watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Bashiru Ally ameongoza mazishi ya watoto walioungua moto huko Kyerwa Kagera kama nani?

    ITV imemuonyesha Katibu Mkuu wa CCM ndugu Bashiru Ally akitajwa kuwa mgeni rasmi kwenye mazishi ya watoto 10 waliozikwa leo huko Kagera, sina shida na mtu yoyote kuhudhuria mazishi yoyote popote lakini kumpa cheo cha kuongoza mazishi mtu asiye na cheo chochote kwenye Serikali yetu ni dharau...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Serikali imetoa Tsh 250,000 kama ubani kwa kila familia ya mtoto aliyefariki kwenye shule ya waislamu Byamungu

    Serikali imetoa ubani wa sh 250,000 kwa kila familia iliyofiwa na mtoto kwenye ajali ya moto katika shule ya waislamu huko Kyerwa mkoani Kagera. Kadhalika Serikali inawagharamia wanafunzi wengine sita wanaopatiwa matibabu katika hospitali ya Bugando. Maendeleo hayana vyama!
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba (Ilolangulu): Nichagueni niwe Rais wa nchi hii ili niweze kutokomeza njaa kwa wote na kuhakikisha lishe bora kwa wajawazito na watoto

    NICHAGUENI NIWE RAIS WA NCHI HII ILI NIWEZE KUTOKOMEZA NJAA KWA WOTE NA KUHAKIKISHA LISHE BORA KWA WAJAWAZITO NA WATOTO "PROF.LIPUMBA"ILOLANGULU AKIPITA KUSALIMIA. Nitahakikisha kuwa kila mwananchi anakuwa na uwezo au kuwezeshwa kupata milo mitatu kwa siku. Hatua za makusudi zitachukuliwa...
  4. JamiiForums Tanzania DED/DEO Magu watoto wako hatarini Magu Shule ya Msingi

    Ujumbe huu uwafikie Mkurugenzi Mtendaji (DED) Bwn. Lutengano Mwalwiba na Afisa Elimu Msingi (DEO) Bi. Glory Mtui; wote wakiwa watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya MAGU. Kuhusu mada iliyobeba ujumbe huu ni kwamba, watoto wanaosoma Magu Shule ya Msingi iliyoko Magu Mjini wako hatarini tangu...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Wazazi tulaani kitendo cha watoto wetu kukoseshwa masomo na kutumiwa kisiasa

    Kampeni za mwaka zimeingia hatua mpya ya kuwalazimisha watoto kujiingiza kwenye kampeni za kisiasa. Mambo hayo yametokea huko Bukoba baada ya wanafunzi kushinikizwa kusimama barabarani kuupokea msafara wa mgombea wa CCM. Mimi kama mzazi nikigundua mwanangu kesho atakosa masomo kwa ajili hii...
  6. JamiiForums Tanzania Geita: Dkt. Magufuli awataka watoto wa shule waliosimama kumtazama wasome kwa bidii

    Watoto wa Kibehe, Geita walisimama barabarani kumuangalia Mgombea wa Urais Kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli aliyekuwa anapita kuelekea Bukoba kwenye mkutano wake wa Kampeni Dkt. Magufuli aliwataka watoto hao wasome kwa bidii kwa kuwa wao ndio marais na mawaziri wajao. Pia aliwaambia kuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Wazazi/walezi tuna-fail wapi?

    Baada ya ajali ya moto uliochoma shule Kagera jana kuua watoto 10 na kujeruhi 7 wa kati ya miaka 6 - 10 🙁🙁 (May their little souls Rest in Heaven 👼👼) Naomba kuwauliza wanajamii wenzangu, je ni wakati gani kama mzazi/mlezi unaweza sema "It can't be helped. Mtoto NI LAZIMA aende boarding...
  8. JamiiForums Tanzania Kagera: Watoto 10 wamefariki na 6 kujeruhiwa baada ya shule Msingi Islamic Byamungu kuwaka moto

    Watoto 10 wamefariki na sita kujeruhiwa vibaya kufuatia moto ulioteketeza bweni la wavulana shule ya Msingi Islamic Byamungu iliyopo Kyerwa Mkoani Kagera. Hadi sasa chanzo moto huo hakijajulikana. Watoto waliopoteza maisha ni wa umri wa miaka sita hadi 12. Taarifa zaidi inakuja... ====...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Azam Tv: sipati Trace Mziki na channels zote za watoto

    Mada hapo juu, tangu kuhama kwa satellite ya eutelsat 7b kwenda 7c nimepoteza channel ya Trace Mziki na zote za nickelodeon, baby tv, mbc3 nk, msaada pliz
  10. JamiiForums Tanzania Nigeria Jimbo la Kaduna lapitisha sheria ya kuwahasi wabakaji na walawiti wa watoto

