Wataalamu wa spiritual life sogelea hapa

Mallerina

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2023
Posts
4,308
Reaction score
11,151
Habari zenu Wana jf

🔴Ni Mimi peke yangu naogopa kuaga mwili wa marehemu au ni wengi wetu humu
🔴Leo nimeshangaa chakula cha msiba kimeshindwa kupita kwenye koo(wali nyama cabbage)

Kuna baadhi ya mazishi nimehuduria ikiwemo Leo Kuna mambo flani nimegundua yanayotokana na Imani ya watu tofauti ..

📌Kutema mate kwenye msiba hairuhusiwi ata harufu ikuchefue

📌Udogo uliochimbwa kutengeneza kaburi ni lazima wote urudi kumfukia marehemu iwe Kuna... jiwe... kijiti ...mfupa ...au plastiki hamna kitu kinachoachwa bila kufukiwa tena...
.
📌Marufuku kuvuka kaburi au kunyoosha kidole

📌Ukianguka kwenye shimo la kaburi muda mwili unashushwa ni sharti ufukiwe na ww
(Hizi ni Imani TU au kuna ukwli ndani yake?!)
🔴Kwanini nimeshindwa kula?!

Anyway RIP Amaria🕊️

12.2.2026
 
💔💔

Dada ni heshima kama ubinadamu kuaaga waliowafu

Lakini tofauti na hapo hakuna kinachoanganikana na dunia kupitia yule mtu wala hakuna chcchote cha kiroho kinachoendana na tukio loloye utakalo fanysa mbele ya mwili au kaburi

Hayo ni MAMBO yaliwekwa kutokana na lile fumbo kali la kifo, kuogopa kifo na maiti, thus lazima maneno kama haya yanakuwepo maana kwa mwanadamu kifo ni gumzo
 
Kushindwa kula msibani inatokana na kuguswa na kifo cha huyo rafiki/ndugu n.k

Mimi kwenye msiba wa mpendwa wangu, ilinichukua siku 3 ndiyo chakula kuweza kupita

Hizo nyingine ni imani tu, kwa upande wetu wa imani tunasema kwamba kila kitu kilimalizwa pale msalabani baada ya Yesu kusulubiwa
 
Habari zenu Wana jf

🔴Ni Mimi peke yangu naogopa kuaga mwili wa marehemu au ni wengi wetu humu
🔴Leo nimeshangaa chakula cha msiba kimeshindwa kupita kwenye koo(wali nyama cabbage)

Kuna baadhi ya mazishi nimehuduria ikiwemo Leo Kuna mambo flani nimegundua yanayotokana na Imani ya watu tofauti ..

📌Kutema mate kwenye msiba hairuhusiwi ata harufu ikuchefue

📌Udogo uliochimbwa kutengeneza kaburi ni lazima wote urudi kumfukia marehemu iwe Kuna... jiwe... kijiti ...mfupa ...au plastiki hamna kitu kinachoachwa bila kufukiwa tena...
.
📌Marufuku kuvuka kaburi au kunyoosha kidole

📌Ukianguka kwenye shimo la kaburi muda mwili unashushwa ni sharti ufukiwe na ww
(Hizi ni Imani TU au kuna ukwli ndani yake?!)
🔴Kwanini nimeshindwa kula?!

Anyway RIP Amaria🕊️

12.2.2026
nothing spiritual there, it's just some belief and psychology on how you take that thing.
 
Msiba ukiwa wa karibu yako sana huwezi kula utaupatia haswaa uchungu wa kufiwa.
Kuaga maiti ni uoga wako tu utazoea.
Wenzio baada ya kufiwa sana kwa sasa tuna uzoefu wa misiba ikiwemo
1. Kuosha maiti
2. Kulia kinafki
Kumsema marehemu na ndugu zake.
3. Kila msiba una nguo zake kupendeza muhimu siku hizi nikipokea cm ya msiba sikurupuki kwenda najiandaa kwanza dress code muhimu.
Bila kusahau bia za misibani nazinyw kama kawaida
 
