Mtakuja kula mavi sio Kila kitu kula kula tuView attachment 3281854
Wakuu Nimetoka kazini nakuta mtaani kwangu wanauza 200 wanasema ni Zaituni.
Hivi na Zaituni za Mashariki ya kati ziko namna hii?
Ukila unakufa baada ya miezi sita!Tunda tamu sana hili
View attachment 3281854
Wakuu Nimetoka kazini nakuta mtaani kwangu wanauza 200 wanasema ni Zaituni.
Hivi na Zaituni za Mashariki ya kati ziko namna hii?
Hehehe hihihi kwa hiyo limekuwa tunda la kuua au siyoUkila unakufa baada ya miezi sita!
Sio Zaitun hilo...! Zaitun ni Olive.Zeituni nimekula mno
Linaitwa zeituniView attachment 3281854
Wakuu Nimetoka kazini nakuta mtaani kwangu wanauza 200 wanasema ni Zaituni.
Hivi na Zaituni za Mashariki ya kati ziko namna hii?
Ni tunda gani?Sio Zaitun hilo...
Watu wamezoea kuita Zeitun ila sio na sijui linaitwaje...!Ni tunda gani?
Hahaha! Unajua nini, niliwahi kuambiwa matunda yenye rangi kali sana jiepushe nayo. Kwa mfano, katika hali ya kawaida bilinganya inatakiwa iwe na sumu, ndio maana sili! 😀 😀Hehehe hihihi kwa hiyo limekuwa tunda la kuua au siyo
Lina mafuta kama avocado?
Kama zilivyo embe na zabibu ndivyo na zaituni zilivyo, zinatofautiana kiumbo na ladha lakini inabaki kuwa zaituni.View attachment 3281854
Wakuu Nimetoka kazini nakuta mtaani kwangu wanauza 200 wanasema ni Zaituni.
Hivi na Zaituni za Mashariki ya kati ziko namna hii?
Zeituni na olive tifauti yake ni ipi?Sio Zaitun hilo...! Zaitun ni Olive.