watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania India inatoa huduma bora ya afya au ni kipato cha Watanzania hakimudu gharama za kutibiwa mataifa mengine?

    Habarini wakuu, naomba kuelimishwa juu ya mada tajwa hapo juu. Tumezoea mara nyingi Watanzania wakikosa huduma fulani kwenye hospitali zetu za ndani basi kimbilio lao ni India, hii inamaanisha katika mataifa yote duniani India imekuwa namba moja kwenye masuala ya afya au vipato vya Watanzania...
  2. JamiiForums Tanzania Watanzania wengi akili zao ni kama za watoto wadogo. Unapowaeleza jambo elezea kama unamueleza mtoto mdogo.

    Umewahi sikia kitu kinachoitwa The curse of knowledge(Laana ya maarifa)? Ni ile mtu anafikiri kuwa maarifa aliyonayo au mambo anayoyafahamuu basi kila mtu wa kawaida anayafahamu. Hii inapelekea watu wengi wenye maarifa na wasomi waonekane hawawezi kujieleza au kuongea kwa ufasaha, au...
  3. JamiiForums Tanzania Kulikoni Watanzania kushambulia DP World?

    Sahivi kwenye page ya DP world ya Instagram hapatoshi, Watanzania wanaporomosha matusi hatari kwenye page za Waarabu. DP world kazi wanayo.
  4. JamiiForums Tanzania Kunywa Pombe kali na kucheza kamari za Kichina hazisaidii, nchi inaibiwa. Watanzania mnatakiwa kuamka

    Naona mnakomaa kulewa Pombe kali huku mkishinda mnacheza kamari. Hii ni dalili kuwa Watanzania mmekata tamaa na mmeacha wanaoiba mali zenu wawaibie wanavyotaka Hivi mnadhani hii ndio suluhu. Mbona Ndugai aliwapa angalizo kuwa nchi itapigwa mnada mkapuuza au sio nyie?
  5. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Tanzania huwachukuliaje watanzania?

    Mramba - Aliwahi kusema watanzania wale hata nyasi lakini ndege itanunuliwa. Katambi - Kijana ambaye hajapata Mkopo atakuwa ni Mkenya si mtanzania. Nchemba - Asiyependa kulipa tozo ahamie Burundi. CP Andengenye - Kigoma hakuna barabara yenye vumbi. Serikali - Hakuna madhara wala hasara...
  6. JamiiForums Tanzania Bajeti yapendekeza kutoza ushuru wa bidhaa kwa kiwango cha 20% kwenye mashine za Kamari

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo June 15,2023 amewasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Bungeni Jijini Dodoma ambapo moja ya mambo aliyoyapendekeza kwenye hotuba yake ni kutoza ushuru wa bidhaa kwa kiwango cha 20% kwenye mashine za Kamari zinazoingizwa...
  7. JamiiForums Tanzania Mbowe anasema mkataba ni zaidi ya miaka 100, hauna ukomo. Ni life time

    Nilikua namsikilizambowe anasema mkataba hauna ukomo. Anasema yupo tayari kuamsha nchi nzima Kama bunge litapitisha Leo nimeona ameongea kwa hisia sana. --- "Watu wengine wanasema mkataba ni wa miaka 100, kwa mujibu wa mkataba huu unaweza kuwa miaka 200, huu mkataba hauna mpaka. Waliosema...
  8. JamiiForums Tanzania Na sisi Watanzania tufanye nini kuhusu DP World?

    Watanzania tambueni haya kuhusu DPW:- Eneo lihitajilo wafanyakazi 100 kwa kawaida Dubia Port hupunguza na kubaki 2 pekee hii ni kwa sababu ya mifumo ya TEHAMA. Tarajieni CEO na wasaidizi wake wahindi kama ilivyo mahali pengine palipo wao. Wenye maroli wajiandae kulia maana wale CEO's wa DPW...
  9. JamiiForums Tanzania Kardinali Pengo: Ni kweli Watanzania hatuwezi kuendesha bandari yetu?

    "....huenda Serikali imeona kuna tija. Lakini najiuliza, hivi kweli sisi hatuwezi kuendesha bandari yetu wenyewe? Sielewi viongozi wetu ama wanajitafutia pesa na kuwaacha Watanzania wakididimia ama...yaani hata sielewi maana nashindwa kuelewa! "....je, pesa ni muhimu kuliko kuwajengea uwezo...
  10. JamiiForums Tanzania Kuuza lango la uchumi wa nchi ni usaliti mkubwa katika kuvunja katiba ya nchi, Bandari ni mali za Watanzania wote

    KUUZA LANGO LA UCHUMI WA NCHI AU KUTAFUTA WANAHISA NI USALITI MKUBWA KATIKA KUVUNJA KATIBA YA NCHI: BANDARI NI MALI ZA WATANZANIA WOTE HATUNA WANAHISA (SHAREHOLDERS) NA HATUHITAJI WANAHISA. WARAKA WA WAZI KWA WAHESHIMIWA WABUNGE NAKALA KWA WAHESHIMIWA VIONGOZI WA DINI NAKALA KWA TAASISI YA...
  11. JamiiForums Tanzania Vitambulisho vya NIDA vinaandaliwa wapi? Watanzania tumeshindwa na hili?

