watch

  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Human Rights Watch yaitaka Ukraine kuchunguza uwezekano wa uhalifu wa kivita

    Shirika la haki za binadamu la Human Rights Watch limeitolea wito serikali ya Ukraine kuanzisha uchunguzi juu ya kile kinachoweza kuwa uhalifu wa kivita, baada ya kuibuka mkanda wa vidio unaowaonyesha wanajeshi wakiwapiga risasi miguuni wafungwa wa kivita wa Urusi. Mkanda huo ulioanza kusambaa...
  2. rr4

    JamiiForums Tanzania FinanceBuzz will pay an individual $1,300 to watch 13 scary movies in October

    #Repost CNN @download.ins --- FinanceBuzz will pay an individual $1,300 to watch 13 scary movies in October, in an effort to find out whether the size of a movie's budget impacts its scariness. They will monitor the person's heart rate during the films using Fitbit, the company said.⁠ ⁠ The...
  3. I

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Smart Watch Brand New

    Kk
  4. Grand Canyon

    JamiiForums Tanzania What a wonderful documentary about Tanzania Roads! watch for yourself. enjoy

    Nimetazama documentary hii ni nzuri sana.Tanzania ni kubwa aisee!
  5. kdrama_masters

    JamiiForums Tanzania Best Korean medical drama you must watch

    Drama za Korea zimegawanyika katika theme mbalimbali ambazo zina deal moja kwa moja na maisha yetu ya kila siku. Kutuelimisha na kuburudisha pia. Drama za Korea zimegawanyika katika genre tofauti kama vile MEDICAL, FAMILY LAW, SCHOOL, CRIME, SAGEUK, ACTION, COMEDY, ROMANCE, BUSINESS, ROMCOMS...
  6. Rebeca 83

    JamiiForums Tanzania Bunge Jipya: It will be interesting to watch

    Hello JF, Mwenzenu nahisi Bunge lijalo litakuwa very interesting... Je, watanyamaza kimya pale mambo yatakapokuwa against matarajio yao? Pale je mambo yakifanyika bila kuwashirikisha, watakua na uthubutu wa kuhoji? I'm sure wengine japokua mmebebwa mkapelekwa Bungeni, still kuna some of you...
  7. NicholeGuerrero

    JamiiForums Tanzania Application to watch sports TV channels online in Brazil

    Hello, If you want an application to be able to watch sports channels in Brazil, especially football. You can download playtv geh at TechBigs Do you know other good apps?
  8. Tim Choice

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya named among 5 start-up hubs to watch – beyond Silicon Valley - worldwide

    5 start-up hubs to watch – beyond Silicon Valley Tel Aviv: Israel has the highest number of start-ups per capita in the world Start-ups were once synonymous with Silicon Valley or London - but that's no longer the case. Here we look at five...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Tanzania Elections Watch yaiandikia barua NEC kutokana na kongezeka kwa uvunjifu wa amani

  10. pingli-nywee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Human Rights Watch: Freedoms in Tanzania threatened ahead of elections as authorities crack down on Opposition Parties, Rights Groups, Media

    Human Rights Watch, shirikika la kimataifa la kutetea haki za kibinadamu, limeiangazia Tz kuhusu ukiukwaji wa haki za kibinadamu kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba. HRW inadai kwamba kwa muda wa miezi mitatu iliyopita wanachama wa upinzani 17 na watanzania wengine waliokashifu serikali...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Human Rights Watch: Haki za kiraia zinaminywa kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Shirika la kutetea haki za binaadamu la Human Rights Watch (HRW) linasema mamlaka nchini Tanzania imeongeza hatua ya ukandamizaji dhidi ya vyama vya upinzani na mashirika yasiyokuwa ya kiserikali kabla ya uchaguzi mkuu wa mwezi ujao. Katika ripoti yake Human Rights Watch limekosoa sheria mpya...
  12. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Wimbo "DEAR MAMA" wa DON NALIMISON umetolewa maalum kwa ajili ya MAMA wote Duniani. Je, unampenda MAMA yako, watch now

