Wataalamu wa football betting

Wataalamu wa football betting

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,582
Reaction score
14,345
Wazee wa mikeka habari.

Nimekaa nimewaza kinachofanya mikeka ichanike sana mara nyingi ni tamaa za Karia (Odds 10+)

Naomba kujua kwa wazoefu.

Nina plann ya kuwa na mtaji wangu wa milioni mbili.

Lengo niwe nafukuzia faida ya elfu 50 kwa siku hasa kwa live game isiyozidi odd 1.03 au live game mbili zenye odd isiyozidi 1.10

Je naweza kuishi humo bila kupoteza mtaji?

Uliyewah fanya hiv uzoefu upoje?
 
Beti kiwango unachowezs kuhimuli
Screenshot_20260111-230250.png
 
Screenshot_20260111-215125.png


Kubeti ni kujifurahisha . Ukishinds leo unarudisha kesho na ziada
 
Kaka toast walau kakipande ka historia yako vijana tupone au wazee tupone maana huu uraibu sasa hausababishi umasikini tu hata nguvu za kiume kwisha habari ya arabi
nikitoa ushuhuda hapa itaonekana nawaonea wivu na kuharibu maana ya uzi!, kikubwa wacha kila mtu tabu na hasara vikizidi ataacha mwenyewe bila kushurutishwa na mtu kama ilivokuwa kwangu!, kikubwa jua tu hakuna pesa rahisi duniani ya kudownload isiyo na madhara, fanya kazi.
 
Back
Top Bottom