watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Utahira wa Watanzania

    Jamani hii tabia ya Watanzania na ufala unakuta mtu ana simu ya milioni mbili au anatembelea gari la mil 50 na saa ya milioni na designer suti ya million 5 na anatoka cafe kunywa kahawa ya elf 10 then anamsimamisha Muuza karanga anaomba ya mia 500 then analalamika kapunjwa???😡😡😡 kweli uyu dogo...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Je watanzania tunahitaji nini? tunafikiria na kuwaza nini? nini hatma ya nchi yetu kama mali tunazo, ardhi tunayo, je ni lini tutaondoka na kero.

    Kero kama maji, umeme, afya, elimu, ujinga na umasikini, lini tutaweza kuwa na umoja na ushikamano katika kujenga nchi, kutoa ubinafs kwa walio na nafasi, kujitegemea kupitia rasilimali zetu tulizonazo, kukataa rushwa na kutenda haki, je tunahitaji nini kama nchi ili tuweze kusonga mbele.
  3. F

    JamiiForums Tanzania Hongereni sana wafanyabiashara wa Kariakoo na nchi nzima, mmetuonesha njia Watanzania

    Watu wengi wana dhana potofu kuwa wafanyabiashara ni vilaza, wahuni, watu wasiojitambua, hawajui sheria wala kujieleza. Kinyume na dhana hii potofu wafanyabiashara mmeonesha weledi mkubwa (professionalism) kwa jinsi mlivyowasilisha na kudai ufumbuzi wa kero zenu mbele ya serikali. Mmekuwa wazi...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Lini Watanzania watajijengea utaratibu wakujiuzulu?

    Unaongoza watu, unaowaongoza wanakukataa adharani. Unaendelea kubaki ofisini ukisubiri hadi utumbuliwe kwa faida ya nani? Nchi zilizo serious ukilalamikiwa tu unakaa pembeni kwetu unang'ang'ana na ofisi for what....
  5. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania sio watu wa kudanganyika tena. Kifo cha Membe ni uthibitisho kuwa sasa hakuna utapeli

    Nani amesahau namna Kikwete alivyosafishwa na vyombo vya habari kiasi cha kuaminisha umma kuwa alifaa kuwa kiongozi ambaye atawatumikia vizuri Watanzania? Kumbe akaja kuharibu mpaka waosha magari na wasafisha viatu wakawa mabilionea kwa wizi wa mali za umma. Nani amesahau Salva Rweyemamu...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yasema idadi ya magonjwa ya ngono imeongezeka pia watu 1,612,52 wanatumia ARV’s Nchini Tanzania

    Watoto Milioni 1.5 wapatiwa chanjo Wizara ya Afya imesema hadi kufikia mwezi Machi mwaka huu jumla ya watoto 1,596,951 sawa na asilimia 98.6 walikuwa wamechanjwa chanjo ya Penta3 kwa ajili ya kuzuia magonjwa ya Dondakoo, Kifaduro, Kupooza, homa ya ini na homa ya uti wa mgongo, ambayo hutumika...
  7. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Watanzania wenzangu

    Watanzania maskini na wa hali ya Kati Km mie kwanini mnapenda kushobokea matajiri au watu wanaopiga hela ambao hawakusaidii hata kidogo? Naona mamilioni mnaowafuata Insta wenzenu wanapiga pesa za matangazo cjui promo cjui ubalozi nyie hamuambulii hata mia zaidi ya kupoteza bundle tu ambazo...
  8. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Watanzania waliopo Afrika Kusini wanafanya shughuli gani hasa?

    Nini shida huko bondeni idadi kubwa ya misiba ya vijana wa kitanzania. Nipo kwenye group hili la mabaharia naona vifo ni vingi sana watu wanaripoti mara kwa mara sasa vijana wadogo sana.
  9. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli, tatizo sugu la Watanzania ni Uoga, siyo Unafiki. Hayati Membe hakuwa muoga

    Hello JF crew! 👇👇👇 Kipekee naomba niweke bayana tatizo mojawapo kuu na sugu la watanzania ni UOGA sio Unafiki-, ifahamike ya kwamba kichuguu cha UOGA ndicho hubeba unafiki, uongo, kutojiamini na matakataka yote. Ndugu Hayati Membe alikuwa jasiri, mzalendo, na mfia nchi na mpigania taifa, kuna...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe amewakosea nini watanzania? hadi iwe hivi?

