watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia usikubali awamu ya 6 kudharaulika kupitia makundi ya wahalifu

    Nimecheka sanaa kusikia Makundi yafuatayo ya wahalifu hapa nchini mwetu yamepata ahueni ktk kipindi Chako cha uongozi na kukusifu mitandaoni Na kwenye vijiwe mitaani. Si hivyo tu bali mpaka kwenye baadhi ya watumishi wachache. Vyeti feki Madawa ya kulevya Majambazi Wahujumu uchumi wezi wa...
  2. JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: Serikali mmetunyima watanzania nafasi ya kumuombea baba yetu alipokuwa anaumwa

    Mwanasiasa mkongwe, Dkt. Wilbroad Slaa akiwa kwenye kongamano la kusheherekea urithi wa falsafa ya hayati Magufuli ameongelea mambo kadhaa ikiwemo serikali kuwanyima taarifa na fursa ya kumuombea Magufuli. Pia Dkt. Slaa amewapongeza watanzania kwa walivyoonesha upendo wao na kushikamana kama...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan, umesahau Watanzania wanaitaka Katiba Mpya au ni hofu tu?

    “Rais Samia Suluhu Hassan, umesahau watanzania wanaitaka katiba mpya au ni hofu tu?” Katika nchi yoyote, msingi wa uendeshaji wa nchi unategemea Katiba. Katiba ni sheria kuu/sheria mama katika nchi yoyote. Sheria nyingine zote zinategemea au zinatungwa kwa mujibu wa Katiba. Wakati mwingine...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna Watanzania ni makatili sana na hawana upendo kabisa. Wanafurahia nini kuona dunia ikikosa amani?

    Nchi ina mijitu ina roho mbaya hii sijapata kuona. Watu wanauana huko Ukraine 🇺🇦, watu wanashangilia utadhani mechi ya mpira wa Mrs Simba na @mr Yanga. Hawa wanajiita team Ukraine 🇺🇦 wakiongozwa na Mkenya anayetamani sana kuwa Mtanzania MK254 , na pia kuna team Russia 🇷🇺 inayoongozwa na...
  5. JamiiForums Tanzania Ni kweli Watanzania wanahitaji Katiba Mpya?

    Ni kweli watanzania wanahitaji katiba mpya? Kabla ya kuanza kutekeleza hitaji la katiba mpya, ni lazima tujue watanzania wangapi ni wahanga wa katiba ya Sasa. Tukishajua wako wangapi ni lazima pia tujue pia muamko wao pia. Kupitia muamko huo, tutapata kujua uelewa wao wa katiba iliyopo...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Majirani zetu wanazo The so called 'Tume Huru', hawana migogoro? Auliza nini kinafatwa kwenye tume huru

    Rais Samia akiwa anapokea ripoti ya kikosi kazi alichounda ameongelea Tume huru ya uchaguzi na kuhoji uwepo wa kuendelea migogoro kwenye nchi za jirani zinazotajwa kuwa na tume huru. Rais Samia ametaka kujua 'Definition' ya tume huru na ipi kiu itakayopatikana kwenye tume huru. ====== Samia...
  7. JamiiForums Tanzania Askofu Kasala awataka Watanzania kusimamia ukweli, haki

    Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Flavian Kasala amewataka Watanzania kusimamia ukweli na haki katika kumuenzi Rais wa awamu ya tano, hayati John Magufuli. Askofu Kasala ametoa rai hiyo leo Alhamisi Machi 17, 2022 kwenye ibada ya misa ya kumbukizi ya mwaka mmoja wa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania TANROADS mnatufedhehesha Watanzania

    TANROADS kwa maaana ya Wakala wa Barabara Nchini Tanzania kwa hakika mmefanya kazi kubwa sana ya Ujenzi wa Barabara, Madaraja na sasa mnajenga Flyovers katika maeneo kadhaa. Lakini pamoja na juhudi zenu kubwa kuna maeneo matatu ambayo mnatufedhehesha kwa kiasi kikubwa. 1. Mmejenga Daraja la...
  9. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz ahoji kwanini Ali Kiba (mkongwe) hana media yake? Atoa onyo kushindanishwa na wasanii wa Tanzania 'ni wadogo sana kwake'

    Akihojiwa kwenye kipindi cha the Switch, Wasafi FM, alisikika akisema "huyo (yaani Ali Kiba) yupo kwenye game muda sana, mbona sasa hana media yake?" Diamond akaendelea "mimi kunilinganisha na wasanii wa Tanzania ni kuwaonea hao wasanii, kwa maana hawaniwezi, sababu mimi kwanza nna talent...
  10. JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Nehemia Mchechu: Tunamchekea Rais Samia, lakini hapa ameonyesha udhaifu mkubwa

    Ni aibu kwamba nchi ambayo tuliaminishwa kwamba watu fulani ni wezi ni watendaji wabovu sasa wanarudishwa kwenye nafasi zao, utadhani hakuna kilichofanyika. Yawezekana kweli walionewa, lakini iweje Rais wa nchi awarudishe kwenye nafasi zile zile bila maelezo kwa wananchi? Hii haina maana...
  11. JamiiForums Tanzania Watanzania tunaomba kujuzwa ujenzi wa meli mpya "Hapa Kazi Tu" umefikia wapi na mwisho wa mkataba ni lini?

