There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.
Hoja.
Wengi wanaogopa kusema kwa sababu hizi timu mbili Zina nguvu kubwa. Yaani kama ni Mungu basi ungekuwa Ibada lakini ukweli ni kwamba ulucifer ni hali ya juu sana.
Mimi kama Mimi sipendi serikali kuingalia soka. Hapa namaanisha hata fairness itakiwepo, nikisema serikali ni watu, viongozi...
Naamini ni wetu sote
Kariakoo- Dar watu wanalala barabarani usiku
Makoroboi - Mwanza watu wanalala nje
Arusha mjini watu kibao wanalala nje vijana jua ni lao na mvua ni yao
Kwa Sasa Kuna baridi Kali Sana Arusha nimepita majuzi na mwanza ndio usiseme!!
Nimeumia Sana Leo kuwaona mpaka...
Katibu wa Watanzania waishio nje ya nchi 'Daispora' Tanzania, Hassan Maftaha akionyesha fomu ya kuwania ubunge wa Kinondoni baada ya kuichukua leo Jumapili Juni 29,2025.
Fomu hiyo amekabidhiwa na Katibu Msaidizi wa Uchaguzi Wilaya ya Kinondoni, Amosi Richard kwa ajili ya kuwania nafasi hiyo
Sheria mama ya Tanzania ( Katiba) inasema, umri wa utu Uzima ni kuanzia miaka 18.
Sheria ya Makosa ya jinai ya Tanzania ( Penal Code), inatambua kama kosa la jinai, tendo la ngono Kati ya mwanaume mwenye umri wa mialka 18+ na msichana mwenye umri wa chini ya miaka 18,hata kama msichana huyo...
SERIKALI YAWAREJESHA WATANZANIA 42 KUTOKA NCHINI IRAN NA ISRAEL.
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefanikiwa kuwarejesha salama nchini Watanzania 42 kutoka nchini Israel na Iran kufuatia vita vilivyokuwa vikiendelea baina ya mataifa hayo mawili.
Akizungumza mara baada ya kuwapokea...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefanikiwa kuwarejesha salama nchini Watanzania 42 kutoka nchini Israel na Iran kufuatia vita vilivyokuwa vikiendelea baina ya mataifa hayo mawili.
Akizungumza mara baada ya kuwapokea Watanzania hao kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefanikiwa kuwarejesha salama nchini Watanzania 42 kutoka nchini Israel na Iran kufuatia vita vilivyokuwa vikiendelea baina ya mataifa hayo mawili.
Akizungumza mara baada ya kuwapokea Watanzania hao kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius...
Kwanini Tanzania kila Mtu anapambana Kunenepa ili aonekane Tajiri wakati 95% ya Matajiri duniani si Watu walionenepa? Chid Benz asaidiwe Kimaisha na siyo Kunenepeshwa ili asifiwe ana Maisha mazuri wakati ukweli ni kwamba bado anataabika Kimaisha mtaani.
Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama amewataka watanzania kupuuza habari zinazogaa kuwa amefukuzwa kwenye nyumba yake ya Upanga Dar es Salaam,
"Video zinazosambaa zinatumika na watu wasio na nia njema na mimi na wana lengo la kunichafua hasa kipindi hichi cha vita za ubunge” Alex Msama...
Watanzania si kwamba wanaogopa tu maandamano kwamba watapigwa virungu au kuvunjwa miguu, Watanzania ni waoga kwa asili au by nature toka kwa mumbaji wa huu ulimwengu, yaani Mungu. Mungu aliwaumba waogoa, hii sijui kwa nini alifanya hivyo. Too bad.
1. Makazini asilimia kubwa hawawezi tetea...
Mkutano wa Mhe. Balozi Mobhare Matinyi na Watanzania Waishio Nchini Norway
Lengo:
Kufahamiana na kujadiliana kuhusu masuala ya Diaspora.
Washiriki:
Diaspora wa Tanzania waliopo nchini Norway.
Tarehe: 28 Juni 2025
Muda: Kuanzia saa 8:00 Mchana hadi saa 11:00 Jioni
Mahali: Stortorvet 4, 0155...
Yaani kurudia makosa ya kuchagua wabunge kwa ushabiki wa kichama matokeo yake taifa linakuwa na bunge ambalo haliwezi kusimamia maslahi ya taifa na wananchi ni makosa makubwa.
Tusirudie hayo makosa. Nasema tusirudie hayo makosa. Maana cha moto watanzania wamekiona.
Watanzania 42 waliokuwa wamekwama nchini Israel kwa sababu ya mapigano kati ya nchi hiyo na Iran watarejea nchini leo June 25, 2025, kwa Ndege ya Shirika la Ndege la Ethiopia
Serikali ya Tanzania imesema Watanzania hao watawasili nchini katika makundi mawili ambapo kundi la kwanza limewasili...
Wanabodi
Makala yangu gazeti la Mwananchi la leo
Bunge la 12, linatarajiwa kuvunjwa hivi karibuni, hii ni makala ya kuwaomba Watanzania tusiruhusu tena Bunge lisilo na kambi rasmi ya upinzani kama Bunge hili la 12!, limekuwa ni Bunge dhaifu kutokana na kukosa meno, hivyo limekuwa kama ni Bunge...
Salaam team!
Nimezunguka sehemu kubwa ya nchi yetu baada ya kifo cha hayati John Pombe Joseph Magufuli.
Kwa ujumla nimekuta, nimeona Miradi mingi imetekelezwa, au inaendelea kutekelezwa.
Mitano mingine inamfaa.
Ukiona mtu anaona kuwa kupewa baiskeli ni ukombozi wa maisha yake magumu, ujue jamii aliyomo ni maskini sana.
Kuna wakati ada ya shilingi 20,000 na 70,000 kwenye shule za kutwa na bweni za Serikali ilipoondolewa na nchi nzima kulipuka kwa furaha, nilishangaa Sana.
Leo hii tena CCM nchi nzima...
Mimi natembelea wall yadada wa Taifa iliyopo instagram jambo ambalo linanifikirisha sana hivi wale watu ni wazima kweli wanompelekea malalamiko yao mtu anayeishi marekani hivi wanajitambua kweli mbona tun watu waajabu sana
Jambo ambalo watanzania wanatakiwa wajue hatima ya nchi yao ipo mikononi...
Wee hushangai kwann mpaka Leo Wakisimama gia yao ni Amani, CHADEMA wanataka kuleta Vita, wanataka kuleta Ushoga?, Unamsikia Wasira anasema Vijana hamjui Nchi ilikotoka, Mkoloni anatupa uhuru Nchi ilikua na Daktari Mmoja.
Unaweza jiuliza, haya yanaongelewa na MTU Mzee mwenye miaka 88?? Yaan...
Inatokea watanzania tumeamua kwa pamoja kuwa wafugaji na katika ufugaji huo tukaamua kwa umoja wetu tufuge wanyama wawili tu, NGAMIA na NGURUWE. Na kwakuwa kuna uhaba wa malisho tukaona ni vyema wanyama hawa tukawalisha kwa msimu mmoja mmoja ili kuleta usawa baina ya wanyama hawa na kupata faida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.