...
  5. Rais Samia kasafiri hadi na mtoto wake?

    Kweli Magufuli aenziwe Daima, "Nchi hii ilichezewa sana" in Magufuli's mara gafla imeanza kuchezewa. Sasa mama Samia kusafiri na Mawaziri Buku, Waandishi Buku, Wanasiasa buku, wachekeshaji jero na wasanii jero haijatosha kumbe kasafiri hadi na watoto wake. Yani mpaka familia yake inaenda kwenye...
  6. Watoto 45 kufanyiwa upasuaji wa moyo

    Madaktari bingwa wa upasuaji wa moyo na mishipa ya damu kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao kutoka Shirika la Mending Kids la nchini Marekani wakimfanyia mtoto upasuaji wa kuziba tundu lililopo kwenye moyo wakati wa kambi maalumu ya siku tano iliyoanza...
  7. Ugonjwa wa ajabu unawatesa watoto wenye umri chini ya miaka 10

    Niende kwenye hoja. Sijui ni ugonjwa gani huu, mapele na yakipasuka yanageuka madonda. Watoto wanawashwa na akijikuna anazidisha maambukizi na madonda huwa makubwa na kwa dalili ilivo inaonekana wanaumia sana. Madktari nilionana nao wapo kana kwamba wanabuni tatizo. Kama kuna aliyeona shida...
  8. Ungefanya nini ? unagundua kila mwaka mke huenda kwao kutambika baada ya kuona watoto wamerudi na chale walipomsindikiza mama yao.

    Kuna anko anaenda miaka kama 43 hivi ana familia yake yenye watoto wawili wa kiume. Mke wake yuko fresh sijawai sikia malalamiko, ni mtiifu, anawajali ndugu wa mme wake, anafua nguo za mmewe japo kuna housegirl, kanisani anaenda, n.k. Kila mwaka unapoisha siku 2 baada ya krismas kwenye tarehe...
  9. Duka la nguo za watoto

    Habari Naomba ushauri juu ya biashara ya nguo za watoto pamoja na mazaga zaga yanayo husu watoto Nina 5 Milioni, io n pesa ya kununua mzigo tu, namaanisha mbali na kodi ya chumba Je kwa uzoefu wa wenye kuifanya hii kazi, naweza toboa au laaa!!?? Location yangu ni Tunduma
  10. Wiki ya tatu watoto wamesimamishwa masomo kwa sababu ya fee

    Shule bianfsi za msingi na seckondari zinatabia hii sana. Lakini mzazi anapolipa hakuna compasatiion ya siku aozokosa. Shule hizi hubeba dhambi tu. Hawa viongozi wa shule biafsi hukosa utu na kwamba hawana haya kumsimamisha masomo mtoto aisye na hatia. Hata kama wao wanasepa na maden lakini...
  11. F

    Watoto wa kishua walisumbua sana Dar miaka ya 90s. Via Social media na internet watoto wa uswaz wamepindua meza

    Habari wadau. Nimekumbuka Dar ya miaka ya 90s. Vijana waliokuwa wanatamba mjini ni wale wa kishua. Watoto wa o bey, upanga, mikocheni ndio walikuwa habari ya mjini. Viwanja kama bills, slipway, mikadi beach, coco beach walikuwa wanatamba wao tu. Vijana maarufu ni wale washua wanaosoma...
  12. Kuhusu vituo vya kulelea watoto: samaki mmoja akioza si wote wameoza!

    Nimeamua kuuleta huu uzi kutokana na mada kadhaa nilizoziona humu JF zinazoongelea vituo vya watoto yatima kwa mtazamo hasi. Baadhi ya watu wametamani hata hivyo vituo visipewe misaada au vifutwe kabisa. Uzi ulionichochea hasa ni wa Bexb alioutoa 04/10/2023 wenye kichwa, NIFAHAMISHE KITUO CHA...
  13. Jinsi babu zetu walivyowapa majina watoto wao. Majina yao yalitoka moja kwa moja kwa Mungu muumbaji

    Kabla ya ujio wa dini za wageni Afrika hatukuwaga na majina ya Abdallah wala Paulo . Babu zetu waliwapa watoto wao majina ya kiafrika. Majina waliyatoa moja kwa moja toka kwa Mungu. Ni hivi babu zetu walimjua Mungu kupitia nature. To them nature was the portal which connected them with their...
  14. J

    MREJESHO; Ushauri, niwahusishe watoto wangu wa nje ya ndoa kwenye urithi?

