wataalamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Video: Inawezekana kuukamata Ushirikina kwa Video ikiwa kwa macho ya nyama huoni?

    Wataalamu watuambie hii ni artificial intelligence au ni kweli? Je cameras zinawezaka record wanga,misikule n.k ikiwa kwa macho ya nyama hawaonekani? Yaani mfano ukaamua uweke cctv camera nyumbani chumbani mwako. Inaweza mrecord mwanga? Je hii video ni halisi au AI?
  2. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wanadai hizi ndiyo sababu za Tsh kuimarika dhidi ya Dola

    Nimeona huko mtandaoni wataalamu wakielezea sababu za Tsh kuimarika dhidi ya dola. 1. Wanadai kuwa kwa sasa ada zote za utalii zinalipwa kwa Tsh. Kwa hiyo watalii hao wanatakiwa kutumia dola kununua Tsh ili waweze kulipa ada mbalimbali. Zamani watalii walikuwa wanalipa moja kwa moja kwa dola...
  3. BABA-D

    JamiiForums Tanzania Mwajiri amegoma kunilipa mshahara wa mwezi November mpaka nisaini mkataba alionipa..

    Mimi ni mfanyakazi na nimefanya kazi kwa takribani miaka 11 kwenye taasisi hii. Nilikuwa naingia mikataba ya miaka miwili miwili halafu na-rew. Sasa ilipofika mwaka 2015 mwajiri alininipa mkataba wa permanent kama ku-comply na matakwa ya CRDB ambao walisema ili mwajiriwa apate mkopo katika benki...
  4. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa marketing kwanini sio Yas pesa ni Mixx by yas?

    Tigo sasa ni Yas na Tigo Pesa ni Mixx by Yas. Hakutakuwa na mabadiliko yeyote kwenye huduma au bidhaa zetu . Ujumbe wa Tigo kwa sasa ni Yas , ki branding kwinini isiwe Yas pesa?
  5. Red black

    JamiiForums Tanzania Wataalamu : Cryosleep ina_faida yoyote kwa binadamu?

    Cryogenic pod (short : cryopod) ni single device iliyotengenezwa kitaalamu to freeze a person in cryogenic suspension. A cryopod imeundwa na vifaa vyote kwaajili ya kumgandisha mtu kwenye cryogenic sleep na kumuamsha tena. karibu kwa mjadala;
  6. R

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa ujenzi wa nyumba /waezekaji msaada please

    Roofing nails zinauzwa katika vipimo vipi? Fundi aliniambia kuwa kg moja ya roofing nails ni Tsh 6,000. Sasa nimenunua box lina kg 13, ndani kuna mifuko midogo 25 yenye misumari 47 na haitimii kilo for that matter. Wananiambia hiyo kimfuko chenye misumari 47 ndicho elfu 6, ndiyo kg moja at...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Android Masada tafadhali

    Habari wadau. Kuna hii simu yangu Aina ya Samsung, nahitaji msaada namna ninaweza kuondoa hii option ya message nibakiwe na moja. Ninayohitaji kuondoa ni hiyo niliyoweka alama ya X Asante
  8. B

    JamiiForums Tanzania Je, haya maji ni salama? Tulipata maji haya Geita mwaka 2019

    Maji haya yalifika kwa wingi mkoani kwetu Geita mwaka 2019. Sasa naomba kufahamu kwa matumizi ya kupikia yako salama kweli? 👉Na hayo mapovu meupe ni chemical gani ambayo imetumika? Maana yanakaa kwa dakika 6 ndio yanakuwa kwenye normal state ya colorless 👉Lakini kwanini maji yanakuwa machungu?
  9. HAMISI HH

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wataalamu wa ujenzi

    wadau wa ujenzi msaada kwa waliowahi kutumia mabati ya kampuni ya SUNBANK na SUN SHARE kwenye swala la uimara na ubora wake yapoje?
  10. R

    JamiiForums Tanzania Majaji in particular, na wataalamu wengine, wanachagulia kwa vile kuna uhaba wa wataalamu hao au kwa vile wana sifa?

    Nilimsikia Lisu akisema kama tungelikuwa na utaratibu wa kuwachagua MAJAJI , basi ni majaji wachache sana na majaji wa Rufaa wangelikuwa katika ofisi hizo. Mana yake to me ni kuwa no meritocracy is applied katika kuchagua majaji/majai wa Rufaa hao na wataalamu wengine!
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania JE, NI KWELI PUNYETO NA USAGAJI NI MIONGONi MWA VYANZO VYA KANSA YA VIA UZAZI, MADAKTARI NA WATAALAMU WA AFYA YA UZAZI?

