watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Sababu ya mwanamke kuzaa watoto zaidi ya watatu kwa wakati mmoja yatajwa

    Mwanamke wa Afrika Kusini , Gosiame Thamara Sithole amejifungua watoto 10 na kuvunja rekodi ya kuzaa watoto wengi. Mara nyingi huwa ni matokeo ya kufanya tiba ya uzazi - lakini wapenzi hawa wanasema wao walitumia njia ya asili kupata mimba. Teboho Tsotetsi, mume wa mwanamke huyo mwenye miaka 37...
  2. JamiiForums Tanzania Muwaache wanafunzi waliorudi likizo, msiwarubuni kimapenzi

    Wakuu poleni na majukumu ya siku ya leo. Nimekuwa nikifatilia mienendo ya wanafunzi wetu pindi wanapokuwa likizo nikajiridhisha kuwa watoto wengi wanaingizwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na wanaume wasio waadilifu. Kipindi hiki kuna wanafunzi waliomaliza Kidato cha Sita mtaani, wapo waliomaliza...
  3. JamiiForums Tanzania Kero: Jamii inatusema vibaya watoto wa maboss

    Kero yangu ni juu ya kusengenywa sisi ambao tumejikuta tumezaliwa katika familia zilizofanikiwa. Mtu yupo na mwenzake kitaa wanamsema mtoto wa kishua fulani eti kwamba ana maisha lakini hajui kuyatumia. Tena wanasema kabisa kwamba hizo nafasi wangebahatisha wao eti wangekuwa wameshatoboa...
  4. JamiiForums Tanzania Dodoma: Serikali kuzindua Makao Makuu ya kitaifa ya watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi

    Kuelekea Siku ya Mtoto wa Afrika, Serikali inatarajia kuzindua Makao ya Taifa ya Malezi na Makuzi ya Watoto yaliyojengwa katika Kata ya Kikombo, jijini Dodoma. Akizungumza leo na Waandishi wa Habari jijini Dodoma, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia ,Wazee na Watoto, Dkt Dorothy Gwajima...
  5. JamiiForums Tanzania NGORONGOJO: Usafiri wa watoto mkoani Kigoma

    Ngorongojo ni usafiri uliokuwa ukitumika enzi za nyuma na hadi hivi sasa hapa mkoani Kigoma. Ngorongojo huundwa kwa miti migumu, hivyo mchakato wake wa utengenezaji unaanzia maporini ambapo ni lazima kwenda kutafuta miti migumu kwenye mapori. Ngorongojo ina mpini "kishikio" ambapo hutegemea...
  6. JamiiForums Tanzania Watoto ni chanzo kizuri sana cha taarifa. Unapokuwa kazini wao wanazurura mitaani

    Good afternoon jamiiforums Hivi unafahamu ya kwamba watoto wadogo hao unaowaona kama bado hawaijui dunia vema wanaweza kuwa wanajua mambo mengi sana yanayoendelea mitaani kuliko watu wazima? Wakati wewe upo kazini, watoto hawa wanazurura mitaani hivyo wanakutana na mambo mengi sana. Ukiwa...
  7. L

    JamiiForums Tanzania China yalegeza sera ya uzazi wa mpango na kuruhusu wanandoa kuwa na watoto watatu

    Hivi karibuni, China ililegeza zaidi sera yake ya uzazi wa mpango, na kutangaza kuunga mkono wanandoa wanaopenda kupata mtoto wa tatu. China ni nchi inayoongoza duniani kwa idadi kubwa ya watu, lakini pia ni nchi inayoongoza kwa idadi kubwa ya wazee. Matokeo ya Sensa ya saba ya watu nchini...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Shule Binafsi ziheshimu likizo za watoto wetu

    Imekuwa ni kawaida kwa watoto wanasoma Shule za Binafsi kuwabebesha watoto mafurushi ya kazi za kufanya wakiwa likizo almaarufu Kama HOLIDAY PACKAGES na wakati mwingine watoto wanaendelea kwenda shuleni wakati wa likizo kwa kile kinachoitwa HOLIDAY COACHING. Sasa hizi ni likizo? Likizo...
  9. JamiiForums Tanzania Je, kwa mshahara wa Shilingi 310,000 unaweza kuishi Dar es Salaam?

    Habari wadau! Ebu nisaidieni hivi kweli 310,000/= inatosha mtu kufanya kazi na kuishi DAR au unatakiwa kuwa na miundombinu mingine?
  10. JamiiForums Tanzania Aina nne za malezi na athari zake kwa watoto

    Malezi ya watoto ni elimu muhimu yenye ukurasa unaojitengemea. Tumekuwa na kujifunza darasani maada nyingi na muhimu katika maisha yetu, bahati mbaya ni kuwa suala la malezi ya watoto, ambalo kwa kiasi kikubwa wengi wetu laazima tupitie hatua hii limekuwa likiachwa nyuma, na sasa mtazamo binafsi...
  11. JamiiForums Tanzania Eti watoto wangu watakuwa wamefanya makosa?

