johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,387
- 142,632
Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Mahiga amesema wameshapokea ripoti za Amnesty International na Human rights watch na wameshaanza kuzifanyia kazi.
Balozi Mahiga amesema kuna baadhi ya mambo walishayatolea maelezo huko nyuma na mengine yaliyobaki watayajibu mstari kwa mstari.
Dr. Mahiga amemalizia kwa kusema Serikali inaichukulia ripoti hii kwa uzito mkubwa sana na majibu yatatolewa kwa muda muafaka.
Chanzo: BBC Dira ya Dunia
-------
Kuhusu hiyo ripoti, soma

Amnesty International and Human Rights Watch: Hali ya ukandamizaji wa vyombo vya habari, watetezi wa haki za binadamu na vyama vya upinzani waongezeka
AMNESTY INTERNATIONAL HUMAN RIGHTS WATCH TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Ukandamizaji wa vyombo vya habari, watetezi wa haki za binadamu na vyama vya upinzani umeongezeka tangu mwaka 2015, zinasema ripoti mbili tofauti za mashirika ya Amnesty International na Human Rights Watch zilizotolewa leo...
www.jamiiforums.com