watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nimemtetea Prophet Lovi mtandaoni kwamba Tatoo alizichora kabla hajaokoka then nimekuwa rewarded

    Last week niliandika Uzi hapa kuhusu namna unavyo weza kutengeneza pesa, network na connection kwa kufanya kazi ya KUBADILISHA UPEPO kuhusu watu wanao tuhumiwa au nyooshewa vidole na jamii kuhusu mambo mbalimbali. Leo nimefanya jambo hilo kwa vitendo na nimekuwa monetary rewarded. Ni hivi...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali iwalipe fidia watanzania wanaopata madhara wakiwa wanahojiwa na polisi. Ni wangapi ni vilema mpaka sasa kwa kipigo ?

    Niliingia mahabusu moja nikalala usiku mmoja ,sikuamini kama nipo Tanzania ,watu wanahojiwa kwa kupigwa na vyuma na wanavunjwa mifupa ,mtu analetwa akiwa mzima na anatoka akiwa mlemavu! Jeshi la polisi halina mbinu nyingine ya kipelelezi lazima watumie virungu? Interjensia inayosemwa kila siku...
  3. JamiiForums Tanzania Bima ya Afya kwa wote huenda likawa ni kaburi la afya za Watanzania

    Muswada wa Bima ya afya kwa wote ulifanikiwa kupitishwa bungeni mwezi uliopita, na tayari umetiwa saini na Rais wa Tanzania kuwa sheria rasmi, hivyo mchakato wa kutengeneza kanuni na taratibu za ufanyaji kazi kabla ya kuanza kutekelezwa umeanza rasmi. Bahati mbaya sana watu wengi hawajui mifumo...
  4. JamiiForums Tanzania Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 80 na Majeruhii 133

    Serikali imetoa taarifa kuhusu maendeleo ya hali baada ya maafa ya maporomoko ya tope, mawe, magogo na mawe kutoka mlima Hanang Wilayani Hanang Mkoa wa Manyara, ambapo imesema hadi kufikiasaa 6:00 mchana leo December 08,2023 idadi ya vifo imefikia 80 (Watu wazima ni 48 wakiwemo Wanaume 19 na...
  5. JamiiForums Tanzania Watanzania mnapenda Bunge lijalo 2025 - 2030 liwe na sura gani?

    Watanzania, SALAAM! Hivi sasa kwa tathmini ya haraka ufuatiliaji wa mijadala ya Bunge kwa wananchi wa kawaida umepungua kwa takriban asilimia 30. Kwamba kwa kila watu wazima 10 ni watu 7 tu wanaoweza kufahamu mambo ya kibunge na bunge. Tofauti na mwaka 2005 - 2010 ambapo kwa kila watanzania 10...
  6. JamiiForums Tanzania Huu Utitiri wa Maofisa wa Serikali kwenda Hanang, Wanaenda Kufanya Uokoaji au Kuonekana?

    Sijasema wakubwa wasiende ila napenda watakaokuwa front ndio watangulie plus Mahitaji ya Waathirika badala ya kwenda kuleta taharuki nyingine. Huko PM yupo Mkuu wa Majeshi yupo Mawaziri wapo Na wengine wanaendelea kumikinika ,Sasa sijajua Kama Kasi ya wakubwa kumikinika inaendana na Kasi ya...
  7. JamiiForums Tanzania Napendekeza kutungwe Sheria Kali ya Kunyongwa hadharani Viongozi Waandamizi Wanaowadanganya wazi wazi Watanzania

    Kwa mfano kukitokea Kiongozi Mwandamizi yoyote akatudanganya Watanzania Kimakusudi kuwa Kiongozi fulani Hajafa au Haumwi na mzima wa Afya anaendelea na Majukumu yake Ofisini huyu GENTAMYCINE sipendekezi tu aishiye Kunyongwa hadharani bali kama ni Mwanaume basi Ahasiwe kabisa na akiwa ni Mwanamke...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Wakati Watanzania takribani 50 wakiangamia huko Hanang na maelfu wakiachwa majeruhi, Rais wetu na Makamu wake hawako nchini

    Hii ni hali ya hatari. Inabidi Rais akatize kile anachofanya huko Uarabuni aje asimamie mapambano ya uokoaji. Yeye kama Amir jeshi mku wa vikosi vya ulinzi na usalama inatakiwa awe mstari wa mbele akiwa katika ardhi ya Tanzania. Rudi nyumbani mama utufute machozi kutuma Salaam za pole ukiwa...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini iwe Watanzania vs Wakenya na si vinginevyo?

    Humu jukwaani, kunapotokea ubishi wenye mwelekeo wa "Kimataifa", utaukuta ni baina ya Mkenya na Mtanzania. Lakini inafahamika kuwa Jumuia ya Afrika Mashariki ina nchi kadhaa zaidi ya Kenya na Tanzania. Kwa nini ubishani wa kiutani uwe ni kati ya Mkenya na Mtanzania na siyo na Mtanzania na raia...
  10. JamiiForums Tanzania Ujasiri huu wa Watanzania kwa wazungu umepotelea wapi?

