Marekani bwana yaani yeye kuua ni ruksa ametungua juzi juzi Qasem Suleiman hakuna cha Human right watch wala Amnesty international.aliyekoroma

Corticopontine

JF-Expert Member
Sep 20, 2019
664
1,272
Jamaa hawa kwao kuua ni sawa walimuua
Gaddafi
Qasem Suleiman

Saddam Hussein

Osama Bin Laden

Wanagereza la Guantanamo yanayofanyika humo ni zaidi ya ushetani
 
Ukiona Marekani kafikia kuu ujue uyo mtu kashaua watu kibao wasio na hatia watu wanasema Gaddafi aliuwawa kimakosa ila miaka 42 ambayo alikaa madarani aliua wakosoaji wake maelfu kwa maelfu.

Uyo Suleiman mwenyewe kafanya operetion hatari kwa kushirikiana na vikundi vya waasi apo mashariki ya kati.
 
Back
Top Bottom