watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Wanajukwaa poleni na misukosuko ya kujibadili kutoka kuwa walaji wa Mwisho kuelekea nchi ya Viwanda. Uwanja huu ni maalumu kama ule wa Safari za nje za Jakaya kikwete ila huu ni mahususi kukusanya mambo mazuri ya Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli juu ya maendeleo yetu hasahasa kauli yake kuu...
  2. JamiiForums Tanzania DC wa Temeke, Godwin Gondwe hayuko sahihi katika kufukuza wanafunzi, watu wa haki za watoto na Haki Elimu nategemea sauti yenu katika hili

    Gazeti la Mwananchi liliripoti kuwa shida ya Shule ya Msingi Toangoma ni uchache wa madrasa na wingi wa wanafunzi ambao automatically inakuwa ngumu kwa walimu kudhibiti tabia za wanafunzi. Since tatizo ni wingi wa wanafunzi kwa upande mmoja ambapo, mwanafunzi sio mkosaji in the first place...
  3. JamiiForums Tanzania Jitahidi sana usiwe sehemu/sababu ya ndoa za rafiki zako kuvunjika

    Habari zenu waungwana wa humu JamiiForums. Jamani nyie waungwana, katika haya maisha jitahidi sana usiwe sehemu/sababu ya ndoa za rafiki zako kuvunjika. Hivi utasijikiaje ukiwaona watoto wanazurura mitaani baada ya wazazi wao kuachana kwa sababu ya uchonganishi wako? Kama ndoa inavunjika...
  4. JamiiForums Tanzania Kanisa la Shetani laipeleka Serikali ya Texas Mahakamani kwa kuzuia haki yake ya kutoa kafara Watoto wachanga

    Tukisema tunaambiwa tunayo-andika ni conspiracy theories.Kama watu wanaweza bila aibu na woga kwenda mahakamami kutetea eti "haki yao ya kutoa watoto wachanga kafara," kuna jambo ambalo hawawezi kufanya kweli?Mimi naamini hakuna.Kiranga Yoda na wengine mnao-tetea kazi za Shetani, njoni msome...
  5. JamiiForums Tanzania Wanaume futeni hii aibu ya kukataa Watoto, this is too much

    Wanaume wanaowapa Mimba then wanakimbia huu ni Ushamba. Huku mtaani mnatusababishia Matatizo, mpaka aibu Wanawake wanavyokula msoto. Iwe msoto ,changamoto Rijali akatai Mtoto. Everyone should carry it Burden
  6. JamiiForums Tanzania TANZIA Dkt. Hassan Doulla, Daktari bingwa wa watoto Hospitali ya Dkt. Massawe afariki dunia

    Dkt. Hassan Doulla, ambaye ni Daktari Bingwa wa magonjwa ya watoto amefariki dunia. Kwa wale wazazi wenzangu wakaazi wa Dar es Salaam bila shaka mlipata kufika au kushauriwa kufika kwenye Hospitali ua Dkt. Massawe ili kupata huduma, bila shaka mnamkumbuka Dkt. Doulla(Dulla) kwa ushauri wake...
  7. JamiiForums Tanzania Aeleza walivyokubaliana na mume wake kutafuta watoto nje ya ndoa

    Dar es Salaam. Mkazi wa Tabata Liwiti, Magreth Silaeli (37) ameieleza Mahakama ya Mwanzo Buguruni kuwa walikubaliana na mume wake, Raymond Kulaya (44), waachane kwa muda ili kila mtu akatafute watoto “anapopajua” baada ya kuishi miaka mitano bila kupata mtoto. Magreth sasa anaiomba mahakama...
  8. JamiiForums Tanzania Wanawake Shinyanga walalamikia watoto wasio na bima kukosa matibabu

    BAADHI ya wanawake wenye watoto chini ya miaka mitano wilayani Shinyanga, Mkoani Shinyanga, wasio na bima ya afya ya CHF, wamelalamika kunyimwa matibabu ya watoto wao kwa kukosa kadi hizo. Wamepaza kilio hicho kwa nyakati tofauti kwenye sherehe wanawake wilayani Shinyanga iliyokuwa na lengo la...
  9. JamiiForums Tanzania UNICEF: Athari za COVID19 kuongeza ndoa za Watoto zaidi ya Milioni 10 ndani ya muongo

    Athari kubwa za janga la Covid-19 kwa wanawake katika baadhi ya mataifa huenda zikasababisha ndoa milioni 10 zaidi za watoto katika muongo huu, kwa mujibu wa tathmini iliyotolewa na UNICEF Jumatatu. "Kufungwa kwa shule, msongo wa kiuchumi, kuvurugwa kwa huduma na vifo vya wazazi kutokana na...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Arusha: Watoto 104,000 wachanjwa chanjo ya kichocho na minyoo

    Jumla ya watoto 104,000 wenye umri kati ya miaka 5 hadi 14 wamechanjwa Chanjo ya kichocho na minyoo mkoani Arusha. Source Upendo tv Maendeleo hayana vyama!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hatari ya barakoa used kwa Watoto

