watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Je, Watanzania kushangilia vita ya Ukraine na Russia kama mpira wa miguu ni mapungufu ya akili?

    Ukipita Facebook, Twitter, Instagram au kwenye usafiri wa umma utakuta watu wako wanabishana nani atakuwa mshindi na kufurahia kipigo anachokipata Mrusi au Ukrainian. Je, ni umaskini wa akili au mali ndio hupelekea watu kushangilia mauaji? Kuna uwezekano kama mbongo angemiliki nyuklia dunia...
  2. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Fatma Ferej: Ni Faraja Kwetu Serikali Kupitia ATCL Kwenda Kuwachukua Watanzania Wenzetu

    Chama cha ACT Wazalendo kimepokea kwa faraja hatua ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwanusuru Watanzania walioko nchini Ukraine nchi ambayo iko vitani na Urusi. Taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imesema Serikali inachukua hatua za haraka...
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Watalii wapatao 1000 kutoka Ukraine wadaiwa kukwama Zanzibar

    Serikali ya Zanzibar imesema inashirikiana kwa karibu na ubalozi wa Ukraine uliopo nchini Kenya kuangalia ni namna gani itawasafirisha watalii wa Ukraine wapatao elfu moja ambao hivi sasa wamekwama kisiwani humo baada ya kuzuka kwa vita kati ya Urusi na Ukraine. Leila Mohammed Musa, ambaye ni...
  4. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Watanzania tujiulize: Ikiwa sisi ndiyo wenye mali, nini kinatukimbiza nje kutafuta wa kuja kuzila (eti kuwekeza)?

    Watanzania wenzangu, kuna kitu hakiko sawa! Tutachanganyiwa lugha zote kuwa tunafungua nchi kumbe kuna hila ndani yake. Sikubaliani kabisa viongozi kuzunguka dunia nzima kuomba pesa na uwekezaji. Tunajidhalilisha! Tuna bunge, Mawaziri, Wasomi, Wanasiasa, Wafanyabiashara maarufu nk...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi; Watanzania wengi hujisaidia haja ndogo kwenye makopo usiku

    kwema Wakuu! Tuachane na mambo ya Ukraine na Urusi. Leo sitaki kupotezea muda watu. Moja ya mambo yaliyonishangaza tangu nilipotoka nyumbani miaka 10 iliyopita ni kuona wakazi wengi kuwa na tabia ya kukojolea kwenye makopo au ndoo nyakati za usiku. Hivi inakuwaje mtu alale na Mikojo wakati...
  6. Brodre

    JamiiForums Tanzania Je, ni muda wa Watanzania na waafrika kuamka?

    Mwaka 1941 wakati wa vita ya pili ya dunia tuliona wapolish wengi walikimbili Africa kama wakimbizi na tuliwapokea kwa mikono miwili. Janga la corona tumeona Waafrica wanavochukuliwa. Sasa hii imetokea mpakani mwa Poland waafrica wanazuiwa kuvuka mpaka kuingia poland kutoka Ukraine wakati wa...
  7. figganigga

    JamiiForums Tanzania Watanzania Tunashukuru Mungu kwa kutupa Rais Samia, yule Baba angetutoa roho

    Salaam Wakuu, Pamoja na mapungufu ya mambo ya vyama vya Siasa na Malalamiko ya Demokrasia, safari hii nafuu kuliko wakati ulopita. Rais Samia anaiongoza Tanzania. Na hatoki kwani bado anautamani Urais na ziara za hapa na pale. Watu wanaojipanga kumtoa kwenye kiti chake kwa karatasi...
  8. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kiingereza cha Watanzania wengi ni cha kuandika, kusoma na kuongea kwa kusoma maandishi. Tatizo ni kusikiliza, kuelewana na kuongea freely

    Kiingereza cha watanzania wengi kinawasaidia na kinaishia kwenye kuandika status, kuelewa kilichoandikwa kwa kiingereza mfano magazetini na pale kinapotumika kuongea kwa kufatiliza maneno ambayo yameshaandikwa kwa mpangilio kwamfano kutoa hotuba kwa kufatiliza speech iliyochapishwa kwenye...
  9. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatoa tamko la muongozo kwa Watanzania waliopo Nchini Ukraine

    Serikali ya Tanzania imesema kuwa hakuna Mtanzania ambaye amepata madhara yoyote nchini Ukraine kutokana na taifa hilo kushambuliwa na majeshi ya Urusi, ambapo imewataka kuzingatia maelekezo kutoka kwa mamlaka za Ukraine. Aidha, wametakiwa kuwasiliana na Ubalozi wa Tanzania Nchini Sweden ambao...
  10. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kupitia wakati mgumu CHADEMA inazidi kuimarika mioyoni mwa Watanzania

