watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. NDOTO KAVU

    JamiiForums Tanzania Watanzania wenzangu tuachane na mambo ya Gwajima ni msanii katumwa na CCM kuzima moto

    Ndugu zangu taifa la Mungu!!! Nimemsikiliza huyu ndugu jana sikumwelewa. Kwanza ujasiri wakutengeneza kundi ndani ya serikali ambalo dola halina nguvu ya kuomba msaada kwa wananchi wakati dola imekula kiapo cha kuwatumikia raia. Wenzangu tuu mashahidi hata Muliro huyo anaechukua mack na...
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wabongo ni wavumilivu sana au wanaridhika kwa hali duni na vitu vidogo tu?

  3. magnifico

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Nyatike, Kenya: “Freedom of Speech” iko Kenya pekee, ukivuka mipaka mambo yako tofauti

    "Mimi kama Mbunge wa Nyatike, tunapakana na Tanzania na Uganda. Nyatike ipo kwa kona ya Kenya kabisa, mahali ukivuka unaingia Tanzania na ukienda kidogo unaingia Uganda. Kitu ambacho hawa watu wetu walikuwa hawajaelewa vizuri, hii mambo ya freedom of speech kwa East Afrika nzima, ipo Kenya peke...
  4. X

    JamiiForums Tanzania Watanzania wameyakataa kabisa majiko ya umeme, hivi ni ujinga au ushamba?

    Gas ikiisha unasikia Watanzania wajinga wakisema "sijui kwa nini gesi lazima iishe usiku." Sawa gas imeisha usiku kwa nini usingekuwa na backup ya jiko la umeme? Utamsikia Mtanzania anakwambia jiko la umeme linatumia umeme mwingi, ok well mbona ndani una vyombo vingi sana vya umeme na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nashauri Watanzania wote tushikamane katika hili

    Jamani freedom is coming tomorrow, nawaombeni WATANZANIA wenzangu vijana tushirikiane kuliokoa hili Taifa kutoka mikononi mwa watu wachache wenye Nia ovu juu ya Taifa letu. Sambamba na hilo tuone jinsi gani tunaweza kuilinda amani yetu kwasabab ni kazi ngumu sana kuitafuta tena. Hata hivyo, ni...
  6. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kinachoitwa "AMANI" ni janja ya Wahuni wa CCM na DOLA kuendelea kuwafanya Watanzania kua Masikini, Waoga huku wao Wakijitajirisha na kuifilisi Nchi

    Si Samia na CCM yake Wala IGP , Hawa wahuni wore ni Mafisadi ,Mafisadi wa kutupwa !. Mmeona JUZI, IGP anakua na balance CRDB zaidi ya 1 Bilioni . hapohapo utamsikia muhuni huyu anakuja kukuambia "Amani Amani Amani watanzania tulinde Amani". Unaimbishwa Amani yeye Bank ana Bilioni Kadhaaa...
  7. NYAQ

    JamiiForums Tanzania Kabla Hatujachelewa: Neno Langu kwa Serikali, Upinzani na Watanzania wote

    Tanzania imejengwa juu ya misingi thabiti ya amani, umoja, na mshikamano. Hii ndiyo sababu leo tunasafiri, tunasoma, tunafanya biashara, na tunaishi bila hofu ya vita wala machafuko – tofauti na mataifa mengine yanayoishi kwenye taharuki ya kila siku. Lakini katika kipindi hiki cha mvutano wa...
  8. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Watanzania Mnao ishi nje ya nchi mna Vichwa vigumu zaidi ya Kamongo,ni kwamba hamuelewi au mmegoma kuelewa?

    Mara zote huwa nikiwakandia Hawa jamaa zetu wanaoishi nje ya nchi naonekana (ga) kama si Muungwana lakini ukweli ni kwamba,Hawa jamaa Wana Vichwa vigumu zaidi ya Kamongo ! Ninao jamaa kadhaa ambao wanaishi na kufanya kazi (Canada,Marekani, Australia & Scandinavian countries) Najua pia hao...
  9. winnerian

    JamiiForums Tanzania WATANZANIA KUMTUKANA RAISI NA KUJENGA CHUKI NAE HAIWASAIDII

    PAMBANANE NA HALI YENU KWA 100% HATA HALI IWE MBAYA SANA KUFIKIA KIASI CHA KUFA NJAA, MTAKUWA NYIE NDIO WA KULAUMIWA. KWANZA NI WAOGA WA KUDAI HAKI ZAO WAZIWAZI. NA WALE WANAOJITOKEZA KUDAI HAKI ZAO WANATUMIA NJIA ZA KIJINGA SANA. HUWEZI UKAMTISHIA MTU MWENYE BASTOLA WAKATI WEWE MWENYEWE...
  10. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Waziri wa mifugo Dkt. Ashatu anasema Watanzania mnakula Mayai 119 kwa mwaka unakubaliana naye?

