watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Pongezi sana kwenu Watanzania wa X( Twitter), Machawa wameanza kutoa milio. Endeleeni kufinya hivyo hivyo

    Leo account maarufu ya Kiongozi wa machawa waliopo X ( Twitter) imeanza kutoa milio baada ya Watanzania wapenda haki wa X (Twitter) kuanza kuzi tagg account za wafadhili wa Tanzania na mashirika ya Kimataifa (Washirika wa Maendeleo) kuhusu udhalimu unaofanywa na Serikali ya Samia dhidi ya...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini suala la mipango linatushinda watanzania?

    KWANINI SUALA LA MIPANGO LINATUSHINDA WATANZANIA? Mipango ni msingi wa maendeleo ya mtu binafsi, jamii, na taifa kwa ujumla. Bila mipango madhubuti, hakuna maendeleo ya kweli yanayoweza kufikiwa – iwe ni katika kilimo, elimu, afya, miundombinu au uchumi kwa ujumla. Lakini kwa miaka mingi sasa...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kigogo Kigogo kwa hili ulilosema siongezi neno lolote, kwani umemaliza kila kitu na ndiyo Watanzania tunadharaulika mno na Majirani na Duniani pia

    Taifa ambalo redioni ahsubuhi wanajadili michezo.Mchana hadi jua linapo zama wanarudi kwenye michezo,usiku wanajadili ngono hadi pakuche.hakuna vipindi vya taaluma ujasiriamali,Kilimo,Midahalo. Hilo ni Taifa ambalo lipo kaburini kitambo...! (Kigogo Kigogo) Na kutokana na hii Aibu ndiyo maana...
  4. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Haihitaji Degree kutambua anachofanyiwa Lissu ni kutokana na 'No reforms, No election' Watanzania wangekuwa na akili wangekuwa barabarani muda huu

    Tunaposema Tanzania ni taifa mfu, au Taifa lenye wajinga wengi mno ambao CCM inatumia kama mtaji nadhani sote tunajionea na kushuhudia. Watu kadha wa kadha wametekwa, wamepotea, hakuna aliyewajibika. Si Polisi ambao walionekana mchana kweupe wakimbeba marehemu kwenye basi lenye abiria wala si...
  5. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Serikali: Watanzania waliopo Israel na Iran kurejeshwa nchini

    HALI YA WATANZANIA NCHINI ISRAEL NA IRAN KUFUATIA MASHAMBULIZI BAINA YA TAIFA LA ISRAEL NA JAMHURI YA KIISLAMU YA IRAN DODOMA, 19 JUNI 2025 Kufuatia mashambulizi yanayoendelea kati ya Taifa la Israel na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yaliyoanza tarehe 13 Juni 2025, hali ya usalama katika mataifa...
  6. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama Rais Samia hadaiwi na watanzania anataka kurudi tena kwenye kiti Kufanya nini?.

    GT Mimi kama mwanajimbo la kisesa nikiongozwa na Mpina nakubali kwamba Samia tunamdai ana mambo mengi sana hajakamillisha na tuna wasiwasi na uwezo wake kama atayatimiza. Hawa wanaosema.hawamdai halafu October arudi tena. Nawaona kama wana mtindio wa ubongo kabisa. Mtu aliyemliza yote arudi...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Watanzania wenzetu wenye magari ya milioni 200+ wanaoingiza pesa halali wanafanya shughuli zipi?

    Wabongo wenzetu nikiamaanisha watanzania wenye asili ya kiafriaka ❌Wanasiasa - Wengi wananenepa kwa kodi zetu ❌Wachungaji wa kilokole wengi wahuni wanatajirika kwa sadaka ❌wasio na shughuli zinazojulikana, wengi matapeli na dili nyeusi
  8. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunaishia kupiga mikwara mtandaoni tu hahahaha

    Kila siku kwenye page za mange kimambi na sativa ni no Reform no election eti ndio kuandamana hivyo ambapo serikali italeta katiba mpya unajua Kuna vitu vinachekesha sana Bora hata wasiwe wanaandika huo utumbo baada ya kupanga mikakati ya kuingia barabarani Kila siku mikwara ya mtandaoni nasema...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la Nne la utekelezaji wa ushirikishwaji wa Watanzania katika Sekta ya Madini laanza Mwanza

    Jukwaa la Nne la Utekelezaji wa Ushirikishwaji wa Watanzania katika Sekta ya Madini limeanza rasmi leo Juni 16, 2025 jijini Mwanza ambalo linakutanisha wadau mbalimbali ikiwa ni pamoja na Wizara ya Madini na Taasisi zake, Taasisi za Serikali, Taasisi Binafsi, Taasisi za Fedha, Kampuni za...
  10. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Nikimsikia Samia akizungumzia uchumi. Natabasamu nawapongeza watanzania sana

    Faida anayoiona ya kahawa ni kufanyia scrubbing. Siku hiyo hiki ndo kipengele aliweza kukielezea vizuri zaidi na kwa muda mrefu. 🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭 Nyie Watanzania mkiendelea na akili hizi hamtaendelea kamwe.
  11. Richard

