watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    JamiiForums Tanzania Ni kama nyuso za Watanzania zimefunguka!

    Nimefanya uchunguzi wangu binafsi nimeona na kujiridhisha pasi na shaka kwamba nyuso za watanzania zimefunguka!! Kuna ki faraja fulani ndani yao. Vijiwe vingi sasa vinaanza kuongea mambo ya matumaini. Ni kama nchi imepata uhuru vile! Kuna kitu kwa kweli kimo ndani ya hawa watanzania. Nafikiri...
  2. JamiiForums Tanzania Profesa Muhongo huna credibility ya kuwashauri watanzania kuachana na mradi wa JNHPP na usidanganye watu kuwa Hydro power zimepitwa na wakati

    Kwa hiyo wewe profesa ulietetea wizi wa fedha za Escrow kwa nguvu nyingi mpaka ukatukana watu ni matumbili leo hii unapata wapi ujasiri wa kutuambia watanzania kuwa umeme maji unachelewa kuanza kuzaa faida na umepitwa na wakati? Kwa hiyo huko Usa na China ambazo ni nchi zilizoendelea kwa kila...
  3. JamiiForums Tanzania Nawaamasisha Watanzania tuandamane kupinga Ujenzi wa Bandari Bagamoyo

    Ndugu zangu watanzania, Hii nchi sio ya Ndugai wala Wabunge, hii nchi ni yetu sote sisi na watoto wetu. Kumbukeni hatuna sehemu duniani ila hapa Tanzania. Huu ujenzi wa bandari hii ni kujifunga na kuuza nchi yetu kwa mataifa mengine. Hebu fikirieni kuna nchi mpaka sasa zimekabwa mashirika yao...
  4. JamiiForums Tanzania CAG atupe hasara ya kutotekelezwa kwa mradi wa umeme kwa miaka 50

    Iwapo maamuzi ya kujenga mradi wa umeme wa rufiji yalifikiwa miaka ya 70 ningependa kujua ni hasara kiasi gani nchi imepata kwa kutotekeleza mradi huu. Yaani kwa miaka takribani 50 CAG atueleze tumenunua umeme wa mitambo ya mafuta kwa Tsh ngapi? Je, tumeshindwa kuendeleza uchumi kwa kiasi gani...
  5. JamiiForums Tanzania Ndugai acha kuwaona watanzania ni wajinga. Kama Hayati Magufuli alipotoshwa, wewe kama Spika kwanini haukumshauri?

    Tunapoenda tunaelekea pabaya sana. Na hii ni dalili mbaya sana ya kuwepo kwa viongozi wanafiki na wasiofaa katika jamii yetu. Rais wa JMT ni sehemu ya bunge, bunge la JMT lina mamlaka ya kuisimamia Serikali na kuhoji pale serikali inapofanya ndivyo sivyo, hili lipo wazi kabisa kwa mujibu wa...
  6. JamiiForums Tanzania Mtu kama Makonda ashukuru sana Watanzania siyo watu wa kisasi

    Kwa jinsi alivyokuwa aki behave that time. Na kudhalilisha watu kwa kebehi na kiburi sasa mambo yamebadilika sana kwa upande wake. Ingekuwa Wananchi wa nchi nyingine wangekuwa wameshamlipa Ujira wake. Ule ubabe na kiburi chake akitumainia Ngao ambayo kwa sasa sidhani kaka bado anayo. Nakwambia...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya simu yadharau agizo la Serikali (TCRA)

    Mpaka sasa hivi makampuni ya simu yanaendelea kuuza vifurushi kwa bei ileile onevu ambayo ililalamikiwa na wananchi hapo jana. Licha ya Serikali kupitia TCRA kuagiza usitishwaji wa viwango hivyo, bado makampuni hayo yamekaidi na yanaendelea 'kuwaibia' wananchi kwa kuuza bando kwa bei ambazo...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu: Tutalichukulia kwa uzito suala la COVID-19

    Rais Samia kuunda kamati kushughulikia COVID 19. Amesema ataunda kamati ya kushughulikia kitaalamu. Amesema hatuwezi kujitenga kama kisiwa, lazima tuunde kamati ijulikane kama tunakubali au tunakaa na si kusikia habari tu za nchi nyingine na ikifika kwa Tanzania hamna kitu. Rais Samia...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Rais Mpendwa Mama Samia ameshaonyesha Kutupenda Watanzania, hivyo na Sisi tumuonyeshe Upendo Wetu Kwake kwa Kumfanyia yafuatayo...