    TANGU kutangazwa kifo cha Benard Kamilius Membe kumekuwa na hali ambayo sio ya kawaida kwenye mitandao ya kijamii ya JF, Twita, Instagram, Facebook na Youtube. Swali langu kwa watanzania Membe aliwakosea nini hadi iwe hivi?
  11. jastertz

    JamiiForums Tanzania Ndoto ya Watanzania wengi ni kufika Arusha

    Najua hapa wengi mtabisha but ukiacha watu wa mataifa mengine, watanzania wengi wanatamani wafike Mkoani Arusha tofauti na mikoa mingine. sio kwa sababu ni kuzuri sana but kuona kile kinachozungumziwa., watu wa aina yake, mandhari nzuri na ya kuvutia.. mji wenye idadi kubwa ya wageni...
  12. Master Oogway

    JamiiForums Tanzania Magufuli hakika ulijitolea maisha yako kwa ajili ya Watanzania

    Magufuli hakika uliifanyia mema Tanzania kwa niaba ya Watanzania Wazalendo na sio Kwa ajili ya Wapiga dili na Wauza nchi mchana kweupe. Your life was a blessing, your memory a treasure🙏
  13. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Siasa anazozifanya Tundu Lissu ni za kizamani mno, Watanzania wanashangaa na kumpuuza

    Watanzania wamesha advance mno kwa siasa kama anazozifanya Tundu lissu, wanashangaa lakini wengi wanamkebei na kuona huyu jamaa anajaribu kutengeneza attention kwa UMMA kizamani kabisa kwa watu wenye maono makubwa mno nadhani kumpita yeye mwenyewe.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Biashara za ki Familia kwa waTanzania zinafeli.

    Nipo Uturuki kwa muda mrefu sasa nimekuja kimasomo na kuangalia fursa nyingine pia. Ila nimegundua kitu kimoja baada ya kufanya internship kwenye biashara ya kifamilia wenzetu kampuni zao za familia zinadumu kwa Generation na generation. Hii nliyopitia internship ni kampuni ina miaka 30 sasa na...
  15. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Serikali inafahamu kuwa kwa kuwapatia watu wake passport kunaweza kuwahamasisha kutafuta fursa nchi zingine?

    Mwanzoni mwa mwaka huu, nilienda Mutukula kufanya manunuzi ya vitu fulani. Niliamua kuvifuata huko kwa sababu niliamini bei ni nafuu zaidi kuliko nilikokuwa. Kuna wafanyabiashara wanaofuata mizigo yao huko. Ikiwa wao wanafuata huko na kuja kutuuzia tuliko, nilijua, kwa vyo vyote, bei ingekuwa ni...
  16. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Wazungu waliokuja kikazi hapa ofisini wanafurahi watanzania ni wakarimu maana wanapata treatment na attention nzuri hata kwa mabosi wakorofi.

    Sijui niseme ni ushamba wa rangi au vp, ila nikisema kwamba hii nchi kuna ubaguzi nako naweza kukaribia. Kuna wazungu hapa wanafunzi wa waliotoka huko ulaya wamekuja kikazi hapa ofisini, wamefika jumatatu watakuwa hapa kwa wiki mbili. wawili wa kiume na wawili wa kike wapo kwenye rika la 21...
  17. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Fomu za kugombea Urais 2025 kupitia CCM ziwekwe kwenye mtandao ili zijazwe online

    Ninaomba kutoa ushauri kuwa, Wanachama wengi wa CCM wanaonyesha kutaka kutia nia kugombea Urais kupitia CCM mwaka 2025. Ili kuwa wana-CCM uhuru na haki ya kuchagulia ninashauri fomu za kugombea Urais ziwekwe kwenye mtandao na malipo yake yalipwe online. Hii itaongeza uwazi wa uchukuaji fomu...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Watanzania Wanatazama Mbele kwa Matumaini kuliko wakati Mwingine wowote

    Ndugu zangu Watanzania, Hatimaye kauli ya kijasiri kutoka kwa kiongozi Jasiri na mwenye maono mh Rais Dr Mama Samia Suluhu Hassan imeshika mizizi na kumea katika mioyo ya watanzania,kauli hii ilitamkwa kwa ujasiri mkubwa Sana na mh Rais wetu Jasiri muongoza njia Mara baada ya kuondokewa na Rais...
  19. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Ndugu Watanzania, Ripoti ya CAG kujadiliwa imeisha wapi?au tumesahau!!!

    Nimeuliza baada ya kuona hii picha.
  20. L

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia Haitasahaulika Wala Kufutika Katika Mioyo ya Watanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Serikali ya Rais Samia itakumbukwa kwa miaka mingi sana, itaishi katika mioyo ya Watanzania na kusimuliwa vizazi na vizazi. Haiji kupotea wala kufutika katika mioyo ya Watanzania, itaendelea kudumu na kutawala fikira za Watanzania. Itaendelea kuongoza katika mioyo ya...
Back
Top Bottom