watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Trust me, Kama Watanzania wote tungefanya hivi tungekuwa na maendeleo makubwa na matajiri sana

    Jambo moja ambalo huwa linanisikitisha sana ni suala la Watanzania na Ulalamishi. Watanzania wanalalamika sana ila hawachukui hatua . Mimi nlijifunza kuchukua hatua toka nikiwa mdogo. Mzee alikuwa anatuchosha kila mara kutununulia nguo mpya za designers mbalimbali almost kila week. Ilikuwa...
  2. kyagata

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni kama vile mmetususia Watanzania

    Mambo ya hovyo yanafanyika hapa nchini na nyinyi mpo tu hata hamtoi matamko wala kumobilize watu tuandamane. Hali ngumu ya maisha imetawala na ndio kwanza tabaka tawala wao wanafuja mali za umma tu kutwa kuzurura na midege yetu huko angani. Nchi ni kama haina kiongozi mkuu kwa sasa kwani kila...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Filamu ya Royal Tour hazikutumika fedha za Watanzania

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amefanya mahojiano na Wasafi TV na hii ni sehemu ya nukuu zake kuhusu filamu ya Royal Tour ambayo inatarajiwa kuzinduliwa Aprili 18, 2022 Nchini Marekani: Sababu za Wamarekani kupewa tenda "Ile filamu uzinduzi wake ni Tarehe Aprili 18 na utafanyika mara...
  4. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa DSTV wanatuchukuliaje Watanzania?

    Salaam WanaJF! Hivi hawa jamaa wa DSTV (Multichoice) wanatuchukuliaje Watanzania!? Kwamba wanatuchukulia tupo vizuri sana kiuchumi, ama wanatuchukulia sisi washamba sana au inakuwaje!? Kila siku wanafanya kuzichezesha chaneli zao ndani ya DSTV, sio kitu cha ajabu kukuta chaneli yako pendwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania hatujaambiwa Ziara ya Rais Samia huko Marekani itakuwa ni ya Siku ngapi?

    Tumeishia kuambiwa tu anasafiri Kikazi nchini Marekani ila walipa Kodi ( Watanzania ) hatujaambiwa Rais wetu atakuwa huko kwa Siku ngapi. Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu hapa mmeteleza kidogo kwani Watanzania wana Haki ya kujua Rais wao atakuwa huko nchini Marekani kwa Siku ngapi hasa...
  6. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Nilitegemea kipindi kama hiki viongozi washauri baadhi ya Watanzania kutumia gesi asilia badala ya petrol kwenye magari

    Ili kupunguza gharama za maisha nilitegemea kipindi kama hichi viongozi washauri baadhi ya watanzania kutumia gesi asilia badala ya petrol kwenye magari. Gesi asilia (CNG) ni nishati ambayo hutumiwa kama mbadala wa petroli kwenye magari. Vilevile hutumiwa kama mbadala wa dizeli pia. Mfano...
  7. Khadija Mtalame

    JamiiForums Tanzania Makonda, Ita MEDIA omba msamaha watanzania

    hello wanajukwaa, hapa naongea kama mtu wa "sayari ya 78" baada ya Britanica kukupa ushauri asubuhi kuhusu hali ya usalama wa maisha yako ulivyo, nami nakuomba sana na nakusihi sana mdogo wangu Makonda acha kabisa kuwaomba ushauri hao wazee wa chama unaohisi watakusaidia, mfano:leo umekutana...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la uvivu wa wananchi na bunge ni vya kulaumiwa kwenye bei ya chakula

    Utamaduni wa uvivu ndiyo umesababisha tatizo kubwa la bei ya Chakula. Hakuna sababu ya Tanzania kuagiza mbolea, ngano, mafuta ya kupikia na sukari. Uvivu huu sio kwa Tanzania nzima lakini mikoa ya pwani, kati na mashariki inaongoza kwa uvivu. Vijana wanataka kukaa mijini tu bila shughuli wakati...
  9. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: 1.4% ya Watanzania bado wanajisaidia vichakani

    Waziri wa afya amesema kuwa idadi ya Watanzania wanaojisaidia vichakani imepungua kutoka asilimia 5.7 hadi 14 Desemba 2021. Ameyasema hayo leo Jumatatu, Aprili 11, 2022 wakati akitaja mafanikio yaliyopatikana kupitia kampeni ya Nyumba ni Choo kwenye kilele cha maadhimisho ya miaka mitano ya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya sekta ya nishati ni tatizo la Serikali, kumtwisha Januari Makamba ni kutufanya watanzania mazuzu!