    Nimemsikiliza VIZURI waziri wa mambo ya Ndani wakati akitolea maelezo suala la VITAMBULISHO VYA TAIFA kuchelewa. Lakini katika maelezo yake nimebaini kwamba Kuna uwezekano hata VITAMBULISHO tuligawa tenda kwa makampuni ya nje. Sasa Je, watanzania na hili tunashindwa?
  12. JamiiForums Tanzania Hivi, wabunge walikuwa wanamshambulia Mbowe na kuwatishia waliotoa hoja au walikuwa wanawaelemisha watanzania faida ya hiyo IGA na Dubai?

    Kwa maoni yangu. Ni kama vipi lile bunge lilikuwa linampa Mbowe promo za kisiasa badala ya kuwaelimisha watanzania uzuri wa yale makubaliano. Ni kama vile wabunge walikuwa wanawapiga biti kali kali watanzania waliokuwa wanatoa hoja zao kuhusu makubaliano. Ni kama vile wao ndio watanzania...
  13. JamiiForums Tanzania Wanazuoni watoa tamko: Bandari ni mali za Watanzania wote hatuna wanahisa na hatuhitaji wanahisa

    Kuuza lango la uchumi wa nchi au kutafuta wanahisa ni usariti mkubwa katika kuvunja katiba ya nchi: Bandari ni mali za watanzania wote hatuna wanahisa (shareholders) na hatuhitaji wanahisa. Waraka wa wazi kwa waheshimiwa wabunge Nakala kwa waheshimiwa viongozi wa dini Nakala kwa taasisi ya...
  14. JamiiForums Tanzania Katibu TEC: Loliondo Watanzania wanateseka hadi sasa

    Katibu wa Balaza/ Baraza la Maaskofu Wakatoliki Tanzania amesema kupitia viongozi wasiowaaminifu wamewafanya wananchi wa Loliondo waishi maisha magumu kama wakimbizi ndani ya nchi yao, jambo ambalo halipaswi kurudiwa kutendwa na viongozi. Padre Kitima ameonya huenda mkataba huu wa bandari nao...
  15. JamiiForums Tanzania Watanzania tunyamaze kabisa, kuhusu bandari tumelikoroga wenyewe tulinywe!

    Nashangaa kelele ni nyingi mno kana KWAMBA mikataba ya hovyo au makubaliano yameanza leo. Kwani Samia ndio wa Kwanza kuliingiza Taifa kwenye hofu ya HASARA!? Mikataba ilianza leo!? Si tangu awamu ya pili ndio kazi Rasmi ya kuuza rasilimali vilianza! Nani aliuza loliondo!? Nani aliuza NBC...
  16. JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo: Watanzania hawapingi uwekezaji wa Bandari, wanataka Mikataba iwe Mizuri

    "Chama cha Mapinduzi (CCM) kilibadili mwelekeo wa kisera za kiuchumi na kisiasa miaka ya 90's, mojawapo ya mabadiliko ya kisera za kiuchumi na kibiashara ni kuachana na Serikali kuhodhi nyenzo za uchumi kama ilivyokuwa hapo kabla"- Mhe. Prof. Kitila Mkumbo, Mbunge wa Jimbo la Ubungo "Miaka ya...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Watanzania msiogope suala la Bandari, Marekani yupo pamoja nasisi atatusaidia

    Kwema ndugu zangu, Kama mjuavyo viongozi wetu wakeamua kutupotezea sisi tuliowapa mamlaka ya kusimamia mali zetu badala yake wameamua kuuza bandari yetu. Ila kumbukeni kiranja wa Dunia ni marekani na wana balozi zao na CIA ipo hapa nchini so kila kitu wana taarifa na wanajua effects zake hapo...
  18. JamiiForums Tanzania Watanzania tuchangamkie fursa kibao zitazokuja na DP-World

    Nimeona niwafunulie kwa uchache fursa nyingi sana kwa kila kada ambazo zitakuwepo kwa ujio wa DP World. Tafadhali kwanza someni wanayoyafanya sasa hivi DP World kwa nchi zingine za Afrika: DP World inashirikiana na CDC Group kuunda jukwaa la uwekezaji la Afrika Dubai, Falme za Kiarabu, 12...
  19. JamiiForums Tanzania Sasa taratibu naanza kuwaona Watanzania wakiwa na Akili

    Wameanza kumgomea Mwarabu, wanautilia Shaka Muunganiko Wetu na akina Feitoto, Wameshaanza Kumchoka aliyekuwa akiupiga mwingi na hawako mbali Kukichukia Chama Cha Mambuzi na Kukikaribisha kingine kipya. Hongereni.
  20. F

    JamiiForums Tanzania Nyie Wabunge wetu Hayati Dr.Magufuli aliwahi kusema Watanzania si Wajinga! Tumepigwa na Mwarabu!

    Ebu tuelezeni kwa nini uwekezaji au ubinafsishaji wa DP World kupitia Serikali ya Dubai uwekewe fensi kupitia Azimio la Bunge!? Ikitokea Watanzania haturidhiki na kazi za DP World, je Bunge litakaa tena kuondoa Azimio la Bunge kuridhia makubaliano haya! Wabunge mmekazana huu si mkataba wa kazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…