    Habarini za usiku huu wakulungwa, ni mwenyeji JF tangu 2016 lakini huu ndo uzi wangu wa kwanza. Kama somo tajwa la hapo juu, naiona hatari kwa Barakoa zilizotumika na zinavyotupwa hovyo na kuzagaa mitaani. Kwa watoto hasa wanafunzi darasa la kwanza hadi la tatu wale wa day na wengineo wa rika...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Usalama wa Watoto kwenye vyombo vya usafiri

    Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani(WHO) Utumiaji wa viti maalumu vya watoto katika vyombo vya usafiri unaokoa maisha ya mtoto pindi ajali inapotokea kwa asilimia 75% Viti hivi vina nyenzo muhimu kwa ajili ya kulinda Usalama wa Mtoto anapokuwa kwenye gari kwasababu viti kawaida vya magari...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira au kazi yoyote maalum ya kuingiza kipato

    Habari zenu waheshimiwa! Binafsi ni muhitimu wa ngazi ya shahada ya kwanza katika nyanja ya uhandisi migodi na uchenjuaji. Ninaomba msaada kwa yeyote mwenye connection ya kazi nyanja yoyote anisaidie. Nina uzoefu katika usimamiaji wa crusher na plant kama production supervisor katika kiwanda...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutunza Watoto Njiti katika chumba maalum

    Kuhakikisha ngozi ya mtoto inakuwa imegusana na ngozi ya mama ( skin to skin contact/ kangaroo mother care). Hapa mama anashauriwa kumbeba mtoto kwa kumgusisha katk ngozi ya mama uda mwingi ili kumkinga mtoto kupoteza joto. Ii/Kumfunika mtoto kwa nguo nzito iliasipoteze joto. Nguo hizo lazima...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Watoto acheni mambo ya nani kama mama, wababa tunateseka sana kwa ajili yenu

    Huwa nashangaa sana unakuta Toto linapost huko eti nani kama mama! Sikatai mama ana umuhimu wake ila na wababa wanahusika pia sana kwenye malezi ya mtoto . Au sababu huwa hatukai na watoto muda mwingi? Leo kuna jamaa kapita kwenye lami amepakia magunia 3 kama sikosei kaka kwenye tenki la...
  16. JamiiForums Tanzania Ripoti: Simu za rununu huongeza hatari ya kupata Saratani hasa kwa Watoto na Vijana Duniani

    Imeripotiwa kuwa mawimbi ya umeme yanaweza kuongeza hatari ya saratani, haswa kwa watoto na vijana. Kila mwaka, zaidi ya watoto 400,000 na vijana chini ya umri wa miaka 20 hugunduliwa na saratani ulimwenguni. Kiwango cha kuishi kwa watoto walio na saratani kinashuka kutoka karibu asilimia 80...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Navutiwa na wanawake watu wazima

    Mambo vipi wadau Mimi kijana wa makamo 23 years Nina aleji ya kupenda wanawake watu wazima hususani walio single kuanzia 40 na kuendelea Wengi wao huwa wananikata haja zangu haraka nanikishafanya nao mapenzi basi nalizika tofauti na vibinti vya umri wangu kuna mmoja nilimpenda hadi nikawa...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Sikuabliani na Magufuli kuhusu somo la Historia. Kama ni Uzalendo, watoto watajifunza kwenye somo la URAIA

    Lengo kubwa la somo la historia ni kumfanya mwanadamu ajifunze yaliyopita ulimwenguni kote (siyo Tanzania tu) na hivyo kumwepusha kurudia makosa ya huko nyuma. Na wala siyo kufundisha uzalendo. BTW, nani kamdanganya JPM kuwa uzalendo unafundishwa darasani? Uzalendo maana yake ni upendo wa raia...
  19. JamiiForums Tanzania Kivuli cha wazee wazalendo kinapowafunika na kuwaziba watoto na wajukuu: Historia ya Kleist Abdu Sykes (1950 - 2017) & Bakari H Mwapachu (1939 - 2021)

    KIVULI CHA WAZEE WAZALENDO KINAPOWAFUNIKA NA KUWAZIBA WATOTO NA WAJUKUU: HISTORIA YA KLEIST ABDULWAHID SYKES (1950 - 2017) NA BAKARI HARITH MWAPACHU (1939 - 2021) Jana baada ya kifo cha Bakari Harith Mwapachu niliombwa niandike taazia yake. Nami nikajibu kuwa sikuwa namfahamu marehemu kwa...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Tunavyoishi ni kama watoto wa bata

    Bata kama Bata pamoja na uhodari wake wa kupigana na kunguru/ nyoka na viumbe wengine, anatajwa kuwa ndiye kiumbe anayelea watoto kwa mtindo wa aina yake. Kawaida Mzazi ndiye humuongoza mtoto lakini kwa bata nikinyume chake. Malezi ya bata ni ya kipuuzi sana ambapo Watoto ndiyo humuongoza mzazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…