    1. KUFANYA KAZI KWA BIDII Kama kila Mtanzania atajituma popote pale alipo kwa Kufanya Kazi kwa bidii ili Kujiletea Maendeleo yake na ya nchi nina uhakika itakuwa ni Zawadi yetu tosha kwa Mama Rais Samia. 2. TUPENDE SANA KULIPA KODI Watanzania tusijidanganye na tusidanganywe hakuna nchi...
  10. JamiiForums Tanzania Watanzania ni watu wa matukio, tumeshasahau kuwa vifurushi havijashushwa na walioshusha kuna uhuni pia

    Sasa upepo wote umehamia kwa Samia, tumesahau kabisa kua serikali imetoa agizo lakini hadi leo kuna mitandao haijatekeleza na hata. Tunataka ile menu ya zamani, kwa nini hatuna ajenda yani tunafuata tu upepo? Tunakubari vipi? Yaani ulikuwa unanunua GB 7 elfu 10 kwa mwezi, leo unapewa GB 2.5...
  11. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia yenye tabasamu kwa watanzania iliyo beba kiza cha maendeleo ya nnchi

    Nampongeza mama kwa hotuba nzuri yenye kuleta tabasamu kwa maisha ya watanzania kwani hotuba yake imejaa maneno ya faraja kwenye maisha ya watanzania hasa sisi wa kipato cha chini mama kagusa sehemu muhimu na nyeti kaona kua sisi wananchi wachini hatuna hela mama kaaidi kuweka mazingira mazuri...
  12. JamiiForums Tanzania Watanzania tuviunge mkono vyama vikubwa viwili vya kisiasa kwa maendeleo ya nchi yetu

    Hotuba ya mama imenikosha sana. Nina imani watu wengi imewafurahisha na wanamwombea asibadirike bali azidi kuboresha zaidi. Kila mtanzania mpenda maendeleo na uhuru wa kweli anataka kiongozi msikivu na anayejali sauti za watu. Tanzania ni yetu sote na wote tunastahili kufaidi mema ya nchi yetu...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Watanzania tufanye nini kuiondoa nchi yetu mikononi mwa madalali na wapigaji?

    mpaka sasa sielewi dr. magufuli kafa kivipi? mtu aliejipambanua kutetea na kulinda mali za nchi bila kupepesa macho. inaonekana wale wabaya wake. mimi nawaita madalali wa upigaji wanafurahia sana kutokuwepo kwake. nchi hii ilishaibiwa sana. kongo ya felix tshisekedi inaibiwa usiku na mchana...
  14. JamiiForums Tanzania Watanzania ni watu wepesi na rahisi zaidi kuwaongoza

    Dikteta anaweza ongoza, Mzembe anaweza kuongoza Asiejali anaweza kuongoza nk, Nadhani uhuru wa kupeana mezani yaweza kua sababu, viongozi wanajiona kama malaika, wakishafanikiwa wao wengine hawana maana, mambo yanafanyika na hayatolewi majibu na hakuna anae wajibika, kila kitu ni drama na...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Orodha ya watanzania wanaofaa kushika nafasi ya ukurugenzi TPDC

    Hii ndio orodha ya watanzania wanaofaa kushika nafasi za ukurugenzi TPDC. Mimi naanza na hawa wawili 1. JAMES MATARAGIO 2. JACKSON DULLE Huyu bwana hii ndio CV yake, na sina hakika kama Tanzania wanaweza kumlipa. Namempendekeza huyu bwana kwasababu ana exposure na makampuni ya...
  16. JamiiForums Tanzania Kuhusu vifurushi: TCRA, Ndugulile na Serikali mmetufanya Watanzania kama watoto wadogo

    Wanabodi mnakumbuka mwezi wa pili walipandisha bei za vifurushi, tukalalamika zipunguzwe wakatuahidi mwezi wa 4. Mwezi wa 4 vimepanda zaidi tumepiga kelele wameturudisha kwenye bei zilezile za mwezi wa pili tulizokuwa tunazipigia kelele, nasi bila kujua tunashangilia. Kifupi Serikali...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini tunahoji uraia wa Watanzania wenye majina ya asili ya Burundi/Rwanda na si nchi nyingine?

    Kumekuwa na tabia ya kuhoji uraia wa Watanzania wenye majina yanayofanana na ya nchi za Rwanda na Burundi, kwanini hatuhoji uraia wa watu wenye majina yanayofanana na Wajaluo wa Kenya au Wamakonde wa Msumbiji, au Wamalawi, Zambia au majina ya Kiarabu na Kizungu? Hapa napata uelewa kwanini...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri Ndugulile kama hapo awali ulibaini watanzania wanaibiwa kwa nini urudishe vifurushi vya awali?

    Ndugu Faustine Ndugulile hapo zaidi ya miezi minne ulikuwa unashughulikia kero zinazo wakabili watanzania hasa juu ya wizi wa vifurushi vya simu. Maana watu wengi walikuwa wakilalamika kuwa wakinunua vifurushi hata kama hawajatumia sana vilikuwa vinateketea kama karatasi inachomwa moto...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Watanzania, ona nchi yetu ilikokuwa imefikishwa kwa sheria kandamizi, nikosa lakini linastahili kuingizwa kwenye kutakatisha fedha? (money laudering)

    Selling charcoal and money laundering My aunt was found selling charcoal without a permit to sell or buy forest produce. At the time of her arrest she had already sold a number of bags of charcoal and had some amount of cash in her poach. She is now being charged with selling forest produce...
  20. JamiiForums Tanzania Vita isiyoisha ya wenyewe kwa wenyewe ndio inayofanya Watanzania kuwaogopa Warundi hata jamaa zao wa karibu?

    Siasa za Tanzania haziishi mambo but this one is very serious. Tanzania imepakana ki jeografia na nchi 8 lakini ni nchi mbili tu Watanzania wana wasi wasi nao sana. Fikiria Kwanini Rwanda na Burundi? Kiasili hizi nchi zimezalisha watu wakatili sana, angalia Rwanda Genocide and the like...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…