    Naomba ufafanuzi tafadhali wangwana matabibu wa afya na mapenzi?🐒
  12. funaku

    JamiiForums Tanzania Bima ya Afya kwa wote wataalamu msizunguke mbuyu utekelezaji uanze mara moja!!

    Salamu! Mimi ni muumini na mdau kindakindaki wa huduma endelevu za afya chini ya uwekezaji wa Watanzania wenyewe. Nimesimama na hoja hii kwa muda mrefu na nitasimama nayo hadi kieleweke. Tanzania kama nchi lazima tukamilishe uhuru kamili kwa kuhakikisha masuala ya msingi, hususani huduma za...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Yazidi Kutoa Fursa Wataalamu Sekta ya Ujenzi

    Serikali imesema kuwa imeendelea kuwajengea uwezo Wataalamu wa ndani wa kada mbalimbali nchini ikiwemo ya Ubunifu Majengo na Ukadiriaji Majenzi kwa kuwashirikisha kwenye miradi mkubwa kupitia Wizara ya Ujenzi. Akizungumza Oktoba 29, 2024 jijini Dar es Salaam, katika Mkutano wa Tano wa mwaka wa...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Edward Mpogolo: Serikali inawajengea uwezo Wataalamu wa ndani, wakiwemo Wabunifu Majengo na Ukadiriaji Majenzi

    Serikali imesema kuwa imeendelea kuwajengea uwezo Wataalamu wa ndani wa kada mbalimbali nchini ikiwemo ya Ubunifu Majengo na Ukadiriaji Majenzi kwa kuwashirikisha kwenye miradi mkubwa kupitia Wizara ya Ujenzi. Akizungumza Oktoba 29, 2024 jijini Dar es Salaam, katika Mkutano wa Tano wa Mwaka wa...
  15. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Wataalamu huu mjengo unaweza cost shilingi ngapi?

    Assume 1. kiwanja kipo 2. Bati migongo midogo za rangi. 3. Madirisha.matano ya wastani 4. Vyumba 3 vitatu vya kulala moja master dining na sebule. Karibu kwa ushauri
  16. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Maswali ya interview (usaili) kwa kada ya ualimu yapoje?

    Nasikia ajira portal mambo tayari huko naona waalimu wengi wamekuwa Shortlisted, Haya tupeane mchongo kuhusiana na maswali ya Interview kwa kada hiyo ya ualimu. Tusaidiane ili tupate kazi wote kwa pamoja kwa manufaa ya kunisaidia taifa letu kufikia malengo makubwa kwa kuzalisha wataalamu...
  17. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Ngiri (Warthog ): Naomba wataalamu watueleze Kwa kina kuhusu huyu Mnyama

    Kwa siku za Hivi karibuni ukipita kwenye mitandao ya kijamii utakuta huyu Mnyama anasema Kwa utani hasa speed yake. Sasa Kuna wimbo wake sijui ni kabila Gani na una maana gani Kwa anayejua anaweza kutuambia maana ya =>Kasongo yeyeeeee mombali nangai, kasongoooo mbona weooo songa limala oooohhh...
  18. popomwitu

    JamiiForums Tanzania Ufahamu mchezo wa Chess: wataalamu wa mchezo huu tukutane hapa.

    Habari ya wakati huu wanaJf, kama title ya uzi inavyojieleza shuka nao. Chess ni moja ya michezo ya zamani zaidi na ya kimkakati duniani, yenye historia ndefu inayorudi nyuma zaidi hadi karne ya 6 huko India. Na ikasambaa Ulaya kupitia Waarabu na Wafarsi, hatimaye kuwa mchezo wa kisasa...
  19. Sonko Bibo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazoefu na wataalamu wa mapenzi nisaidieni maana sielewi shida nini?

    Inatokea nadate na mwanamke, kwa muda mrefu, au muda mfupi, let's say miezi mitatu, au mwaka. Hapo unakuta manzi ananiimbia, nyimbo za malengo ya ndoa. Hata kama anajua fika kuwa nilimnunua baada ya mitongozo kusua sua. Mwamba naapply pesa. Dau linatiki na hii mbinu haijawah kuniangusha. Sasa...
Back
Top Bottom