Wenye 'Mahausigeli' muwe mnafanya 'impromptu visits' Makwenu, kwani yanayoendelea kwa Watoto wenu mkiwa hampo ni makubwa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
42,992
2,000
Kuna 'Hausigeli' Mmoja 'Kanikera' sana Asubuhi hii yaani Bosi zake wameondoka tokea Saa 1 nae katoka kwenda 'Kukazwa' na Dereva 'Bodaboda' na kamuacha Mtoto peke yake Nyumbani analia tu muda wote, hajala chochote na hajamvalisha Kitu huku akijua sasa Dar es Salaam kuna Baridi Kali.

Katika 'Kumsaka' Kwangu 'nikamfuma' kwa Dereva 'Bodaboda' akiwa 'anakazwa' Kibarazani ambapo kuna Hatua za 'Kimafia' zimezichukua dhidi ya huyu 'Hausigeli' na najua hatonisahau Maishani mwake na kuanzia leo atabadilika na kuwa na Nidhamu kwa Mtoto huyo na kwa 'Mabosi' zake.

Na hatua niliyoichukua kwa Dereva 'Bodaboda' ili nimsamehe na yaishe ni Kuamua Kuchukua Pikipiki yake na sasa najiandaa Kuzunguka nayo (kwa Mtindo wa Bea Bea) kutafuta Vichwa (Wateja) na kumwambia nitamrudishia Pikipiki yake pale tu nikifikisha Tsh 100,000/= isipofika simrudishii leo.

Na kilichonipandisha Hasira zaidi kwa huyu Dogo Dereva'Bodaboda' ni kwamba alikuwa 'anakaza" Yule 'Hausigeli' wa Watu 'kavukavu' kabisa wakati anajua 'Condoms' zipo Dukani na zinahitaji Kununuliwa ili Uchumi uzidi Kukua Tanzania.

Hata hivyo Mtoto aliyeachwa na 'Hausigeli' Mpuuzi huyu nilimchukua na kwenda nae Kwangu ambapo niliamua Kumpikia Uji na Kumpa anywe ili kutoa Njaa, nikamaliza na Kuchemsha Maji ya Moto na Kumuogesha kisha Kumlaza Ghetoni Kwangu na Blanketi langu lililozeeka na amelala.

Dada wa Kazi (Hausigeli) huyu ambaye nimeshampa Adhabu ya Kishalubela (Kikatili) nimemwambia nazunguka na Pikipiki ya hiki 'Kibwana' chake na ajifkirie atanipa nini cha Kupunguza Hasira zangu kwa Uzembe wake usiovumilika alioufanya kwa Mtoto ili Huruma ya Roho Mtakatifu iniingie GENTAMYCINE na nisimsemee kwa Mabosi zake ambao Mume ni Mmasai na Mke ni Mmachame ambao najua nikimsemea Kwao basi Safari yake (huyu Hausigeli) ya Kuyaanza Maisha yake 'Mortuary' naiona kwa 'Kipigo' ambacho atakipata.

Tafadhali wenye 'Mahausigeli' jengeni tabia ya kurudi Makwenu kwa Kushtukiza au wekeni Camera Kwenu ili muwe mnajionea Mauzauza (Upuuzi) wa hawa Dada wa Kazi kwa Watoto wenu (hasa Wadogo) ambao huwa mnawaachia Kuwatunzieni.
 

goroko77

JF-Expert Member
Jul 9, 2019
1,225
2,000
Ni kweli wafanye hvyi kwa kuwa ata mm wakt fln nilikuww nachakata beki tatu wa watu ila ilikuwa lazma aniite mabos zake wakizepa. Na wanaondoaka saa kumi na mbili asbh nakurejee saa tano usku kwa kitupi nilikuwa Kama mtawala wa pale kwani nilikula Cha mchana na cha usku hvyo uchakataji ukiendelea.
 

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
42,992
2,000
Ni kweli wafanye hvyi kwa kuwa ata mm wakt fln nilikuww nachakata beki tatu wa watu ila ilikuwa lazma aniite mabos zake wakizepa. Na wanaondoaka saa kumi na mbili asbh nakurejee saa tano usku kwa kitupi nilikuwa Kama mtawala wa pale kwani nilikula Cha mchana na cha usku hvyo uchakataji ukiendelea
Kumbe 'Team Kukaza Mahausigeli' ni wengi!
 

adden

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
6,226
2,000
Ni kweli wafanye hvyi kwa kuwa ata mm wakt fln nilikuww nachakata beki tatu wa watu ila ilikuwa lazma aniite mabos zake wakizepa. Na wanaondoaka saa kumi na mbili asbh nakurejee saa tano usku kwa kitupi nilikuwa Kama mtawala wa pale kwani nilikula Cha mchana na cha usku hvyo uchakataji ukiendelea
Ulipata klachi ya kutosha, unapiga diko ukimaliza unakula mzigo.maisha ukiyapatia klachi ni matamu sana.
 

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
4,295
2,000
Ni kweli wafanye hvyi kwa kuwa ata mm wakt fln nilikuww nachakata beki tatu wa watu ila ilikuwa lazma aniite mabos zake wakizepa. Na wanaondoaka saa kumi na mbili asbh nakurejee saa tano usku kwa kitupi nilikuwa Kama mtawala wa pale kwani nilikula Cha mchana na cha usku hvyo uchakataji ukiendelea
Ipo siku na wewe utaliwa tu
Hakuna namna.
 

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
9,118
2,000
Seems kwa masharti uliyompa hausigeli inaonyesha akishamalia kuugulia mkazo wa bodaboda boy, anajiandaa na msuguo wako.

Usisahau ndom ingawa nasikia za vidonge zipo siku hizi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom