watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu na TAMISEMI, ni sawa Wanafunzi Shule za Serikali kuambiwa waende na dissecting kit na vitabu vya tahasusi?

    1. Mwanangu amechaguliwa kuendelea na masomo ya kidato cha tano na sita (F. V & VI) mwaka huu 2021 Shule ya Sekondari Nyantakara katika tahususi (Combination) ya Chemistry, Biology & Geography (CBG) iliyoko wilaya ya Biharamulo mkoa wa Kagera. Hii ni shule ya serikali ya Tanzania. 2. Licha ya...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi vitu wanavyovalishwa Watoto Wachanga wa Kiafrika mikononi, viunoni na miguuni mbona navitafuta kwa wa Kizungu sivioni?

    Kuna Mama Mmoja nilimkuta Kamvalisha Mwanae na nilipojaribu Kumuelimisha kwa Kumuambia kuwa huo ni 'Upuuzi' na kutaka Kumvua alinitishia kuwa nikithubutu tu nakuwa Chura Maji muda huo huo nikasalimu Amri. Nashukuru Mungu sikuvalishwa kabisa.
  3. JamiiForums Tanzania Mama na watoto wake

    Unaruhusiwa kufuga mbuni nyumbani au ni nyara za serikali?
  4. JamiiForums Tanzania Hatimaye ndoa yangu imevunjika

    Asalaam, Ndoa yangu ilikuwa nzuri saana kwasababu tulianza tukiwa vijana wadogo maskini, kutokana na hivyo tuli inspire vijana wengi na ndoa nyingi kusimamia. Tuka barikiwa watoto wazuri. Mungu alitubariki na unafuu wa maisha wa kupata tunachokita kwa level ya maisha ya kawaida. Basi ghafla...
  5. JamiiForums Tanzania Mulugo: Mwaka Kesho Serikali itashindwa kuwapeleka watoto Sekondari

    Naibu Waziri wa zamani wa Elimu na Mbunge wa Songwe, Philip Mulugo leo Bungeni amesema mwaka kesho serikali itashindwa kuwapeleka watoto Form one kwenye shule za serikali kwasababu mpango wa elimu bure ulianza miaka sita iliyopita hivyo watoto waliopo leo darasa la sita ni takribani 1.8 milioni...
  6. JamiiForums Tanzania Watoto wa Kiafrika wamekuwa wakiaminishwa kuwa mahusiano ni kama kosa na ni kitu cha siri

    Watoto wengi wakiafrika wamekuwa wakiamini kuwa mwenye mahusiano ni kama kosa na ni kitu kinacho takiwa kufanywa kama siri .Nadhani wazizi wengi wengi wamechangia kufanya watoto wawe hivyo ukali na kutojari hisia za watoto toka wadogo . Lakini tofauti na wenzetu wazungu mtoto toka mdogo amekuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Dhambi ipi inakutesa huweezi kuiacha

    Uzinzi/kuchepuka Uuaji Kujichua Utapeli Wizi Kutamani mke wa jirani yakoo Ulevi Uongo Ufiisadi Na mengine.kama hayooo Comt 0753 466675 past mzuri sana haitaji hela yakyako imwone Mungu
  8. A

    JamiiForums Tanzania Wakuu, ninahitaji msaada wa kitabibu hasa daktari wa watoto

    Habari za asubuhi wadau wa Afya, natumaini mko salama. Niende straight kwenye mada. Mwanangu wa kike anaumri wa miezi mi4, sasa takribani mwezi na wiki2 zilizopita alitokewa na vipele kama vi4 chini ya kwapa kuelekea mgongoni. Vipele hivyo ni kama vimevujia damu na chaajabu havimuumi ila kama...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Siku ya Mtoto wa Afrika: Athari za Covid-19 kwa watoto

    Mwaka 1991, Jumuiya ya Nchi Huru za Afrika (AOU) ambayo sasa inajulikana kama Umoja wa Afrika (AO), ilitangaza Juni 16 kila mwaka kuwa Siku ya Mtoto wa Afrika, ikiwa ni kumbukumbu ya mauaji ya Soweto, nchini Afrika Kusini Juni 16, 1976 ambapo polisi waliwashambulia kwa risasi wanafunzi waliokuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Usalama wa Watoto Mitandaoni: Hatua ambazo Mzazi anaweza kuchukua

    Kumfundisha Mtoto kuhusu hatari za Mtandaoni anazoweza kukumbana nazo pamoja na namna ya kuziepuka au kuziripoti ni moja kati ya hatua muhimu kuhakikisha usalama wake Angalia historia ya kile mtoto anatafuta mtandaoni mara kwa mara. Pia inashauriwa kuweka kifaa anachotumia sehemu ya wazi ili...
  11. JamiiForums Tanzania Enzi tunavaa magome ya miti watoto walitunzwaje?