    Habari wanajf. Nilileta uzi hapa kuhusu rafiki yangu mmoja ambaye alizaa nje watoto 2. Na mkewe alizaa nae watoto wawili. Thread 'Ushauri, niwahusishe watoto wangu wa nje ya ndoa kwenye urithi?' Ushauri, niwahusishe watoto wangu wa nje ya ndoa kwenye urithi? Alipata kigugumizi kuhusu mali...
  15. Nifahamishe kituo cha watoto yatima chenye uhitaji mkubwa sana

    Habari ya wakati huu wakuu. Ninaomba msaada wa taarifa ya kituo chochote cha kulelea watoto yatima ama watoto walio katika mazingira magumu ambacho kiuhalisia kina hali ngumu ya kimahitaji ya kawaida. Kituo kiwepo Dar es salaam na nitaomba kama utaweza unisaidie mahali hasa kinapopatikana na...
  16. R

    Watoto wa maskini walioajiriwa serikalini wanatumika kuwaadhibu wazazi na ndugu zao waliowasomesha wakiamini wanalinda nchi

    Wanaoangaika na maskini wa nchi ni watoto wa maskini walioajiriwa serikalini. Viongozi wa TANAPA wameliwa vichwa kwa sababu tu wamegusa maslahi ya royal family. Viongozi wa TANAPA wameona namna wanasiasa wasivyo na fadhila; wamepambana na Masai wakiamini watapanda vyeo wameambulia fedhea ya...
  17. Wanaume wasiishi bila mweza, inapunguza unyanyasaji wa kingono kwa watoto

    Wanaume walio single wengi wanaishi wenyewe au wamepanga mtaani ndio wanaongoza kuwarubuni vijana au watoto kuwaingilia kinyume na maumbile. Wanawadanganya kwa pesa au simu. Wanawaonesha video za ngono na kuanza kuwashika shika sehemu zao za siri. Ndio maana sehemu nyingine hawapendi kuona...
  18. Kenya kuvifunga Vituo Binfasi vya Kulelea Watoto ili kudhibiti Usafirishaji Haramu wa Binadamu

    Kwa mujibu wa Wizaza ya Ulinzi wa Jamii, Watoto wote wanaolelewa kwenye nyumba hizo watachukuliwa na kukabidhiwa kwa Familia na Vituo vya Kijamii vyenye mazingira salama kwao huku zoezi hilo lilitarajiwa kufanyika katika kipindi cha miaka 8. Kenya imekuwa katika mipango ya kuzifunga Nyumba...
  19. F

    Wazazi kamwe msiwaruhusu watoto wenu kuangalia filamu za kutisha (zombie & violent movies), kuna mkakati hatari wa shetani kwenye movie hizi!

    Same. Mwanafunzi wa darasa la sita shule ya msingi Majengo wilayani Same, mkoani Kilimanjaro Brian Elisha Godson (12) amejiua kwa kujinyonga akitaka kuigiza kama filamu ya kujinyonga aliyoipenda kuiangalia akiamini hatakufa. Godson anadaiwa kufanya jaribio hilo kwa kujinyonga na shuka saa 12...
  20. Kwanini imekuwa kawaida kwa vijana wa kikristo kuwa wazinzi waliokubuhu kwa kuwa na watoto na mahusiano lakini wanachelewa ama hawataki kuoa ?

    Ndoa za kiafrika na za kiislam, vijana wengi wakifika miaka 22 wanaanza kuoa. Kijana wa kikristo ana miaka 30, ana mtoto wa nje ya ndoa na yupo kwenye mahusiano na mwanamke anaemgharamia na pengine kuishi nae lakini hataki kuoa ?? Kwanini uzinzi umezoeleka sana kiasi hiki ??
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…