watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Tazama namna watoto wa shule walivyobananishwa kwenye hili gari

  2. Tlmau

    JamiiForums Tanzania Wazazi wenye watoto waliohitimu vyuo tusemezane kidogo

    Habari, natumaini uko salama na Leo nataka niongee na wazazi ambao Wana watoto ambao wamemaliza chuo na wako nyumbani bado hawajapata kitu maalumu cha kuwaingizia kipato. Uzi unaanza..wazazi wengi ambao wana watoto waliomaliza chuo sasa hivi wengi wao ni wazazi ambao walikua wanaamini sana...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa michezo kwa Watoto

    Michezo ina umuhimu mkubwa sana katika ukuaji na ustawi bora wa mtoto. Wataalamu wa malezi wanatuambia kuwa mtoto asiyecheza huwa ni mwenye kuzubaa muda wote na mara nyingi huwa mgumu sana katika kuelewa mambo. Pale watoto wanapocheza michezo ya viungo huwawezesha kuimarika misuli na kuwafanya...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Watoto waonywe kwa lugha rafiki wanapokosea kujikinga na Covid-19

    Watoto ni miongoni mwa kundi mahsusi ambalo linahitaji uangalizi na kusaidiwa katika kuchukua tahadhari na kupambana dhidi ya Covid-19 Wataalamu wa Saikolojia wanashauri kuwa ukiona mtoto amefanya tabia hatarishi katika kijikinga na #coronavirus usikae kimya wala usichukue uamuzi usiofaa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kiongozi mmoja aliyepigania watoto wasirudi shule ampeleka mwanaye nje kuendelea na masomo miezi 6 baada yakujifungua.

    Wakati wa awamu ya tano msimamo wa serikali ulikuwa hakuna watoto kurudi shule endapo watapata ujauzito. Kauli hii yakishenzi iliungwa mkono na wanasiasa wakiwemo wabunge na hata viongozi wa dini,taasisi za kirahia na wanazuoni mbalimbali. Wakati Kigogo mmoja jina linahifadhiwa akiwa kinara wa...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Wazazi tukumbuke kuwatoa out watoto siku moja moja! (Nimegundua wazazi wengi tunafungia sana watoto)

    Familia nyingi sana! Watoto wanaishi kwa masikitiko! Kila Siku mama au baba anatoka kwenda kazini! Huku watoto hasa wale ambao hawajaanza shule wakibaki kulilia safari! Kibaya zaidi watoto hawa wadogo 1yr to 3yrs wanauwezo mkubwa wakujua vazi la mama au baba la kushindia nyumbani na lile la...
  7. Kirchhoff

    JamiiForums Tanzania Ni kosa kumuuliza Mwenzi kuhusu uhalali wa watoto wako?

    Hivi karibuni na labda tokea zamani kumekuwapo na wimbi la wazazi wa kike kubainika kuwa waliwabambikizia wazazi wakiume watoto wasio wao. Jambo hilo limekuwa likileta mtafaruku katika ndoa na familia nyingi pale inapobainika kuwa mtoto si wa baba mwenyenyumba. Hii ni kwa sababu hakika ni...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tiba ya Ukatili kwa Watoto na Saikolojia ya Msichana wa kazi

    Mama ni Tiba nambari moja ya kuzuia Ukatili kwa Watoto na Uponyaji wa kisaikolojia kwa wasaidizi wa kazi za Ndani. Zipo Shughuri nyingi sana zinazoweza kumsaidia mwanamke kuhakikisha chakula kipo nyumbani hata Kama baba kashindwa kusimama kwenye nafasi yake, zipo Shughuri nyingi za kumsaidia...
  9. beth

    JamiiForums Tanzania UNICEF: Idadi kubwa ya Watoto katika Nchi zinazoendelea hukosa chakula bora

    Shirika la Kuhudumia Watoto (UNICEF) imesema theluthi moja ya Watoto chini ya miaka 2 katika Nchi zinazoendelea hupata Chakula wanachohitaji kwa ukuaji bora Ripoti ya UNICEF imesema majanga mbalimbali ikiwemo ghasia, mlipuko wa COVID-19 na mabadiliko ya Tabia Nchi yamekwamisha Maendeleo ya...
  10. winnerian

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nguo na vifaa vya watoto mwaka 0 hadi 12

    Ninahitaji kuanzisha biashara ya hii katika mkoa flani ila sina uzoefu hivyo ukinipa uzoefu wako utakuwa umeniboost sana pa kuanzia
  11. J

    JamiiForums Tanzania Covid-19 na malezi ya watoto: Mpongeze au mzawadie mtoto wako pindi atakapochukua tahadhari

    Katika kukuza tabia ya kuchukua tahadhari za Covid-19 kwa makundi yote katika jamii, watoto ni miongoni mwa kundi ambalo linahitaji umakini mkubwa katika kulichukulisha tahadhari. Wataalamu wanashauri wazazi au walezi kuwapongeza au kuwazawadia watoto wao pindi wanapopatia kuchukua tahadhari...
  12. beth

    JamiiForums Tanzania China yaendelea kubana matumizi ya Teknolojia kwa Watoto

    Toleo la China la Mtandao wa Kijamii wa TikTok linalofahamika kama 'Douyin' litadhibiti matumizi yake hadi dakika 40 kwa siku kwa Watoto walio chini ya umri wa miaka 14 Hatua hiyo inakuja wakati China ikiendelea kuchukua hatua mbalimbali kudhibiti matumizi ya teknolojia kwa Vijana. Mwezi...
  13. Prof Sankara

    JamiiForums Tanzania SoC01 TEHAMA inakuza au inadumaza fikra kwa watoto?

