Kiroho Rais , Samia hatoweza kuwa Rais wa awamu ya sita.
Ikiwa kuna wataalamu wa kiroho wamshauri mapema .
Na pia yalifanyika makosa makubwa kumteua kuwa Makamu wa Rais kwakuwa hatima yake haikuwa ya kitaifa bali ya eneo dogo Kama Jimbo
Ndo ufanisi wake ambao umeacha alama ni ule wa Bunge la...
Nimeisikiliza dira ya taifa ya kuelekea 2050 japo naona haijatutendea haki kwani imetukadiria kwa udogo lkn kama hatutakuwa serious tunaweza tusitoboe.
Jambo muhimu ninalopendekeza ili kufikia malengo hayo kwa haraka lazima tupunguze maslahi kwenye siasa na tuweke hayo maslahi kwa wataalamu na...
Wabobezi wa miamba,Geologist,Geotechnical na wengine wote mnaohusika kwa namna moja ama nyingine kwenye masuala ya miamba karibuni mtupe majawabu ya kina.
Habarini wadau. Kwa mwenye ujuzi na madini haswa laboratory results. Matokea mazuri kwa upande wa copper huwani kuanzia % ngapi . Namaanisha results ambayo inaonyesha copper ina kiwango na inafaa kwa kuuzwa na pia bei ya ton 1 copper ni bei gani??.
Kichwa cha habari kinajotosheleza. Inakuwaje majini yanaswali na waislam kila swala lakini hawajitokezi kwenye sherehe za waislam au ni changa la macho?
Kwa kutumia ndege za kivita za mwisho katika hazina yake za Doomsday,Marekani ilitarajia kuvunja vinu vya nyuklia vya Iran ambavyo Israel ilishindwa wiki moja nyuma.
Kwa mujibu wa wataalamu wa IAEA na wataalamu wa ndani wa Iran mpaka sasa hakuna dalili yoyote ya mionzi kuongezeka kutoka vinu...
Putin amesema Russia haina mpango wa kuwaondoa mamia ya wanasayansi wake wanaofanya kazi katika vinu vya nyuklia nchini Iran.
Itakuwaje sasa, eeeeh?
https://x.com/BRICSinfo/status/1935659750152355862
JUST IN: President Putin says hundreds of Russian nuclear experts will continue working at...
Hivi kama mtu haupo kwenye vat,ukiandaa hesabu za mizania ya mwaka unatakiwa manunuzi uweke yote yenye vat na bila vat au unatakiwa uweke yabila vat? Toeni elimu
M.2 SSD ni Nini? Fahamu Chanzo cha Kasi Mpya kwenye Kompyuta za Kisasa
Na Maleko GJ
Ikiwa kuna kitu kimoja watumiaji wa kompyuta wanataka zaidi kila siku, ni kasi. Kasi ya kuwasha kompyuta, kufungua programu, kuhifadhi mafaili, na kufanya kazi nzito kama video editing au gaming.
Na jibu la...
Habari wadau. Nina printer yangu, epson L3210, Nozzle check ya printer Iko safi, nimefanya power cleaning mara kadhaa Ila Bado ukiprint kuna mistari midogo inaacha. Mistari myeupe ambayo inakata kwenye maandishi. Sio coloured lines, unprinted lines.
Habari wataalamu.
Kama title inavyojieleza above, nina swali kuhusu campaign ya mambo ya afya kama yanaruhusiwa kisheria kufanywa kwenye app au social media. Mfano clinic ya meno, inatoa discount ya 50% ya wagonjwa 10 wa kwanza wanaosumbuliwa na meno, watakao wahi kulipia watapata discount ya...
Wataalamu msaada wenu tafadhali nimechoka kupanga nina kaeneo kangu ka miaka nenda rudi, na mimi nataka niamie kwangu. Bei gani hii nyumba nataka niamie ndani ya siku mbili hizi.
Huwaga ana ni block kisha ana ni un block mwenyewe.
This time around naingia WhatsApp kuna jina nilikuwa na search herufi ya mwanzo ya jina lake inafanana na ya huyu mtu, so likaja jina lake na tazama naona " Hi there am using WhatsApp".
But kwenye profile still bado hakuna picha yake...
Ni wazo na mwenye kuona lina mlipa sawa.
Wenzetu USA wana taasisi za kutunza kumbukumbu za koo mpaka familia huku zikiambatanishwa na DNA.
Ulazimishwi ila utakapo taka kuweka taarifa zako kwa msaada maana wafungua zipu na vifuniko vya asali wameongezeka.
Kuna ndugu,watoto wanaotaka kujia koo...
HABARI ZENU NNATAKA KUTUMIA AI KUTENGENEZA VIDEO NAOMBA KUJUA IPI NZURI KATI YA GROK AI AU DEEPSEEK AU KM KUNA NYINGINE YOYOTE NZURI ZAIDI YA HZO NAOMBA KUJUA
Nimetumiwa link ambayo ni video clip sasa nataka ni download iingie kwenye simu kama video zingine nafanyaje wadau
https://youtube.com/clip/Ugkx_ViWoPek1CWrvf5neyJnxVdvI-ySK50H?si=6m-ykzOiXRW6R2MO
TUNAMALIZIA KAZI YA UJENZI WA MSINGI KATIKA MOJA YA SITE YETU
KARIBU TUKUHUDUMIE OFISI ZETU ZINAPATIKANA SINZA DAR ES SALAM
CALL/WHATSAP +255624004650
INSTAGRAM mkuzibuilders
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.