    Jimbo la Kaduna lapitisha sheria ya kuhasi wabakaji wa watoto wa chini ya miaka 14 Kumekuwa na maandamano na ghadhabu nchini Nigeria miezi ya hivi karibuni kutokana na ongezeko la vitendo vya ubakaji Wabunge katika jimbo la Kaduna nchini Nigeria wamepitisha adhabu ya kuwahasi wale wataokutwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Ubunge wa Mbeya Mjini, Tulia Ackson afanya kampeni na watoto wadogo

    Katika hali ya kushangaza, wanasiasa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wameanza kufanya siasa za ajabu sana kwenye uchaguzi mkuu huu. Wameanza kutumia watoto wadogo kisiasa. Watoto ambao walihitaji kulindwa na serikali dhidi ya kushiriki matendo wasiyokuwa na ufahamu nayo kama vile siasa za kampeni...
  12. JamiiForums Tanzania Mahudhurio ya watoto kwenye mkutano wa Rais Magufuli Jijini Mwanza maana yake nini?

  13. JamiiForums Tanzania Takwimu: idadi ya wanafunzi ni kubwa kuliko walimu. Elimu ya bure haiwaandai watoto kuelewa bali kumaliza shule

  14. JamiiForums Tanzania Watoto 70,000 wanakabiliwa kufa njaa Afrika

    Shirika la kimataifa linalohusika na watoto la Save the Children, linaonya kwamba watoto 70,000 katika eneo la Jangwa la Sahara wanakabiliwa na tisho la kufariki kutokana na njaa kabla ya mwisho wa mwaka huu . Shirika hilo pia Linasema janga la Covid-19 limezifanya baadhi ya familia kushindwa...
  15. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Yanga wadanganywa tena kama watoto

    Baada ya hizi habari Yanga imefuta post zoote zilizozungumzia usajili wa huyu jamaa
  16. JamiiForums Tanzania Strength Of A Woman: Kutana na mhudumu wa ndege ya Pan Am Flight 73 aliyepigwa risasi mgongoni akiwa amewakumbatia watoto 3 na passports 41 za U.S.A

    Strength Of A Woman: Kutana na mhudumu wa ndege ya Pan Am Flight 73 aliyepigwa risasi mgongoni akiwa amewakumbatia watoto 3 na passports 41 za U.S.A Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali yaagiza Halmashauri Nchini kujenga vituo vya kupumzikia watoto sokoni

    Serikali yaagiza halmashauri nchini kujenga vituo vya kupumzikia watoto sokoni SERIKALI imeziagiza halmashauri nchini kujenga vituo vya kupumzikia watoto katika masoko yote ili kuwaondolea adha wanawake ya kunyonyesha wakati wakifanya biashara zao. Agizo hilo linakuja ikiwa halmashauri ya Jiji...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Sehemu nzuri ninayoweza fanya biashara ya mitumba ya watoto Mbeya tofauti na Kabwe

    Habari wakuu naomba ushauri nataka kufungua biashara ya kuuza mitumba ya watoto mkoani Mbeya na sehemu nzuri ambayo ina mitumba mingi Ni kabwe Ila changamoto ni upatikanaji wa frame au meza kwa eneo hilo. Kwa wazoefu wa hii biashara mbeya je eneo gani lingine naweza fanya hii biashara kwa hapa...
  19. JamiiForums Tanzania Msanii kutoka Hong Kong, ndugu Jackie Chan apanga kutoacha urithi kwa watoto wake. Je, maamuzi haya magumu yanatuma ujumbe gani kwa wazazi wa Afrika?

    Je, maamuzi haya magumu yanatuma ujumbe gani kwa wazazi wa Tanzania? Kuwa mtoto wa nyota wa sinema wa kimataifa kama Jackie Chan ni dhahiri kwamba huja na marupurupu mengi na faida. Mtoto wa Jackie Chan, aliyekuwa na umri wa miaka 33 kwa wakati ule anayeitwa Jaycee, aliishi maisha yaliyojaa...
  20. JamiiForums Tanzania Ufaransa yapiga marufuku matumizi ya simu kwa watoto katika shule

    Ufaransa yapiga marufuku matumizi ya simu janja ' Smart Phones ', tablet na saa janja ' Smart Watches kwa watoto chini ya miaka 15 katika shule. Serikali ya taifa imekuwa ikitilia shaka uwezo wa wanafunzi kwa maana ya kutegemea vifaa hivi katika masomo yao pia ikionekana kama chagizo la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…