Wale wataalamu wa kuchanganya perfume/body spray

Pi Givenchy+Aqua di Gio+One million=Highly attractive smell 😍😍 hii kitu nimejaribu ni hatari sana.
IMG_20210408_215504_159.jpg
 
Wadau naomba ushauri nina muda mrefu sasa situmii perfumes ila nina tamani kurudia. Kuna kipindi fulani nilikuwa natumia perfume aina ya SAME number 3J na Mr alikuwa anatumia SAME number 4K.Kuna duka fulani tulikuwaga tunanunua pale morogoro rd karibu na NMB.Siku hizi sizipati hizo na lile duka nafikiri lilifungwa kwa anayezijua naomba unishauri nitumie aina gani mbadala wa hizo.Siku moja nilikutana na mbaba mmoja ofisini ananukia kama ile 4K ya Mr nikamuuliza akasema inaitwa KUROS sijui kama ni kweli naomba ushauri wenu.
 
Ukishafika pale stand kariakoo kwenye soko pale unanyoosha na barabara moja kwa moja kama hatua kumi au kumi na tano ukiuliza tu pale wanapooza perfume za jumla na rejareja au za kupima utaoneshwa n karibu tu
Kwakweli sijakuelewa
 
Back
Top Bottom