    "Mapinduzi yanaletwa na watu, watu wanaofikiri kama watu wa vitendo na kutenda kama watu wenye fikra” aliwahi kusema Rais wa Ghana Nkwame Nkuruma wakati wa uhai wake. Maendeleo Teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA) yamechukua nafasi kubwa katika maisha ya Watanzania. Fikira zetu zote...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Pfizer yathibitisha kuwa salama kwa watoto wa miaka 5 hadi 11

    Kampuni ya utengenezaji chanjo ya #COVID19 ya #Marekeni ya Pfizer imesema chanjo yake ni salama kwa watoto wa umri wa miaka 5 hadi 11 baada ya kuonesha ufanisi mkubwa katika majaribio Majaribio yalifanyika kwa watoto 2,268 wa umri wa miaka 5 hadi 11 ambapo dozi mbili ziligawiwa kwa kila mmoja...
  15. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania SoC01 Watoto wasio na uzoefu wa kushika Pesa huwa na matumizi mabaya ya fedha ukubwani hasa kwa BOOM

    Elimu ya kutunza pesa wengi wetu imetushinda. Hakuna umasikini mbaya kama kujutia maisha yaliyopita, kama ungetumia pesa vizuri ungefika mbali. Hii elimu ni muhimu kuwafundisha watoto. Wakipata pesa wasihamaki. Ni kama vike unavyokunywa chai kila siku, hata ukiwa mkubwa chai unakua umeizoea...
  16. Rais wa Matajiri

    JamiiForums Tanzania HESLB: Yatoa mikopo 100% kwa wanafunzi 872 zao la TASAF regardless masomo waliohitimia|ashukuriwe Rais Samia kwa hii sera inayoinua watoto wa masikini

    Nawasalimu kwa Jina la JMT, Sera ya bodi ya mikopo ya Elimu ya juu ( HESLB ) dhidi ya wanaopewa mkopo 100% ni wale tu wanachukua masomo ya Sayansi kama Udaktari, Wale wanaochukua masomo yasiyo ya Sayansi hupewa mkopo chini 100% Mambo ni tofauti kwa awamu ya Sita chini ya Rais ya Samia...
  17. Rakhshan Ally

    JamiiForums Tanzania SoC01 Utetezi wa haki za watoto wa mitaani

    Utetezi,ni mchakato wa kupata msaada mkubwa kwa sababu fulani au sera fulani yaani kuwapa watoto wa mitaani sauti kwa kuwataka wawe na nguvu na ushawishi wachukue hatua ili waweze kujitetea na kuhakikisha kuwa wanasikilizwa matatizo yao katika jamii. Kazi yetu ya utetezi inashirikiana na watu...
  18. beth

    JamiiForums Tanzania UNICEF: Watoto Milioni 1 hatarini kukosa Shule Nigeria

    Shirika la Umoja wa Mataifa Linalohudumia Watoto (UNICEF) limesema Watoto Milioni 1 huenda wasiende Shule kutokana na matukio ya utekaji nyara yanayolenga Wanafunzi Zaidi ya Wanafunzi 1,000 wametekwa nyara na magenge ya uhalifu katika Majimbo kadhaa Nigeria tangu Desemba 2020, huku mamia bado...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ujumbe maalumu kwa Ubalozi wa China Tanznia, tunaomba majibu kwa nini ndani ya China mnawafundisha watoto wenu kufanya ubaguzi dhidi ya watu weusi

    Kwako mheshimiwa balozi wa China Tanzania Naamini huu ujumbe utakufikia Mimi nakuuliza swali, kwa nini ndani ya nchi yenu China kumekuwa na kampeni mbaya kabisa za kibaguzi dhidi ya watu weusi, mnafikia hatua za kuwafundiha watoto wenu chuki. Kwa nini mnawabrainwash watoto wenu kupitia chuki...
  20. J

    JamiiForums Tanzania UNICEF: Watoto wajibiwe kirafiki wanapohoji kuhusu chanjo ya COVID-19

    Shirika la Kuhudumia Watoto Duniani (UNICEF) linasema kuwa watoto wanapaswa kufahamu kinachoendelea kuhusu Chanjo ya COVID-19 na ni muhimu wapewe majibu ya kirafiki Kama mzazi ana hofu kuwa taarifa aliyo nayo inaweza kumstua mtoto, inashauriwa kutoonesha hofu hiyo kwani hisia za watoto...
Back
Top Bottom