    Mpaka mtoto afikishe miaka miwili + ndiyo anaweza kutambua kuwa anahitaji haja kubwa au ndogo hapa ndipo anafundishwa kujistiri. Enzi tuna vaa magome ya miti watoto walitunzwaje ili kinyesi kisitapakae? Hali kadhalika babu zetu walihimili vipi baridi bila kuwa na mavazi?
  12. JamiiForums Tanzania Siku hizi kubambikiwa ujauzito imekuwa kawaida

    Mshikaji alikuwa na mwanamke kwa muda kama mwaka hivi. Mwanamke anaenda analala na kusepa asubuh kwa mama yake Yule dada wengi walikuwa wanajua tabia zake za kurukaruka. Wengi walikuwa wanasema kuwa huko mtaani kwao watu kibao walikuwa wanajilia kama utani (kuna washikaji zangu wana camp flan...
  13. JamiiForums Tanzania Teknolojia: Wazazi wanawalinda Watoto ipasavyo mitandaoni?

    Mitandao inaweza kwa mizuri kwa watoto katika masuala mbalimbali ikiwemo ya Shule, lakini inakuja na hatari mbalimbali ikiwemo uonevu wa mitandaoni (Cyberbullying) Wazazi wanapaswa kufahamu kile Watoto wanaona na kusikia mitandaoni, watu wanaokutana nao pamoja na taarifa ambazo Watoto wanazitoa...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi vitabu wanavyotumia watoto wetu ni tatizo sana

    Nilikuwa namfundisha mtoto wa sister mara nikafika kwenye jedwali hilo hapo chini, Sasa kila nikitafuta majibu naona chenga,dah sijui ni mimi kilaza au kitabu ndio kina shida? Kama kitabu ndio kina shida kwanini hivi vitabu vipo mashuleni?
  15. JamiiForums Tanzania Mama mkwe anang'ata watoto hadi watoke damu

    Hotep Hotep Wakushi wote humu ndani. Ni natumaini YANGU kuwa mu buheri wa siha muruwa kabisa. Ama baada ya salaam amazing, dhumuni la waraka huu ni kuwashirikisha kisa cha Mama mkwe wangu na tabia yake ya ajabu awaadhibupo wajukuu zake. Nimekuja na watoto ukweni, Nyanda za Juu Kusini...
  16. JamiiForums Tanzania Hongera JamiiForums, Sauti yenu Imefika Wizara ya Elimu kuhusu Watoto kutokufunga Shule Likizo

    Nimefurahi sana baada ya malalamiko yaliyotolewa hapa kuhusu Wanafunzi kutokufunga shule wakati wa Likizo. Nimeona barua ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kitengo cha Udhibiti Ubora wakizataka shule hizo kutoa maelezo kwa nini hawakufunga shule. Nikiwa kama Mwalimu kitaaluma naungana...
  17. JamiiForums Tanzania Ni kwanini Watoto waliozaliwa Awamu za Kikwete na Magufuli wana Majibu ya Kukusababishia ukaishi Gerezani Segerea milele?

    Mtoto unamuhangaikia Kumsomesha Usiku na Mchana halafu unamuuliza unataka kuwa nani baadae anakujibu anataka kuwa Mpiga Debe Msamvu Bus Terminal. Huyu huyu Mtoto ukipiga na ukamvunja vunja na Kumuharibu kwa Hasira Serikali ya Mama Samia haitakuelewa na labda hata Kukusamehe isikushtaki? Halafu...
  18. JamiiForums Tanzania Sababu ya mwanamke kuzaa watoto zaidi ya watatu kwa wakati mmoja yatajwa

    Mwanamke wa Afrika Kusini , Gosiame Thamara Sithole amejifungua watoto 10 na kuvunja rekodi ya kuzaa watoto wengi. Mara nyingi huwa ni matokeo ya kufanya tiba ya uzazi - lakini wapenzi hawa wanasema wao walitumia njia ya asili kupata mimba. Teboho Tsotetsi, mume wa mwanamke huyo mwenye miaka 37...
  19. JamiiForums Tanzania Muwaache wanafunzi waliorudi likizo, msiwarubuni kimapenzi

    Wakuu poleni na majukumu ya siku ya leo. Nimekuwa nikifatilia mienendo ya wanafunzi wetu pindi wanapokuwa likizo nikajiridhisha kuwa watoto wengi wanaingizwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na wanaume wasio waadilifu. Kipindi hiki kuna wanafunzi waliomaliza Kidato cha Sita mtaani, wapo waliomaliza...
  20. JamiiForums Tanzania Kero: Jamii inatusema vibaya watoto wa maboss

    Kero yangu ni juu ya kusengenywa sisi ambao tumejikuta tumezaliwa katika familia zilizofanikiwa. Mtu yupo na mwenzake kitaa wanamsema mtoto wa kishua fulani eti kwamba ana maisha lakini hajui kuyatumia. Tena wanasema kabisa kwamba hizo nafasi wangebahatisha wao eti wangekuwa wameshatoboa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…