watalaam

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. presider

    JamiiForums Tanzania Mafundi na Watalaamu wa Generator tukutane hapa

    Husika na kichwa cha Habar hapo juu. Mimi n Mtalaaam(Mechanical Engineer). Nimejikita zaid kwenye upande wa power yaan generator na Solar System. Kwa miaka 18 sasa hv Nmekuja hapa mbele yenu tuwe tunapeana uzoefu na kutatua matatizo madogo madogo na makubwa ya Generator. Pia hata Spare mbali...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Watalaam wa kuchambua bible naombeni ufafanuzi wa huu ujumbe.

    Ujumbe aliopewa musa wa kuvua kiatu alichotoka nacho kwa farao,kwamba mahala pale ni patakatifu ulimaanisha kiatu Gani?je ni kiatu kama kiatu Cha kuvaliwa mguuni au ni Nini kililengwa.Je mahala pale palipotajwa kwamba ni pasafi ni sehemu gani?mbinguni,Israel au hapo walikokua wamefikia mala...
  3. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania rita hongera kuifanya BSS kuwa east africa wise ila ingefaa ionekane DSTV maana inatazamwa Africa nzima, hapo azam ni watalaam wa etugru uswahilini

    Kura zingepigwa fairly na squarely kutoka kwa wana EA kila mahalai ila hii ya azam kura zitaishia kulimbikizwa kwa wabongo hata kama hawajui.
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Watalaam wa fedha SADC wajadili vyanzo vya kuongeza bajeti

    Kikao cha Kamati ya Fedha cha Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kinafanyika jijini Pretoria, Afrika Kusini Machi 09, 2026 kujadili hali ya fedha ya jumuiya hiyo muhimu katika mtangamano wa kikanda kusini mwa Afrika. Watalaamu wa masuala ya fedha na bajeti kutoka Tanzania...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tunapomaliza mwaka, tunaomba watalaam wa mambo ya kiroho mtuelekeze njia za kujitakasa na kufungua milango ya riziki

    Mwaka unaisha. Tunaingia mwaka mwingine. Katika maisha ya utafutaji, kuna vita nyingi, za kimwili na za kiroho. Kutiana nuksi, mikosi na kufungina riziki ni mambo yaliyojaa huku uswahili. Wakuu watalaamu wa mambo ya kiroho, tunaomba mtupe anglau formula za madawa ya kuoga kujitakasa kuondoa...
  6. Red shadow

    JamiiForums Tanzania Watalaamu wa chocho,chobingo /Vitongoji vya Kigoma nawataka hapa?

    Kama wewe mtaalam wa chocho na machimbo ya Kigoma. Nipe hizi code Wapi napata 1.Supu nzuri ya samakiiii mkubwaaa😋 2.Kuku chomaaa wa kueleweka😋 3.Kitimoto maridadi kabisa😋 4.Ugali wa lowa😋
  7. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Nimeweka 3M UTT lakin imeongezeka 360 Nimeshtuka?? watalaam mje mnifafanulie

    wakuu mimi niko Liquid fund .Haya ndo niliyoyaona nimeweka 3M nina wiki na imeongezeka 360 ndo nn yaan mbona haiendani na % nazo calculate NB: Nyie wa kulike kila comment tafadhari sana Mnisamehe.Nahitaji notification za hoja siyo like! Natafuta maisha jamani tusameheane
  8. marashi ya pwani

    JamiiForums Tanzania Nishaligalambua, watalaam msaada katika hili

    Kama kawaida yangu na mambo yangu ya kukata maji sio ya mtoni wala bahalini Kuna kahudumu flani siku moja nilikakuta kananyanyasika na mzozo mwingi maeneo yake ya Kazi Katika maneno ya shombo nililo kalili ni moja (BAADA YA KUHONGWA WEWE WEWE UNAHONGA MPAKA ULIPE DEN LAKO NDIO UWE HURU)...
  9. Magayor Mongolian

