There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.
Mheshimiwa Tundu Lissu ameongea na waTanzania akiwa mahakamani, kwa kweli nimefurahi sana na nimekuwa na strong feeling kuwa huyo ndiye Raisi wangu mpendwa ajaye atakayetutawala na kutupa uhuru wetu wa kweli, kurudisha haki na utu wetu.
Huyo ndio Raisi wangu ajaye atakaye tufundisha uzalendo...
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania, taasisi za umma na binafsi, mashirika na wadau wa maendeleo waungane na Serikali katika kuwezesha matibabu ya upandikizaji wa figo na uloto kwa wananchi wasiokuwa na uwezo ili kuokoa maisha ya wagonjwa wanaohitaji huduma hizo za kibingwa...
Watanzania wenzangu lazima tujitofautishe na wanyama ambao pengine hawana kumbukumbu wala utashi.
Polepole alituambia kabisa kwamba kuna wazee wamepangwa kuja kufacilitate maridhiano baada ya uchaguzi wa 29 October 2025. Just imagine Balozi Humphrey Polepole alitufungua macho kuhusu script ya...
Balozi wa Tanzania nchini China, Dk Suleiman Haji Suleiman amesema dawa za kulevya zinaendelea kuwagharimu Watanzania wanaokwenda China, akieleza kuwa baadhi yao wamehukumiwa vifungo vya miongo kadhaa huku familia zao nchini zikipoteza mawasiliano nao na kuamini wamefariki dunia.
Akizungumza na...
Katika hadhara mbalimbali za, maongezi yake (siziiti hotuba, kwa sababu Samia hahutubii, hana hotuba hata moja unayoweza kuitaja kuwa mfano wa hotuba) zake za hivi karibuni,; ameonyesha ulalamishi mwingi juu ya vijana/waTanzania na watu wengine kutokubali juhudi zake za utawala anaoona yeye...
Kamwe na haitatokea eti agenda moja tu ndio inaweza kuwashawishi watu milioni 60 na zaidi kukupa nchi.
Hata kunishawishi mmoja mimi tu unahitaji agenda zaidi ya 20 hivi kutoka sekta mbalimbali ili nikupe muda wa kukusikiliza.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Kwa mawazo yangu serikali haijafanikiwa na umashuhuri wa Rais Samia umeshuka sana.
Kutoka uhalali mpaka kuwa fake!. Kutoka kusifiwa 2021-2022 mpaka kuitwa muuaji na fisadi. Tafuteni njia bora ya kuweka usawa wa watanzania badala ya kutegemea nchi ya kipolisi
Ni heri serikali ingeruhusu watu kuandamana mitaani kuliko haya maandamo yanayofanywa sasa mitandaoni.
Maandamano haya yana madhara makubwa kwa utawala laiti wangefahamu hili. Maandamano haya hayafanyiki siku moja yakaisha kama yale ya mitaani, ni kila ukicha maandamano haya yapo na yanavuka...
Wakuu,
Hili suala la Tundu Lissu limeendelea kutuchafua Tanzania Kimataifa
Documentary za aina hii tushazoea kuziona zikifanyika kwenye Banana Republics kama Burundi, Sudan na kwingineko lakini leo inafanyika Tanzania
Kwa Documentary kama hizi, watu kama Dangote watakuja kuwekeza Tanzania...
Hivi mpaka sasa, bado kuna Watanzania wanaotegemea kuni na mkaa kwa ajili ya kupikia?
Swali hili linaweza kuonekana rahisi, lakini linaigusa moja kwa moja hali ya nishati ya kaya nyingi nchini Tanzania.
Katika kipindi ambacho dunia inaendelea kuzungumzia mpito wa nishati (Energy Transition)...
Habari za wakati huu wanabodi. Hiuu ni mtazamo wangu ambao ninaamini ni muhimu sana kwa muktadha wa sasa wa kijamii na kisiasa. Uzi huu umeandikwa kwa lugha ya staha, uchambuzi wa kina, na mtazamo wa kujenga ili kugusa kiini cha tatizo.
MAJUKWAA YA GIZA:
Namna Unafiki wa Kisiasa Unavyokwamisha...
Facts is:-
Kunapotokea suala la starehe ya muziki,basi tufanye muziki,
------
Kunapotokea suala la michezo,basi tufanye michezo,
------
Kunapotokea suala la siasa au muda wa siasa tufanye siasa..
Walikukataa hata kabla hujawa Rais. Hawakutaka uapishwe kuwa Rais baada ya kifo cha Rais Magufuli, hawakutaka ugombee nafasi ya urais, hawakutata uchaguzi ufanyike. hata baada ya uchaguzi hawakutaka uapishwe na hata baada ya kuapishwa hawataki uongoze nchi na nchi isitawalike.
Maridhiano nao...
Labda tukumbushane ndugu zangu Watanzania, ni lini na wapi tuliwahi kumkosea Mh Rais
Nakumbuka mengi sana ambayo, kama angeliyasemea tu na kuyakemea, tusingekuwa hivi tulivyo Leo
Au basi
Ndugu watanzania, husikeni na kichwa cha habari.
Kazi iliyotukuka ya makamu mwenyekiti wa chama pendwa CHADEMA, inahitaji kuungwa mkono na kila mzalendo yoyote popote alipo.
Ni wakati sasa kuwaonyesha hawa watesi, wauwaji, wafiraji, watekaji na waporaji wa mali za watanganyika kuwa tunaitambua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.