presider
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 1,433
- 1,894
Husika na kichwa cha Habar hapo juu.
Mimi n Mtalaaam(Mechanical Engineer). Nimejikita zaid kwenye upande wa power yaan generator na Solar System. Kwa miaka 18 sasa hv
Nmekuja hapa mbele yenu tuwe tunapeana uzoefu na kutatua matatizo madogo madogo na makubwa ya Generator.
Pia hata Spare mbali mbali za Generator nnazo hapa Officin kwangu tabata.
Mwsho kwa wale wanataka kununua au kuuza generator wapost kwenye Uzi huu. Karibun sana.