    JamiiForums Tanzania Wakristo na wale watalaam wa biblia, wanatheologia tunaomba ufafanuzi kwenye agano la kale

    Haya.
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa Aagiza Timu ya Watalaam Kurejesha Miundombinu Lindi

    BASHUNGWA AAGIZA TIMU YA WATALAAM KUREJESHA MIUNDOMBINU LINDI Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Balozi Eng. Aisha Amour kupeleka timu ya wataalam mkoani Lindi itakayohakikisha inasimamia urejeshwaji wa miundombinu yote ya barabara na madaraja...
  11. luangalila

    JamiiForums Tanzania Kwa watalaam wa Lens za camera

    Wadau habari Nauliza kuhusuuborawa izi lens za canon fx1.8 50mm izilens kwa mdau aliye wahi kuzitumia izi lens je anaweza akashare tips za izi lens
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Njombe: Bashungwa ambana Mkandarasi ACIV, atoa wiki 3 mitambo na watalaam kufika ‘site’

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa wiki tatu kwa Mkandarasi wa kampuni ya China National Aero-Technology International Engineering Corporation (AVIC) anayetekeleza ujenzi wa barabara ya Isyonje - Kitondo - Makete sehemu ya Kitulo - Iniho (km36.3) kwa kiwango cha lami kufikisha vifaa...
  13. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Bandari zetu: Hii ni Kandrasi, Ukodishaji, Upangishaji, Uuzaji, Uwekezaji, Ubinafishaji, Ubia ni PPP au tumetapeliwa?

    Bandari, viwanja vya ndege, electric power supply plants, reli na barabara ni maeneo mhimu sana kiuchumi na kiusalama wa taifa lo lote duniani. Hili halina ubishi. Hivyo umiliki na mamlaka ya uendeshaji yanapaswa kuwa ya taifa lenyewe kwa asilimia 100%. Mamlaka haya hayapaswi kuporwa na mtu...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Watalaam simu zinapata Moto sana kipindi hiki Cha joto je Kuna madhara?

    Habari wakuu..Kipindi hiki Cha joto simu zinapata Moto sana. Hasa hizi simu zetu za tecno yaani Hadi unaogopa kuendelea kuitumia mpaka ipoe hasa ukiwa kwenye mtandao vipi Kuna madhara yanaweza kutokea kwenye machine au injini kiswahili cha simu kinanipa tabu kidogo
  15. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tatizo la bei za Mafuta ya Petroli kupanda ni Serikali kushindwa kuwatumia watalaam wa mafuta ipasavyo

    Tatizo la bei za mafuta ya petroli kupanda ni serikali kushindwa kuwatumia watalaam wa mafuta ipasavyo. Ikumbukwe tunawatalaam wa mafuta. Hakika hawa wangeweza kutuvusha katika kipindi hichi kigumu. Wangeweza hata kutengeneza mafuta kutoka kwenye makaa ya mawe kwaajili ya kupunguza utegemezi...
  16. Z

    JamiiForums Tanzania Ukiugua ugonjwa ambao hauna tiba na ukapona, je inahitaji kupatiwa chanjo?

    Tumeona kati ya watu 200 million walioambukizwa na kuugua ugonjwa wa COVID-19, ni watu milioni 4 tu wamekufa. Ina maana zaidi ya million 190 wamepona bila kuwa na na specific treatment ya ugonjwa wa UVIKO-19. Ni kwamba miili ya wagonjwa hawa iliweza kujitengenezea specific antibodies against...
  17. Najiona Mimi

    JamiiForums Tanzania Wale wataalamu wa kuchanganya perfume/body spray

    Kwa wale wataalam wa kuchanganya hayo manukato na kupata harufu ambayo ni nzuri haikeri na inakaa muda mrefu, embu tupeni formula mchanganyiko upi ni best kwa maoni yako?
Back
Top Bottom