    Henry Kissinger, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani kaja Tanzania kupatana na Rais Nyerere kuhusu jambo. Alikutana na mabango mengi. Leo hii leo hii leo hii mzungu kutoka Marekani mwenye cheo hiki akija tena Tanzania ole wake atakaenyanyua bago, ujasiri wetu umeenda wapi?
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania wengi hawafanikiwi kutokana na kazi zao?

    Dr. John C. Maxwell ni Mwalimu mashuhuri wa uongozi duniani. Kabla ya kufika barani Afrika, aliamini yafuatayo kuhusu mafanikio, kwamba: 1. Mafanikio yanatokana na kufanya kazi kwa bidii. 2. Wamarekani wanaongoza kwa kufanya kazi kwa bidii. Lakini baada ya kufika Afrika, alibadilisha mtazamo...
  12. JamiiForums Tanzania SUA itendeeni Haki jamii ya Watanzania

    Sina nia mbaya wala lengo la kuwaharibia biashara zenu, ila ninyi kama taasisi kubwa nchini inayotumia resources nyingi kwenye tafiti mbalimbali za kilimo, hili la matunda yenu mmeshindwa kabisa. Mfano mmoja kati ya mingi ni haya maembe yenu ya kisasa utakuta kati ya maembe na mapera 10...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania tususie biashara za Pauline Gekul mpaka aombe msamaha

    WanaJF, Nashauri kuanzia leo tususie biashara zote anazofanya huyu mbunge wa Babati kwa kitendo chake cha unyanyasaji. Naomba anayezifahamu aweke majina yake hapa. Tuanze na hiyo hoteli inaitwa Palii sijui nini. Hakuna kufanya biashara na muuaji au wanaomsapoti mpaka akili iwakae sawa...
  14. JamiiForums Tanzania Kongole Rais Samia, Kongole Awamu ya Sita Ngurdoto Imesimama Tena, Ajira Zimerejea kwa Watanzania

    Kwa siku kadhaa sasa Tanzania imekuwa mwenyeji wa mikutano kadhaa mkoani Arusha katika Hotel wa "NGURDOTO" Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaojadili masuala ya Mabadiliko ya Tabianchi na Usalama wa Chakula Ngurdoto pamoja na mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi leo wamefurahia Taifa Stars kufungwa na Morroco, sababu kubwa ni TFF kuruhusu siasa kwenye soka

    Kila vijiwe watu wanachekelea tu Ziech ziech. Huu upuuzi umefanya stars kuchukiwa.👇
  16. JamiiForums Tanzania Haya hapa makundi ya watanzania waliozarauliwa mitandaoni 2023

    Vijana Walimu Wahitimu wa vyuo vikuu wasio na ajira Single maza
  17. M

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya Watanzania ni wapumbavu

    Utasikia wanasifia fisadi aliyeiba mali za umma kuwa mjanja na ametoboa. Wanadanganywa na maigizo ya wanasiasa ambayo hayawezi kuwasaidia. Eti Makonda nyota imewaka. Watoto wao wanavuta bangi na madawa ya kulevya na kuwa mashoga kisa tu kuiga maisha ya Usa. Pumbavu kabisa.
  18. JamiiForums Tanzania Mmoja kati ya Watanzania waliokuwa hawajulikani walipo Nchini Israel, yabainika amefariki Dunia

    Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa masikitiko na huzuni imetangaza kifo cha Clemence Felix Mtenga, Kijana Mtanzania ambaye ni miongoni mwa Watanzania wawili ambao pamoja na raia wa Mataifa mengine walikuwa hawajulikani walipo tangu...
  19. JamiiForums Tanzania Watanzania tunasubiri kuibiwa kuelekea uchaguzi mkuu 2025

    Uchaguzi ni gharama kubwa sana kwa wagombea, vyama vya siasa na taifa kwa ujumla wake. Kupata pesa za kugharamia kupita kwenye kura za maoni, kupiga kampeni, kuchaguliwa, kulinda kura na kutangazwa kuwa mshindi ni bei kubwa sana. Watanzania tunatarajia kusikia wizi au uhalalishaji wizi mkubwa...
  20. JamiiForums Tanzania Ndugai: TANESCO ni kikwazo kikuu kwa maendeleo ya Watanzania

    Spika aliyeondolewa kwa uonevu ndugu Job Yustus Ndugai amelitupia lawama Shirika la umeme la Tanzania kwa kuwa ndilo hasa linalo kwamisha maendeleo ya Watanzania kwa desturi yake ya kukata umeme hovyo hovyo. ----- Spika wa Bunge Mstaafu Job Ndugai, ameitaka Serikali kuboresha taratibu zake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…