Sisi tunaoishi kwenye nyumba za kupanga. Kuna wanaopenda wajue umekula nini leo, na maisha yako kwa ujumla.
Kama umepanga vyumba viwili, chumba cha watoto weka double decker, sofa moja na coffee table. Hii coffee table ndiyo dining table pia.
Pembeni weka meza ya jiko la gesi na chini ya...