Habari kubwa nchini hivi sasa ni hizi ripoti za Amnesty International na Human Rights Watch kuionya Tanzania kuhusu mwenendo wake wa kila kukicha, tokea Rais Magufuli aingie madarakani mwaka 2015, kupeleka sheria Bungeni za kukandamiza vyombo vya habari, kuziminya kampuni zisizo kuwa za...
Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Mahiga amesema wameshapokea ripoti za Amnesty International na Human rights watch na wameshaanza kuzifanyia kazi.
Balozi Mahiga amesema kuna baadhi ya mambo walishayatolea maelezo huko nyuma na mengine yaliyobaki watayajibu mstari kwa mstari.
Dr. Mahiga...
Habari wakuu?
Wapi naweza kupata casio watch za model hii kwa hapa Dar?
1. Casio illuminator W-96H
2. Casio Telememo illuminator AW-81
Hizi zipo tofauti na zile casio za kawaida, kuna feature ya telememo ndani yake. inaweza kustore records kidogo, contacts. ina dual time, timer n.k
kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.