    Imekuwa kawaida Kwa Chama Tawala, kujikita ZAIDI kwenye Siasa za Uchaguzi kuliko kuangalia utatuzi wa chaangamotto na kuondoka umaskini! Sekta ya Nishati ni mojawapo ya Eneo ambalo Vita vya Wana CCM hupigwa vizuri sana, Kila unapoekea Uchaguzi! Leo nimemsikiliza Karibu Mkuu wa CCM ,nimebaini...
  11. data

    JamiiForums Tanzania Hawa vijana unaweza fikiri sio watanzania kwa wimbo huu bora kabisa wa kumuenzi Nyerere - Dear Nyerere

    Hongera sana kwao! Miaka mia ya Nyerere imechagizwa vyema kabisa na wimbo huu, napenda kulifahamu zaidi kundi hili.
  12. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tulifika uchumi wa kati tukarudishwa, tupambane turudi tulikokuwa

    “Tanzania yetu ilikwenda tukafika uchumi wa kati tukarudishwa, kwa uwezo wa Mungu wala si uwezo wa mtu, sasa hivi kazi yetu ni kupambana kurudi tulikokuwa tusije tukarudishwa tukaambiwa hamfai tena kukaa hapa, tupambane turudi kule. “Na kwa mipango na jinsi ninavyoiendesha Serikali nina imani...
  13. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Mbio za Mwenge: Wakimbiza Mwenge watumie vigezo vya kitaalam kukagua miradi

    Katika miaka ya karibuni tumeshuhudia mambo ya ajabu katika ukimbizaji mwenge wa uhuru. Wakimbizaji mwenge siku hizi wamegeuka kuwa TASK FORCE ya ukaguzi wa miradi. Sina uhakika kama wakimbiza mwenge ni wahandisi au wataalam wa kukagua miradi na usimamizi wake. Kama picha hapo juu eti mkaguzi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania hatujui wajibu wa Viongozi wetu, au tumeweka vigezo vya chini kuwapima

    Mada hii aliwahi kuandika... Prof.Mkumbo (kabla hajakengeuka!) kuwa tumeweka viwango vya chini mno kuwapima viongozi wetu! Ukifuatilia mijadala inayoendelea hapa nchi kuhusu masuala nyeti kama umeme, maji, kilimo, nk utabaini jambo hili! Mfano mdogo tu, ni lawama zinazoelekezwa kwa Januari...
  15. Mchokozi wa mambo

    JamiiForums Tanzania Rais tunaomba usikilize vilio vya watanzania, mfumuko wa bei ni mkubwa mno

    Ni Tanzania pekee duniani mfanyabiashara anaweza kupanga bei aitakayo bila kujali chochote Serikali kupitia waziri wa viwanda na biashara angalieni mfumuko wa bei nchini hasa bidhaa za msingi ni mkubwa mno. Ukiuliza kila kitu unaambiwa ni sababu ya vita ya Ukraine na Urusi. Sio kweli...
  16. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Ole Mushi: Watanzania tumejipangaje kuipokea Congo kwenye EAC?

    DRC imeingia kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki. Imekuja na vitu vifuatavyo:-. 1. Imekuja na Population ya Watu Milioni 92. Idadi hii ya watu itaifanya Jumuiya yetu sasa kuwa na Population ya watu milioni 289. Congo pekee inachangia zaidi ya Robo ya Population yote ya EAC. Inaingiza Asilimia...
  17. BigTall

    JamiiForums Tanzania EWURA: Hifadhi ya Petrol ya iliyopo Tanzania ni ya siku 27, jiandaeni kwa bei mpya Jumanne Aprili 5, 2022

    Watanzania wametakiwa kukubaliana na hali halisi kuhusu bei mpya ya nishati ya mafuta ikiwemo Petrol, Diesel, Mafuta ya Taa na Ndege ambayo itatangazwa Jumanne ijayo Aprili 5, 2022 Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), Mhandisi Godfrey Chibulunje amesema kupanda...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tafadhali tukimaliza 'Ngonjera' za 'CCM Madili' huko Dodoma, turudi tuwape Majibu ya kutosha Watanzania juu ya Mafuta na Maisha magumu

    Kuna Watu wamenishangaza na Wananishangaza sana hivi Watanzania sasa wanalia juu ya Gharama za Maisha kupanda huku Bei ya Mafuta ya Kupikia na yale ya Petrol na Diesel nayo yakipanda badala ya Chama kujipanga Kwanza Kulitatua hili kimeamua Kuitana Makao Makuu Dodoma ili Kimsifie Mtu...
  19. ABC ZA 2025

    JamiiForums Tanzania CHADEMA huenda ikaichukua karne nzima kufikia ushawishi huu wa CCM

    Mtanzania,Unaweza kujionea mwenyewe vibe hili la wananchi jijini Dodoma wakiongozwa na Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka,katika kuwakaribisha wajumbe zaidi ya 1,800 Kwenye mkutano mkuu maalumu, Hongera CCM , kila lenye heri kwenye mkutano mkuu huu maalumu,
  20. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania wengi hawamtaki Waziri wa Nishati, January Makamba?

    Ndiyo, Napitia michango mingi kutokea mitandaoni, karibu Mitandao yote inayotumiwa na watanzania, Wengi wao hawataki uongozi wa Waziri Makamba, ni kwa nini? Mawaaziri ni wengi, lakini kwa nini iwe ni Makamba pekee asiyetakiwa na watanzania wengi? Hata hivyo, wizara hii anayoiongoza, mawaziri...
Back
Top Bottom