"📌Udogo uliochimbwa kutengeneza kaburi ni lazima wote urudi kumfukia marehemu iwe Kuna... jiwe... kijiti ...mfupa ...au plastiki hamna kitu kinachoachwa bila kufukiwa tena.:"

Udongo unaorudishwa kaburini hurudi kwa shinikizo kubwa hivyo kusababisha mgandamizo mkubwa kati ya chembe moja ya udongo na nyingine, hivyo hata kama jeneza limeingia udongo wote unaingia , na hata siku zikipita ule mgandamizo unaongezeka na kaburi linaweza kutitia na udongo kuonekana kupelea kabisa.

Pole kwa msiba😥
 
Habari zenu Wana jf

🔴Ni Mimi peke yangu naogopa kuaga mwili wa marehemu au ni wengi wetu humu
🔴Leo nimeshangaa chakula cha msiba kimeshindwa kupita kwenye koo(wali nyama cabbage)

Kuna baadhi ya mazishi nimehuduria ikiwemo Leo Kuna mambo flani nimegundua yanayotokana na Imani ya watu tofauti ..

📌Kutema mate kwenye msiba hairuhusiwi ata harufu ikuchefue

📌Udogo uliochimbwa kutengeneza kaburi ni lazima wote urudi kumfukia marehemu iwe Kuna... jiwe... kijiti ...mfupa ...au plastiki hamna kitu kinachoachwa bila kufukiwa tena...
.
📌Marufuku kuvuka kaburi au kunyoosha kidole

📌Ukianguka kwenye shimo la kaburi muda mwili unashushwa ni sharti ufukiwe na ww
(Hizi ni Imani TU au kuna ukwli ndani yake?!)
🔴Kwanini nimeshindwa kula?!

Anyway RIP Amaria🕊️

12.2.2026
Mkuu
Tusubiri muongozo kutoka kwa occult leaders.
Na kutoka kwa makundi ya spiritual pretenders.

Kama kweli unataka kupata ufumbuzi wa hiyo EXPERIENCE yako ingefaa kutumia spiritual approach Ambapo Siwezi kukwambia na hakuna anayeweza kukwambia nini cha kufanya.

Binafsi naamini
Spirituality = consciousness = thinking /reasoning / logic.

Based on your post
Hakuna chochote spiritual hapo.

You are summoning a cult leader.
 
Udongo unaorudishwa kaburini hurudi kwa shinikizo kubwa hivyo kusababisha mgandamizo mkubwa kati ya chembe moja ya udongo na nyingine, hivyo hata kama jeneza limeingia udongo wote unaingia , na hata siku zikipita ule mgandamizo unaongezeka na kaburi linaweza kutitia na udongo kuonekana kupelea kabisa.

Pole kwa msiba😥
Ni kweli
 
Msiba ukiwa wa karibu yako sana huwezi kula utaupatia haswaa uchungu wa kufiwa.
Kuaga maiti ni uoga wako tu utazoea.
Wenzio baada ya kufiwa sana kwa sasa tuna uzoefu wa misiba ikiwemo
1. Kuosha maiti
2. Kulia kinafki
Kumsema marehemu na ndugu zake.
3. Kila msiba una nguo zake kupendeza muhimu siku hizi nikipokea cm ya msiba sikurupuki kwenda najiandaa kwanza dress code muhimu.
Bila kusahau bia za misibani nazinyw kama kawaida
Mimi na ukubwa wangu huu nilikuwa natoka nduki nahisi km ananifuata kila nokipita karibu na kaburi lake
 
Pole bibie Mallerina. Unapozidi kuwa na umri mkubwa ndipo utazidi kuona wale uwapendao wanazidi kupukutika (ndugu, wazazi, jaa na marafiki).

Ukiona mtu anamiaka 90+ tambua kuwa ameshaona misiba mingi sana ambayo ilimuumiza kwa namna Moja ama nyingine lakini hakukata tamaa ya kuishi.

Sote tutakufa tu, no marawa!
 
Back
Top Bottom