watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya mambo ambayo Chaumma itawapatia Watanzania (sera)

    Naomba nionyeshe Furaha yangu pale chama cha kisiasa kinapokuwa kikijinadi zaidi kuliko kulalama, kana kwamba kinaonewa chenyewe tu! (kinalia lia)
  2. T

    JamiiForums Tanzania Hizi coverage za Ikulu ndio zimekosa ushawishi hivi .? Watanzania 2 tu kwa zaidi ya saa 3 .?T

    Ndugu Kwamba coverage za Ikulu ndio zimekosa watazamaji mpaka kufikia Watanzania 2 kwa zaidi ya saa 3 .? Inabidi msigwa afanye kitu, aanze kulipia viewers kama Harmoniza na Diamond walivyokuwa wanafanya
  3. M

    JamiiForums Tanzania UTAFITI: Tukikikuza kilimo kwa 10% tu tutafuta umasikini wa Watanzania kwa 50%- David Kafulila

    Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo cha ITV kwenye kipindi cha DK 45 amesema yafuatayo namkuu, " Kwanza ni kweli kwamba umasikini Tanzania haujaisha ila ni kweli kwamba Tanzania Umasikini Umepungua sana hasa awamu ya sita hapa...
  4. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Huku Ufisadi wa kutisha, Huku Utekaji, Mauaji na Unyanyasaji wa Kingono. Watanzania kweli tuna bahati Mbaya

    Wakati maisha ya Mtanzania wa kawaida yakizidi kuwa magumu huku huduma za msingi kama matibabu ya uhakika, madawa hospitalini, maji safi na salama, elimu bora na ya uhakika kwa watoto wetu vikizidi kuwa kizungumkuti hali si hali nchini Tanzania. Wakati maelfu ya vijana wakiwa hawana ajira huku...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Watanzania tutamlinda, kumpigania na kumtetea Rais Samia kwa gharama yoyote ile

    Ndugu zangu Watanzania , Watanzania Tutamlinda , Kumpigania,kumsemea na kumtetea kwa gharama yoyote ile Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Hatupo kwaajili ya CHADEMA wala CCM; Tupo kwaajili ya Kulisimamisha taifa la Tanzania na kuwapa nguvu watanzania kwa Haki

    Mpo Salama! Hakuna cha CCM wala Chadema. Hakuna cha Tundu Lisu wala Samia Suluhu! Hatumtetei yeyote na hatupo kwaajili ya yeyote. Tupo kwaajili ya Watanzania wote. Hatukubali Mtanzania yeyote aonewe. Iwe ni Mkubwa au ni mdogo. Iwe anahadhi au hana hadhi. Ndio maana tunapiga Kelele watu...
  7. ngara23

    JamiiForums Tanzania Media zetu zipo kutupumbaza Watanzania maksudi, TCRA ratibu Vipindi vyenye tija

    Nimekuwa nikifuatilia vyombo vya habari hapa Tanzania nimegundua ndo mipango mikakati wa kuwapumbaza Watanzania na kuwa Fanya masikio na akili zao yasikie mambo madogo ya kipuuzi Media za Tanzania Haiwezekani media zinatumia saa nzaidi ya 8 kuchambua Simba na Yanga kila siku, hivi mpira wenyewe...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Watanzania hatuna amani ni uoga tunadanganywa

    Watu wanafanya mambo ya hovyo kwa kisingizio ya kulinda amani na utulivu wa nchi. Najiuliza hiyo amani iko wapi kama tu ukitoa maoni unaanza kuwindwa, watu wakitekwa na kuuwawa polisi wanakaa kimya kwa kupumbaza watu uchunguzi unaendelea lakini mtu akisema ukweli polisi wanatumwa kwake kuzingira...
  9. RICH-HARD

    JamiiForums Tanzania Habari zenu ndugu watanzania

    Hope you are doing good
  10. K

    JamiiForums Tanzania Watanzania msiwe wajinga kuunga mkono mambo ya kijinga! Mtajuta huko mbele

    Watanzania kama hamjui baadhi yenu mnatengeneza nchi mbayo itakuja kuwa kama Uganda ya mtu mmoja na family yake. Ndiyo kitu mabacho hizo familia chache za maraisi wastaafu wanataka kufanya. Mkiwaacha itafika wakati hata ndani ya hiko chama kitakuwa ni ndugu na jamaa pekee. Kuna watu wanaweka...
  11. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Watanzania msimuache kiongozi wenu atekwe