    CHADEMA ipo mioyoni mwa watanzania. CHADEMA inapitia magumu ya kipesa na hata ya kukandamizwa na wenye dola. Lakini inaimalika kila siku, na uzuri inaimalika ndani ya mioyo ya watanzania. Watanzania wana imani na chama makini chenye nia ya kuleta mabadiliko ya kiuchumi na kisiasa.
  11. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Watanzania tusithubutu kuingilia mambo ya akina Putin kwani ni ndugu yetu kabisa

    Hii iwafikie viongozi wetu, Tusije kubali kujiingiza kwenye issue za akina Putin kwani Putin huyu ni ndugu yetu kabisa. Tumeishi naye Bagamoyo, alitufundishia ma freedom fighters. Hivyo sisi tuwe silence tu wakati mtu ananyodolewa huko. Kapicha haka hapa.
  12. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanaoishi Ukraine wazungumza kuhusu hali ya hofu iliopo

    Mtanzania aliyeopo Ukraine aeleza jinsi hali ilivyo katika mji wa Kharkiv ambapo anasoma masomo yake ya udaktari bingwa. Akizungumza, Dkt. Evans Liseki. Amesema milipuko kadhaa imesikika na. wameamriwa kukaa ndani na mamlaka hivyo ameshindwa kuhudhuria masomo. Vladimir Putin alitangaza...
  13. Man from cuba

    JamiiForums Tanzania CCM inawakosea sana Watanzania

    Chama cha mapinduzi kimezindua chuo chao cha uongozi wiki hii kilichojengwa kwa kushirikiana na vyama rafiki barani Africa kwa ajili ya kuwapika au kuwafunda viongozi watarajiwa wa nyadhifa mbalimbali serikalini. Kimsingi lengo au dhumuni lolote la kuanzishwa chama chochote cha siasa ni...
  14. Quimica

    JamiiForums Tanzania Watanzania walioko Ukraine watakiwa kurudi Tanzania

    Habari za jioni wana Jamii Forums, kwa kweli nimeona suala la ndugu Watanzania walioko Ukraine kutakiwa kurudi Tanzania na wengine kutolewa na mataifa yao sababu kubwa ni nini? Putin anahusikaje? Tujuzane. Maestro de Quimica!!OP
  15. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Serikali, Wizara ya Mambo ya Nje inawasaidiaje Watanzania walioko Ukraine?

    Wakati Mataifa ya watu US, Uingereza, Ujeruman, Israel yakiendelea kuwataka RAIA wake watoke Ukraine. Ni wazi pia kuna Watanzania walioko Nchini Ukraine kimakazi, kikazi, kimasomo n.k Mnawasaidiaje sasa, Hasa kwenye kipindi hiki cha mgogoro mkubwa ambao muda wowote Vita inaweza kutokea? Au...
  16. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Maulid Kitenge, huoni aibu kuwasaliti Watanzania wenzako? Hatimaye ukweli umefichuka

    =========================== Mwanzoni mwa mwezi huu wa pili 2022 kuliibuka ghafla na kwa kasi ya ajabu jitihada za makusudi za kujaribu kuwaondoa wamasai katika ardhi zao za kimila huko Ngorongoro kwa madai ya kwamba binadamu wamekuwa wengi huko Ngorongoro na hivyo wanaharibu ekolojia. Vita...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Fursa za ufadhili kwa Watanzania nchi za Mauritania na Urusi

    Fursa za ufadhili kwa Watanzania Mauritania na Urusi
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuwa Watanzania wengi hawafahamu matumizi ya smartphone kiasi cha bando kutafunwa bila kutambua?

    Nimekaa na kujiuliza sana juu ya hii ishu. Maana hata kama watu huwa wanajisahau na kuacha hotspot on ndio kusema watu wote wanajisahau? Au ndio kusema simu zote huwa zina app zinazofanya kazi nyuma ya pazia kimyakimya? Bando zinayeyuka kama barafu.
  19. K

    JamiiForums Tanzania Serikali ijue ukweli CCM haina 100% ya Watanzania

    Nimekuwa nikifuatilia serikali hata wakati wa Magufuli . Tatizo moja ni serikali ya Tanzania imejiaminisha kwamba wana support ya 100% ya Watanzania. Tatizo ni moja tu huwezi kuyeyusha 30%-40% ambayo hao CCM wamesema wapinzani wamepata kura. Yaani pamoja wa wizi wote wa 2020 hakuna mtu...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Watanzania mbona tunakosa mwelekeo? Mabaya tunalalamika, mazuri tunaponda. Sasa tufanyiwe nini?

    Kwa kweli ni mambo ya kushangaza sana tukio la Lissu kukutana na mama na shangaa watu wakiponda na wengine kuingiza ushabiki wa vyama. Wote ni viongozi na wanasiasa wanachokiongelea si kwa faida yao tu, bali kwa nchi nzima au tulitaka hivi vikao vifanyike kwa hisani na shinikizo la UN au USA...
Back
Top Bottom