    JamiiForums Tanzania Nimemsikiliza DG wa MOFAT, ni Mtanzania, msomi na ameeleza uzuri kuhusu mradi na kampuni yake Watanzania tumuunge mkono ataendesha mradi kisasa

    https://www.youtube.com/watch?v=Wdo4iyyC_HA Tanzania ina kila sababu ya kujivunia kwa kuwa na vijana wa aina ya huyu Mohammed Abdalah Kassim ambae ni mtoto wa mjini na mzaliwa wa Magomeni Makuti, jijini Dar-es-Salaam. Akihojiwa na TV ya Millard Ayo Mohamed amejieleza uzuri sana na kuuelezea...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nimeapply field tangu mwezi 4 bado sijapata field. Naomba usaidizi

    Habari zenu Wana JF. Nimeapply Kwa Ajili ya Field Tangia mwezi wa 4 ila bahati mbaya mpaka sasa sijapata field. Mwenye msaada anisaidie tafadhari Tunaanza field tarehe 21/7 na kumaliza tarehe 12/9 nipo mwaka wa pili UDSM Course ni BCOM IN BANKING AND FINANCIAL SERVICES. Natanguliza shukrani
  13. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Wasaidizi wa Rais: Tujenge Lugha ya Matumaini kwa Watanzania

    GTs Walioko karibu na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, tafadhali mfikishieni ujumbe huu kwa unyenyekevu na mapenzi mema: Hotuba yake ya leo kuhusu Mpina pamoja na zingine zenye mwelekeo wa malalamiko zinamharibu zaidi kuliko zinavyomjenga. Mwambieni kuwa yeye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Wito kwa Watanganyika wote wapenda haki: Tum - support Tundu Lissu na CHADEMA kwa kujitoa sadaka/dhabihu kwa ajili ya wokovu/ukombozi wa sisi sote

    Tundu Lissu Mwenyekiti wa CHADEMA ameamua kujitoa mwenyewe sadaka/dhabihu ya mateso kwa ajili ya ukombozi na wokovu wa Watanganyika wote Angekuwa ni mtu anayefanya haya kwa faida binafsi (personal benefits) ili apate vitu vya dunia hii kama fedha, vyeo, majumba, ardhi nk vitokanavyo na dhuluma...
  15. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Watanzania wenzetu mliopo Israel na Iran, ni vyema mkaondoka katika nchi hizo mapema

    Huyu jamaa alikuwa anatafutwa kuguswa kwa bahati nzuri ameguswa,
  16. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Nitahakikisha watanzania zaidi ya million 40 wanakuwa na account ambazo zipo active

    Moja ya changamoto kubwa sana ya structure ya uchumi wetu ni kuwepo kwa idadi ndogo ya watu wenye account bank na ambazo zipo active Kwa sababu hata hizo account zilizopo bado ni chache sana ambazo ni active., nyingi ni inactive account nikimaanisha mtu anaweza akawa na account na akaa hata...
  17. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Ni kipi kinawazuia watanzania kuongea siasa hadharani kama wanavyobishana kuhusu mpira?

    Mtaani siasa inazungumzwa kwa tabu sana na kwa kificho tofauti na mabishano ya mpira Mtaani watu hubishana mpira kwa uhuru na sauti kubwa tofauti na siasa, ikitokea mtu kaanzisha mada za siasa huenda akaachwa pekeake kusiwe na wakumsapoti Siasa ya Tanzania ingejadiliwa kama unavyojadiliwa...
  18. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunafikiri maendeleo ni kuwa na hela tu mfukoni kumbe hata maboresho ya huduma ni maendeleo

    Mfumo wa mahakama ni mzuri Sana Africa nzima tuko vizuri haya njoo kwenye huduma za maji.Tanzania tunaongoza kwa kusambaza maji vijijini..ndo maana baadhi ya Wazee hawapendi kusomeka TASAF kama Kaya maskini.
  19. S

    JamiiForums Tanzania Tulia na CCM kama mna busara na hamjajisahau sana mnapaswa kujiuliza kwa nini Watanzania wanafurahia uamuzi wa Mahakama juu ya kuwashitaki viongozi

    Hivi juzi Mahakama ilitoa uamuzi kuhusi sheria iliyopitishwa na Bunge kuweka kinga kwa baadhi ya viongozi kushitakiwa kutokana na mambo wanayotenda wakiwa viongozi wa Taifa. Uamuzi huu wa Mahakama umewafanya Watanzania wengi kushangilia sana. Sasa jambo la kushangaza ni pale Spika wa Bunge...
  20. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Nawashangaa wanaomshabikia Mange Kimambi ilihali wanajua 'No reforms, No election haitafanikiwa'

    Kwanza: Nashangaa kuona watu wanashadadia post za Mange Kimambi huku akilini mwao wakijua kabisa Kamwe slogan ya no reform no election haitakaa ifanikiwe itabaki kwenye page za mange kimambi tu ..huu ni ujinga. Pili. Chadema wanaamini Mange Kimambi ndiye anaye wasukumia agenda zao hii ni anguko...
Back
Top Bottom