    Waziri ashatu anasema watanzania mnakula mayai 119 kila mwaka unakubaliana naye au muongo huyu ? au kuna mtu anawasaidieni kula mayaiyenu hayo kati ya 119 kwa mwaka mpaka takwimu ziwe hivi ? Alikuja akawauliza mitaani au yeye mtaani haonekani wala kwenye mifugo haonekani alafu anaongea tu na...
  11. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri kwenye maandamano ya watanzania waishio marekani IMF- Pennsylvania

    Leo tarehe 23 may, kutakuwa na maandamano makubwa sana, ya watanzania,waafrika na watu wengine, katika ofisi za makao makuu ya IMF, hapa Pennsylvania. Lengo ni kukemea udhalimu, udikteta, utekaji,ubakaji,ufilaji,na kufinywa Kwa demokrasia Tanzania. Next ni office za US Senete Stay tuned
  12. W

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Vyombo vya ulinzi na usalama msiruhusu watovu wa nidhamu (wanaharakati) wa nchi nyingine kuja kutovuka nchini

    Akizungumza Leo hii Mei 19, Kwenye Uzinduzi wa Sera ya Mambo ya Nje ya Mwaka 2001 (Toleo la 2024) katika Ukumbi wa JNICC Jijini Dar Es Salaam. Rais Samia amesema wanaharakati waliodhibitiwa katika nchi walizotoka wasituharibie nchi yetu huku akivisihi vyombo vya sheria kuchukua hatua za haraka...
  13. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Ya Ramaphosa kwa Trump , CCM na DOLA tambueni , Majaribio yenu ya kuwafumba midomo Watanzania na Wanadunia , Dunia inaona, na inatunza Ushahidi

    Unakuta Mafwele kaamua tu kwenja Uwanja wa Ndege, kumkamata Naibu Katibu Mkuu CHADEMA , Et kisa asiende Ubelgiji, akienda atahutubia ,ataichafua Nchi. Genge Hilo Hilo linawakamata Waangalizi wa kimataifa Kesi ya LISSU wanaokuja kusikiliza na kufatilia mwenendo wa Kesi , Kwa kisingizio Cha...
  14. bulajunior

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko yafanyike kwa Jamii nzima ya watanzania

    Naomba namimi nichukue nafasi hii kutoa mawazo yangu: Nimekutwa nikiona na kusikia reforms ambazo zinaendeshwa na kuenezwa nchi nzima na chama cha siasa kimoja hapa nchini. Watanzania wenzangu niseme kuwa tunakotaka kufika sio kwa namna hii tutajikuta tumeumizana sana hata hao viongozi nao ni...
  15. MABATI YA SUNBAK TANZANIA

    JamiiForums Tanzania Nadhani Watanzania wote mmeshajua wapi Mbowe alikuwa akitoa hela za kuisapoti CHADEMA

    Kuna watu wenye akili ndogo mlikuwa mnasema Mbowe anaisapoti Chadema kupitia hela zake za Biashara . Ila Lissu alihoji je ikiwa Ana hela za biashara ni biashara gani hizp ambazo hazina jina. Ni vichekesho Sana wakuu nadhani mmeshajua aina gani ya biashara alikuwa anaifanya na wapi alikuwa...
  16. Superbug

    JamiiForums Tanzania Kuhamia CHAUMMA ni ujinga mwingine wa Watanzania soma hapa ujue kwanini!?

    CCM haiwezi kuruhusu CHAMA MAKINI kama CHADEMA kichukue nchi kirahisi kwahiyo CHAUMMA waliohamia huko wajue tu watatumika kama vikaragosi vya dola ila hawataachiwa wakue kufikia level ya CHADEMA hivyo wajue tu wameenda CHAUMMA kufanya usaliti na maigizo kwa taifa.
  17. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Muwape CHAUMMA Wasanii, Fedha, Magari na Helkopita, Wanaccm wahamie CHAUMMA , Oyaaaa ni kazi bure Watanzania wamekataa kudanganywa

    Yaani Ngoma inaanza tayari Watanzania wanajua CHAUMA ni mpango wa Dola na CCM !! Sana sana CCM na Dola, watatumia Pesa na Wasanii kuwajazia Chauma Makutano kutafuta kuhalalisha Ujinga na Uhuni wao waloupanga Oktoba. Sisi Watanzania Tumesema, NO REFORMS, NO ELECTIONS!!
  18. O

    JamiiForums Tanzania Baada ya kusikia Chauma, Mwalimu alitangaza kuanza operation ya CHOPA! Sasa nimejua kwamba Watanzania tunajikaanga wenyewe, Lissu ndiyo jibu la yote

    Salumu Mwalimu na Kigaila waiokuwa na wake kati ya Covid 19, sasa wameingia Chauma , Chama Cha Ubwabwa! na ghafla Wana bajeti ya kurusha CHOPA, wanaanzia kanda ya ziwa, kwa wasukuma, watajitokeza kwa wingi kushangaa CHOPA ili kuleta justification ya Chauma kugawiwa kura ili wapate wabunge ili...
  19. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHAUMMA, chama cha watanzania wote, wapenda haki na maendeleo kuanza shughuli 30/5

    Haya ndugu watanzania chama lenu, chama la nguvu, CHAUMMA, Kitazunguka nchi nzima kwa siku 16,kwa kutumia chopper maalumu, watanzania wote wakubwa na wadogo, wazee kwa vijana, wanawake kwa wanaume mnakaribishwa sana mukuje mupate sera, za chama chenu, kipenzi cha roho zenu, Sera zilizoandaliwa...
Back
Top Bottom