    Watanzania msimuache kiongozi wenu atekwe ! hapo kwenye kanisa la gwajima. shikilieni hapo hapo msianzishe vurugu ila wakianzisha vurugu jiteteeni.
  12. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kama Mashahidi na Nyaraka za Kesi ya Uchochezi tu hawataki Watanzania muvione, Sahauni kuona Mikataba yenu ya Madini ya Uwekezaji wanayoingia kutupiga

    Naangalia hapa Jamhuri wamepeleka maombi Mahakamani kuomba shauri la Lissu la uchochezi lisikilizwe kwa usiri yaaani Mashahidi ya Nyaraka visionekane kwa Wananchi. Kama una akili vizuri unaweza fikiri kama kesi ya Uchochezi tu wanayomshtaki mtu kuongea maneno ya uchochezi ambayo yalitangazwa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wanapenda waongee Kiingereza ila cha ajabu inawapiga chenga

    Habari zenu? Tafadhali nawaomba Ndugu zangu, kama uñajua lugha haipandi usilazimishe. Kiswahili ni lugha pia. Asanteni.
  14. L

    JamiiForums Tanzania Maombolezo ya Jamii Iliyopotea: Wito wa Kurudisha Haki na Utu kwa watanzania

    Ni kweli kwamba tumepoteza wengi—marafiki, ndugu, na binadamu wenzetu—kwa mateso, mauaji, na kupotezwa bila haki. Ni picha ngumu sana kuona jamii ikizidi kuangalia mambo ya msingi kama burudani na mapenzi, huku haki, utu, na thamani ya maisha zikidharauliwa. ni kama tumelala usingizi wa pono...
  15. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Gwajima asema "Wakiingiaga kwenye Upanga wake Huwa hawatoki ' awaomba Watanzania kesho kuhudhuria Kwa wingi kesi la LISSU!!

    Huyu Gwajima ni mzuri sana kushambulia akitokea Pembeni !!. Hapoi, hachoshi, haboi !!. Haiwezekan Watekaji wajiite Polisi, alafu Polisi hapohapo Wakane kua hawateki alafu mwisho Hatupewi Report yoyote kuhusu Utekaji Ni kama Polisi ( japo nao wanamaupuuzi mengi tu) wakifuatilia Suala la...
  16. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Hii ya Gwajima ni sinema ya CCM wenyewe, kufuatilia ni kupoteza muda

    Inakatisha tamaa namna ambavyo watanzania wanashikwa akili kirahisi. Yaani idara inatumia mbinu za propaganda za enzi za USSR huko na bado zinafanya kazi dhidi ya wadanganyika. Sio bahati mbaya anaongea anayoyaongea, and nothing of substance will come out of it. Hata kama anaongea vitu vyenye...
  17. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tone Tone ya CHADEMA yaijaza mito na maziwa ndani ya siku 3. Chama kinazidi kupendwa ile mbaya na Watanzania

    Tunawashukuru Watanzania kwa kuendelea kutuchangia. Kwa siku tatu tangu msajili atangaze kukifutia Chama ruzuku tarehe 28 - 30 Mei 2025 mmeweza kutuchangia kiasi cha Tsh. 30,244,700. Tunawaomba muendelee kukichangia Chama katika malipo ya moja kwa moja na kujiunga na malipo ya kujirudia...
  18. HenrysoN

    JamiiForums Tanzania Je, Umasikini wa Watanzania ni kwa sababu ya Serikali au mtazamo wa Watanzania wenyewe?

    Watanzania wengi wanaishi katika hali ya umasikini licha ya rasilimali nyingi tulizonazo. Wengine wanaamini serikali haijawawezesha ipasavyo, huku wengine wakiona tatizo ni mtazamo wetu wenyewe: Kutokupenda kubadilika, uvivu, au kutopenda kujifunza. Ni nani wa kulaumiwa zaidi? Serikali au...
  19. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kama ningekuwa Rais haya ndo mambo ambayo ningefanya kwa watanzania

    If I could be a president. Ninge-ruhusu wagombea binafsi . Hapa Tanzania kuna watu wengi wenye akili Sana hawataki kujiingiza katika siasa kwakuwa siasa zetu zimejaa uongo mwingi na fitina majungu na michezo michafu. Kutokuwepo kwa wagombea binafsi ni hasara kwa Taifa . Tunaishia kupata...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Watanzania hawapo tayari kukombolewa. Kikawaida huwezi mlazimisha Punda kunywa maji

    Mpo Salama! Nilikuwa napitia orodha ya vijana wa Chadema na wanaharakati waliouawa, wengine kupotezwa kusikojulikana. Ni wengi. Na imechukua muda mrefu Sana. iko hivi; kwenye suala la Ukombozi huwezi komboa watu ambao hawapo tayari kukombolewa. Hata Mungu alipotuma Manabii zake, au...
Back
Top Bottom