Hyundai wamezindua 5th Generation ya Tucson: Rav 4 Should Watch its Back!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,050
Reaction score
102,476
Hyundai wameredesign kabisa muundo wa Tucson mpya, ni boxy, Nene na ndefu kuliko generation za nyuma.
1479.jpg

Tucson 5th gen inakuja na options tatu, full mafuta, hybrid ya kawaida na hybrid ya kuchaji.
1481.jpg
1480.jpg

Ya mafuta tu (petrol/diesel) inakuja na 2.5L NA i-4 au 1.6L turbocharged inline-4 engine, 8-speed auto, inatoa 180 HP. Na wakati hybrid ya kawaida Ina 1.6L turbocharged inline-4, 6-speed auto, 230 HP, na PHEV Ina 1.6L turbocharged inline-4, 260 HP, 6-speed auto, na EV mode 30 km.
1478.jpg
1477.jpg

Gari pia Ina new interior, new safety and drive assistance features, inakuja FWD na AWD na Bei kuanzia $29,000/= tu.
 
Hapa mchawi Ti-hara-heyi tu manina zao. Utasikia kodi ni USD 32,000. Hawa ndo wanatufanya tununue na kuendesha mikweche.
Tupo baharini kabisa meli inatia nanga kwetu ila tupo na matakataka kweli aisee kwa sababu yao mpaka commercial car wao kodi juu sijui wanataka nani afanye hizo biashara..
 
Nimekuwa nashawishika na gari za Hyundai, ila nyingi ni LHD

Ila ni magari yenye muonekano mzuri sana, wenye kuvutia

Pamoja na hayo, mchawi Kodi za TRA tu

Hapo mtajikuta mnagawana pasi pasu

Bei ya gari $29,000 unakuta Kodi $31,000 🙌
 
Hyundai wameredesign kabisa muundo wa Tucson mpya, ni boxy, Nene na ndefu kuliko generation za nyuma.
View attachment 3682149
Tucson 5th gen inakuja na options tatu, full mafuta, hybrid ya kawaida na hybrid ya kuchaji.
View attachment 3682150View attachment 3682153
Ya mafuta tu (petrol/diesel) inakuja na 2.5L NA i-4 au 1.6L turbocharged inline-4 engine, 8-speed auto, inatoa 180 HP. Na wakati hybrid ya kawaida Ina 1.6L turbocharged inline-4, 6-speed auto, 230 HP, na PHEV Ina 1.6L turbocharged inline-4, 260 HP, 6-speed auto, na EV mode 30 km.
View attachment 3682151View attachment 3682152
Gari pia Ina new interior, new safety and drive assistance features, inakuja FWD na AWD na Bei kuanzia $29,000/= tu.
Imekaa vizuri sana,,ushindani sikuhizi umekuwa mkubwa, hakuna anayeleta kituko sokoni an wanakaa kimyaaa wakiibuka ni Mali haswaa.
 
Nimekuwa nashawishika na gari za Hyundai, ila nyingi ni LHD

Ila ni magari yenye muonekano mzuri sana, wenye kuvutia

Pamoja na hayo, mchawi Kodi za TRA tu

Hapo mtajikuta mnagawana pasi pasu

Bei ya gari $29,000 unakuta Kodi $31,000 🙌
Fortuner ya 2024,2025 kodi wanataka 65m Tsh ina nini mpaka ilipiwe hiyo kodi wameona watu wanaagiza wakaweka mzigo wa kodi ili watu waagize tena ist za 25m gari ya mwaka 2006..
 
Yaani Hyundai na Kia wapuuzi, hawauzi Japan sana, kwahiyo kukuta RHD ngumu kinoma.
 
Huku tunakoelekea watu watakimbizana Sana barabarani na watoza ushuru, Yaani Adui anayefuata wa Taifa baada ya wafanyakazi wa vyombo vya ulinzi na usalama basi ni hawa watoza Kodi... Haiwezekani tuishi kama Chimpanzee wakati Hela watu wanazo, maisha yenyewe tumekua Kwa tabu Sana ukubwani pia tuishi Kwa tabu.
 
Fortuner ya 2024,2025 kodi wanataka 65m Tsh ina nini mpaka ilipiwe hiyo kodi wameona watu wanaagiza wakaweka mzigo wa kodi ili watu waagize tena ist za 25m gari ya mwaka 2006..
Kama Kodi ni hiyo 65M inaonesha gari hadi uje uimiliki lazima ikutoke 120M hivi 🙌

Kweli bongo Viongozi hawataki watu wanunue magari 🙌
 
Ya mwaka huo ukilipa hiyo kodi ni zaidi ya 170m mpaka inakua kwenye mikono yako ndio maana wapo busy kukamatana road kisa kodi zao hazilipiki kuna mwana alilipia Range Rover zaidi ya 120 ilikua ya mwaka 2020 LC 300 kodi ni zaidi ya 130m wao wanapata faida kubwa kuliko hata kiwanda au kampuni iliyotengeneza hizo gari..
 
Kwa kweli ni kumuumiza mwananchi

Kodi ni kubwa kuliko watu walizokuwa wanalipa kwa Kaisari enzi za Yesu
 
Kabisa, hawajui wengi wakifanikiwa kumiliki magari, Uchumi wa Nchi unasisimka
Meli imeshusha mzigo hapo bandari mzigo wote unatakiwa uende DRC magari wameweka kodi kubwa kwa hiyo watu wanafanya yakimbie yashushe yarudi kupakia tena wakati wangepunguza kodi za truck wangepata hiyo kodi kwenye mafuta magari mengi yanafanya kazi wao wanataka kwanza kodi kubwa ya kuingia na wanakwamisha biashara na mapato yao bila kujua.
 
Back
Top Bottom