    . New video "DEAR MAMA", watch my New 3rd video song for "DEAR MAMA" LIKE IT, SHARE IT, SUBSCRIBE IT & COMMENT FOR IT if you Love your Mama.
  13. Loraa sum's

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Cartier Watch

    -gentlemen watch for sale -brand CARTIER yenye mikanda kampuni ya HEUER -colour; classical silver -bei: 25,000 -contact: 0712518770 -DAR-ES-SALAAM
  14. CHADEMA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Juni 08, 2020

    Hotuba ya Tundu Lissu, FULL TEXT: KWANINI NAGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA? Wananchi na raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania popote walipo, ndani na nje ya nchi yetu; Wanachama, wapenzi na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA); Marafiki wa Jamhuri ya...
  15. beth

    JamiiForums Tanzania Rwanda: Human Rights Watch yataka kifo cha Kizito Mihigo kuchunguzwa

    Shirika la kutetea Haki za Binadamu, Human Rights Watch linataka uchunguzi ufanywe kubaini chanzo cha kifo cha mwanamuziki maarufu wa nyimbo za injili nchini Rwanda, Kizito Mihigo. Mkurugenzi wa shirika hilo katika kanda ya Afrika ya kati Lewis Mudge, ameiambia BBC kuwa shirika hilo linatilia...
  16. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania Marekani bwana yaani yeye kuua ni ruksa ametungua juzi juzi Qasem Suleiman hakuna cha Human right watch wala Amnesty international.aliyekoroma

    Jamaa hawa kwao kuua ni sawa walimuua Gaddafi Qasem Suleiman Saddam Hussein Osama Bin Laden Wanagereza la Guantanamo yanayofanyika humo ni zaidi ya ushetani
  17. Wangari Maathai

    JamiiForums Tanzania Uaminifu ni mtaji mzuri katika kila nyanja ya maisha

    Katika kila nyanja ya maisha uaminifu huwa ni mtaji mzuri sana ...! Hii inakupelekea kuaminika sehemu nyingi sana... Kutana na mwanamama mfanyabiashara alokutana na changamoto nyingi na ngumu sana... Lakini amekuja kufanikiwa! Ukitia nia kbs kwa dhati mafanikio utayaona! Nilichojifunza kupitia...
  18. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Jinsi Amnesty International, Human Rights Watch, UN, European Union walivyo mabubu juu ya Marekani, ndivyo huamrishwa kutimiza maslahi ya US

    Hii ni jumuiya na taasisi dhaifu kabisa zinazopokea hela chafu na nyingi kutoka USA. Zimeanzishwa kwa ajili ya kulinda masilahi ya Marekani na Washirika wake. Zimeanzishwa kuwalinda mawakala wao popote duniani; ukiwagusa unaambiwa unakiuka haki za binadamu. Mawakala wao wakitengeneza scandal...
  19. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Kila mbabe ana mbabe wake. European Union, UN, Human rights Watch na Amnesty International kwa Marekani huwa ni vikundi vya waporaji tu

    Kinachonishangaza ni kwanini mataifa mengine yako kmya juu ya mambo anayofanya marekani kwa kuchokoza mataifa madogo kisa ana nguvu ya kijeshi. Pia ndio mwanzilishi wa migogoro ya kila aina kisa rasilimali za nchi husika lakini Umoja wa mataifa wako kimya na hakuna lolote wanaongelea juu yake...
  20. CalvinKimaro

    JamiiForums Tanzania Je, BBC Tumbili Service, Amnesty International na Human Rights Watch hili hamjui?

    Siku mbili tatu hizo zilizopita mtaalamu wa UN kuhusu haki za binadamu alitoa taarifa yake baada ya kumtembelea JULIAN ASSANGE. Ni mmiliki wa WikiLeaks ambaye kwa sasa anashikiliwa na Serikali ya Uingereza akisubiri uamuzi wa ama kumkabidhi kwa serikali ya Marekani au la. Alikamatwa mwezi April...
Back
Top Bottom