    Ndugu zangu za usiku huu nimekosa usingizi, kisa watoto wangu na dada wakazi wamekula kichani cha ndizi kilichodondoka juu ya bati letu. Kisa kilianza hivi kuna mmama mmoja nilitoka kumwambia ndizi zake ache kulemezea kwangu akakataa, sasa kuna ndizi moja ililemea ukuta wangu nikamueleza...
  12. JamiiForums Tanzania Jihadhari na 'usanii' huu wanaoutumia watoto wa shule za msingi kujipatia pesa toka kwa watu wazima

    Katika Kuonyesha kuwa Watoto wa Kizazi cha akina Kikwete na Magufuli huenda wakawa ni Werevu kuliko Kizazi chetu cha akina Nyerere na Mwinyi wameanza kuwa ' Wabunifu ' katika Kujipatia Pesa kwa ' Style ' ya Kipekee kabisa. Wanajikusanya Watoto kama Watano (5) hivi kisha wanakaa katika njia...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Gharama za kuwapeleka watoto JKT ni mzigo mkubwa kwa wazazi

    Nimetafakari gharama wanazoziingia wazazi kuwapeleka watoto ex form six JKT. Ni kubwa na mzigo usio na sababu ya msingi kwa wazazi masikini. Si chini ya laki mbili (200,000 Ths) kwa uchache. Hizi ni hela nyingi kwa mzazi wa vipato vya chini huko vijijini anaye-strugle kupata ada ya shule za...
  14. JamiiForums Tanzania Watoto wafundishwe masomo kwa kiingereza toka wanapoanza nursery school

    Wasalaam wakuu Hivi ni kwanini watoto wetu wasifundishwe masomo kwa kiingereza toka wanapoanza nursery? Huu mfumo wa kuwafundisha kwa kiswahili mpaka la saba halafu waanze tena kufundishwa kwa kiingereza kuanzia form one ni mgumu mno Mtoto akifundishwa kwa kiingereza tokea nursery school...
  15. JamiiForums Tanzania Vituko vya watoto na ripoti za matokeo

    .
  16. JamiiForums Tanzania Kipato cha milioni moja kwa mwezi life style gani ya kuishi na kipi kifanyike uweze kufika mbele zaidi kiuchumi ushauri

    Habari za jioni Wadau, Wakubwa shikamooni. Natumaini nipo jukwaa sahihi kabisa kama nimekosea naomba iamishwe jukwaa. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Natumaini kuna watu waliopita kwenye stage hiyo wakafika mbali zaidi. Kwa kipato cha milioni moja kwa mwezi unawezaje kujipanga...
  17. JamiiForums Tanzania Michezo ya bonanza(Dubwika) imekuwa mingi mitaani watoto wanaathirika, serikali iangalie hilo

    Mchezo ya Mchina, maarufu kama dubwika iko mingi sana mitaani kutokana na namna yetu ya maisha inawaathiri watoto kwa kiasi kikubwa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Januari 23, 2019 iliamuru kutokuwa na matangazo ya kwenye redio na tv kwa michezo ya kubahatisha ambayo walilenga michezo ya biko na...
  18. JamiiForums Tanzania China yakomesha sera ya watu kuwa na watoto wawili pekee

    China sasa imewaruhusu watu kuwa na hadi watoto watatu baada ya kupungua kwa kiwango cha watoto wanaozaliwa nchini humo.Hatua hiyo ni mabadiliko makubwa ya kisera kwa serikali ya nchi hiyo. Shirika la habari linalomilikiwa na serikali Xinhua, limesema uamuzi huo ulitangazwa siku ya Jumatatu...
  19. JamiiForums Tanzania Wasanii wa kike wa Bongo Fleva ambao walitamba kisha wakatoweka

    Lady Jaydee ndiye gwiji wa Bongofleva kwa upande wa kinadada. Ana miaka 21 katika hii gemu tangu alipoachia wimbo wake wa Machozi mwaka 2000. Amewezaje kudumu katika gemu kwa miaka yote hiyo wakati kuna Wasanii wa kike kibao ambao walimkuta akiwa juu na wamefutika akiwa juu? Hili ni swali...
  20. JamiiForums Tanzania EU: Chanjo ya Pfizer yaidhinishwa kwa watoto wa miaka 12 hadi 15

    Shirika la Dawa Ulaya (EMA) limeidhinisha Chanjo ya Pfizer-BioNTech kwa Watoto wa miaka 12-15 ambapo Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya (EU) zitaamua ikiwa zitaitoa kwa kundi hilo Imeelezwa, majaribio yameonesha Chanjo kwa kiasi kikubwa inadhibiti maambukizi ya COVID19. Pfizer iliidhinishwa kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…