    Mama na serikali yako mnaulizwa na watanzania juu ya ule ujenzi wa meli mpya "MV Mwanza" Hapa kazi tu iliyokuwa ikijengwa pale Mwanza ni nini kinaendelea kwa sahivi. Ile meli ilitakiwa kubeba abiria 1200 na mizigo tani 400, ni meli ya safari kati ya Mwanza, Bukoba na Entebbe. Tunajua ujenzi...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Imekaaje Watanzania wengi kuwasilisha kuuza figo zao Muhimbili kisa umaskini?

    Mbona kama jamii watu wamefika huku, nini kimefeli, kwa nchi yenye madini ya kumwaga, ardhi kubwa yenye rotuba nzuri kote, vivutio bora Afrika vya kitalii na mazuri mengine mengi. Tatizo nini haswa?
  13. JamiiForums Tanzania Mbowe, Mangula, Mbatia, Lipumba na Duni kushiriki Mkutano wa Kitaifa wa Haki, Amani na Maridhiano

    Amepiga mahesabu na kuona kuwa amepoteza mengi kwa muda wa miezi nane. Amepiga hesabu juu ya biashara zake zilizopo Dubai, Joburg na Mashamba ya maua na mbogamboga na kuona sasa bora ajisalimishe kwa wanaCcM na kuwa nao ili alinde biashara zake. Huyu kiongozi wetu ni mtu wa kujali matumbo...
  14. JamiiForums Tanzania Ukatili wa kijinsia ni ‘sumu’, Watanzania wapewa somo la utayari wa kutoa taarifa

    Jamii imetakiwa kuwa tayari kutoa taarifa za matukio ya ukatili wa kijinsia katika jamii ikiwemo ukeketaji kwa watoto wa kike ili kuleta usawa. Hayo yameelezwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Amon Mpanju wakati akifungua Kongamano la Kitaifa...
  15. JamiiForums Tanzania FULL TEXT: Hotuba ya Freeman Mbowe kwa Watanzania na Baraza la Wanawake Chadema Iringa 08/03/2022

    HOTUBA YA MBOWE Kama mjuavyo, nimerejea uraiani toka Gerezani siku nne tu zilizopita. Nawashukuru sana kina Mama wa Chadema kunialika kuja kuwasalimia wakati mkiadhimisha siku yenu maalum. Ukiondoa kundi dogo sana, tena tuliloliamini lakini likakiasi Chama kwa vipande vya fedha, Wanawake...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania ya Maridhiano ni Ushindi wa Watanzania

    Tupo katika kipindi cha kuliponya Taifa, kutafuta maridhiano ya kitaifa, kuujenga na kuumirisha umoja wa kitaifa. Katika kufika hapo, wapo majemedari wa mstari wa mbele. Katika kufika hapo, wapo walioumia, walioteseka, waliotoa uhai, waliopotezwa, n.k. Lakini tukitaka kuwa washindi wa kweli...
  17. JamiiForums Tanzania VIDEO: Watanzania tufanye yote lakini tusifike hatua ya kupuuza familia na kuishi maisha ya kipweke kama haya yanayotokea Japan

  18. JamiiForums Tanzania Tanzania kuna familia ambazo zinaishi kifalme bila Watanzania kuzifahamu au wamepiga kimya tu

    Unakuta kwenye familia moja baba ni Rais mstaafu, mama ni mbunge na mtoto ni mbunge na ni naibu waziri, hii familia inahitaji shamba kwa ajili ya kulima chochote au ni kuitegemea serikali tu? Familia nyingine unakuta baba ni Rais mstaafu, Mtoto ni Rais na Watoto wengine wawili ni wabunge hii...
  19. JamiiForums Tanzania Jeshi la Urusi kuwapokea Wanafunzi Watanzania waliopo Ukraine, wapewa maelekezo maalum ili warudishwe Tanzania

    Ubalozi wa Tanzania uliopo Urusi umetoa taarifa juu ya njia ambazo wanafunzi Watanzania walipo katika Chuo cha Taifa cha Sumy Nchini Ukraine wanazotakiwa kutumia pamoja na namba za simu kwa ajili ya mawasiliano wakati watakapokuwa wanaelekea sehemu salama kupokelewa. Wanafunzi wanatakiwa...
  20. JamiiForums Tanzania Watanzania waliokwama Ukraine kusaidiwa kuondoka na Russia kutaichafua Sana nchi kipindi ambacho Russia inatengwa na Dunia

    Sijui Diplomasia ya Tanzania ikoje. Jambazi anavamia sehemu. Alafu unaruhusu akuondoe wewe ni kuonesha taifa halijui Nini Cha kufanya wakati gani. Kipindi ambacho Tawala za Afrika zenye democracy uchwara, Ubabe na uonevu mkubwa kwa wakosoaji wa viongozi zikijizuia kulaani uvamizi. NI ishara kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…