Jinsi Amnesty International, Human Rights Watch, UN, European Union walivyo mabubu juu ya Marekani, ndivyo huamrishwa kutimiza maslahi ya US

Nigrastratatract

JF-Expert Member
Sep 4, 2019
453
1,000
Hii ni jumuiya na taasisi dhaifu kabisa zinazopokea hela chafu na nyingi kutoka USA.

Zimeanzishwa kwa ajili ya kulinda masilahi ya Marekani na Washirika wake.

Zimeanzishwa kuwalinda mawakala wao popote duniani; ukiwagusa unaambiwa unakiuka haki za binadamu.

Mawakala wao wakitengeneza scandal za kuiba rasilimali na mikataba ya kiharamia waliotendewa. Hao siyo watu au binadamu kwao kwani wanatuita nyani; nyani hawezi kula bata bali nyani anakula mihogo viazi na majani.

Ukizitukuza sera zao wanakuita kiongozi bora kabisa, wanakupa tuzo kwa sababu wanaamini sisi tumeumbiwa shida na vibaya vyote mali yetu, na wanaamini kuwa sisi si watu wenye kula vizuri.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom